Sasa tujadili ni nini kilichopekea mazayuni kushindwa mapigano na kusimamisha vita?
Hamas wanasema silaha zao za tabata ya ghaza ndizo zilizopelkea kuwainamisha mazayuni mpaka wasalimu amri. Jionee:
Your browser is not able to display this video.
Leo masaa kadhaa baada ya mazayuni kukubali kusimamisha vita na Wapalestina kutoka mafichoni Ghaza na kuanza kusherehekea ushindi, Netanyahu kageuka tena na kusema hajasitisha mapigano.
Haijulikani ni yeye mwenyewe kabadili maamuzi au mabwana zake wa Marekani wamemuamuru abadili maamuzi.
Vijana wa Kipalestina kusikia hivyo, wakalianzisha tena.
Nimeangalia sana Al Jazeera na ccn Leo makubaliano yapo hivi
a)Hamas wataachia mateka 53 na Israel wataachia mateka 153 yaani Kila muisrael mmoja akiachiwa wapalestina watatu wanaachiwa
b) Israel amekubali matakwa hayo hapo juu kwa kusitisha vita Kwa siku 4(nne) tu.... Baada ya hapo vita inaendelea kama kawaida
Ndani ya hizo siku nne, palestina watapokea misaada ya chakula na mafuta.... Kuna madaktari maalum wataingia palestina kuwatibu mateka wa Israel wataobaki ndani ya hizo siku 4 tu
c) mabadilishano ya mateka yatafanyika Egypt
d) baada ya hapo Israel wametoa ofa ya kusitisha vita kwa siku Moja Hamas wakiachia mateka 10.... Yaani baada ya siku hizo nne.... Israel anarudi vitani... Hamas wakitaka misaada ipite tena inatakiwa waruhusu mateka 10 wa Israel ili wasimamishe vita kwa siku Moja wapewe misaada Ina maana wakiachia watu 30 watapewa siku 3
Sasa kwa kuangalia hapo Hamas watabanwa mpaka wamalize mateka wote afu sasa sijui wataleta nini kwenye negotiation table.... Maana kinachomzuia Israel asifanye all out war ni hao mateka wake tu, sasa unaambiwa ukitaka kupumzika siku Moja upewe chakula na mafuta inatakiwa utoe watu 10, hao mateka si wataisha
Israel amekubali kusimamisha vita kwa siku 4 tu baada ya hapo vita ipo pale pale... Sioni mantiki ya kusema Hamas wameshinda chochote
NB: I don't condemn war at all
Vita sio ishu natamani wapate Amani ya kudumu Hali ni mbaya, Israel wameua wapalestina elfu 20 ndani ya mwezi mmoja wakati inakadiriwa marekani aliua wa Afghanistan elfu 70 kwa kipindi Cha miaka yote 20 aliyowakalia mabavu....
Halafu wao wanaua wagonjwa, kina mama na watoto wadogo. Kuna jeshi likapiga hospitali na kambi za wakimbizi?
Wao wameuliwa skari wao wa kizayuni, wengi sana, hawasemi.
Cheza na watu waliojitowa mhanga?
Si hao wajomba zake mungu wako walisema hawasitishi mapigano mpaka wawamalize Hamas? Kicha[o walichochezea wenyewe wamewachia, kwa aibu tena, hata kutangaza wanaona tabu.
Fatilia kurasa mbalimbali za balozi za palestine ktk nchi mbalimbali...!
Utapata kujielimisha wao wenyewe kama serikali wana semaje? Wana mtazamo gani? Kwanini wanaiomba dunia ipaze sauti? Na video mbalimbali kuonesha dunia/ulimwengu zidi ya mauaji na kadhia mbalimbali zifanyavyo na Israel dhidi ya wapalestine katika palestine na nchi kama Lebanon nk...!
Mazayuni wamechezea kichapo cha maana jana na juzi kutoka kwa Hamas, Hizbollah na Wayemeni kilichopelekea wao kukubali masharti yote ya Hamas ya kusimamisha mapigano. Ikumbukwe kuwa mpaka juzi, Wayahudi walikuwa hawataki kabisa kusikiliza yeyote duniani na kusema hawasimamisha mapigano mpaka...
www.jamiiforums.com
Siku za mwanzoni mwanzoniwa haya mapigano niliandika hivi:
Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri. Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwa watu wao wengi wametekwa? Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika...
www.jamiiforums.com
Sasa tujadili ni nini kilichopekea mazayuni kushindwa mapigano na kusimamisha vita?
Hamas wanasema silaha zao za tabata ya ghaza ndizo zilizopelkea kuwainamisha mazayuni mpaka wasalimu amri. Jionee:
Leo masaa kadhaa baada ya mazayuni kukubali kusimamisha vita na Wapalestina kutoka mafichoni Ghaza na kuanza kusherehekea ushindi, Netanyahu kageuka tena na kusema hajasitisha mapigano.
Haijulikani ni yeye mwenyewe kabadili maamuzi au mabwana zake wa Marekani wamemuamuru abadili maamuzi.
Vijana wa Kipalestina kusikia hivyo, wakalianzisha tena.
Hatari unaripoti ukitokea wapi mkuu maana hii tunashangilia pamoja kushindwa mazayuni na watu waliomtegemea Allah bila kujali majiguvu ni bebe ya mazayuni!
Fatilia kurasa mbalimbali za balozi za palestine ktk nchi mbalimbali...!
Utapata kujielimisha wao wenyewe kama serikali wana semaje? Wana mtazamo gani? Kwanini wanaiomba dunia ipaze sauti? Na video mbalimbali kuonesha dunia/ulimwengu zidi ya mauaji na kadhia mbalimbali zifanyavyo na Israel dhidi ya wapalestine katika palestine na nchi kama Lebanon nk...!
Aibu kapata israel na netanyahu kaua watoto kashindwa kuwaangamiza hamas , kashindwa kuwapata mateka , kakubali kuwaachi wafungwa 150 kwa mateka 50, neyanyahu kapoteza imani kwa waisrael na kwa forced kunegotiate ili alinde heshima yake kutokana na shinikizo kutoka kwa waisrael ,kiufupi kashindwa vita