Wapalestina 200,000 wabaki bila makazi, wanaishi kwa misaada ya Umoja wa Mataifa (UN)

Wapalestina 200,000 wabaki bila makazi, wanaishi kwa misaada ya Umoja wa Mataifa (UN)

Wapalestina million 9 hawana makazi, siyo laki mbili.

Million 6 ni wakimbizi nje ya Palestina.

Kumbuka hilo.

Punguwani wahed.
Laki mbili wamekosa Makazi baada ya kichapo Cha Siku 3 ....na bado
 
MK254 hivi wa Mombasa wako upande gani? Na wso wanashangilia Hamas na Urusi?
 
Hii vita suluhu iwe ni nini?
Maana wayahudi wanazidi kutanua makazi tofauti na mkataba wa awali wa mgawanyo. Na wamekua wakiwatesa majirani zao. Hebu toa neno.
Mind you mimi sina ushabiki hapa. Yangu, ya ndugu zangu na ya nchi hii tu yananitosha.
huwezi kupata jawabu kwani hao wanaochekelea Israel kuwapiga wapalestina wanawazia upande wa dini fulani tu na wala hawasomi historia wakafunguka ubongo.

Na wala hawajui kuwa wapalestina wako waislamu na wakristo (a significant minority).
 
[emoji298][emoji298]Update
Israeli death toll rises to more than 1,200
While 900 Palestinian have killed so far.

Source:BBC
Anaendelea kuamini hiyo statistic ? Majengo na mabomu yanayorushwa? Majengo yote yataangushwa halafu utaambiwa waliokuwa ni 1000 tu.. hizo ndizo propaganda wakati uhalisia ni maelfu wamekula ionekane Israel watu wake ndio wamekula zaidi usiamini vyombo vya habari sana fatilia live uione Gaza inavyoteketea
 
Hapo Israel wameikorofisha wenyewe. Hapo bado hawajasema. Hivi Israel ndio kwanza wanaonja machuzi wa supu. Bado hawajaanza kutafuna supu. Yaani wewe kama uliwahi kutamka tu hata neno moja kwenye huu mpango,harufu yako itafuatwa mpaka uingizwe ardhini.
 
MK254 hivi wa Mombasa wako upande gani? Na wso wanashangilia Hamas na Urusi?

Haya majitu haya uzalendo, hukuona yanaamsha hapo Kibiti na kuua watanganyika ndugu zao kabisa.
Kuna mmoja katoka Upareni huko migombani na kuja kuua wanafunzi Kenya kisa huo uzombi wa kidini.
 
Iran kwa nini ijiweke pembeni? Ingesema wazi tu iwahifadhi raia hao hadi pale hali ya amani itakapotengemaa ndio warudi kwenye makazi yao. Hamas kuchukua udhibiti wa gaza ilikuwa ni suala la muda tu litokee janga. Kikundi hicho hakikupaswa kupata mamlaka eneo hilo. Bora chama cha kina abbas waliishaachana na vita walichagua amani wakae vizuri na israel. Wananchi wawe makini sana kuchagua vyama vya kisiasa vinavyotunza amani ya nchi. Kuchagua wahuni waongoze matokeo ndiyo haya.
 
Gaza imeishiwa mafuta ya petrol/diesel na nishati ya Umeme kabisa🤔
.....
BREAKING: Gaza ran out of its last fuel reserves and all power sources are down. No more electricity in Gaza
 
Kila mwanajeshi wa Israel kapewa video nzima ya tukio la uvamizi wa Hamas siku ya jumamosi aiangalie kwa kina ili kuamsha morali.
 
Wakimbizi forever. Hamas wamewafanya watu wasio hatia Wakimbizi over a week.
 
Back
Top Bottom