Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

Ukiwa muumini wa dini ya mnyazimungu,mvaa vipedo na makobazi, kichwa badala ya kutumia kufikiri, unatumia kufugia nywele na ndevu!
Nu ukiwa muumini wa mtu aliyetahiriwa siku ya nane baada ya kuzaliwa,kichwa unatumia kufanya nini!?
 
Na unaona Hilo ni Jambo la maana na kuamini una akili!?
 
Sasa sisi Wayahudi Israel toka Bonyokwa tutaficha wapi sura zetu [emoji2961][emoji2961][emoji2961] aibu naona mimi acha nilie kwa uchungu[emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
 
We bibi unajipa matumaini hewa huku umejifungia Canada hapo unalea wajukuu na kunyoosha miguu mezani utajulia wapi vita.

Hapa US kulikuwa na jamaa wawili wa Kiisrael tangu vita ianze wiki 2 hivi nikawa siwaoni ndio nikamuuliza mmoja akaniambia hao wamerudi kwa hiyari yao kwenye reserve units zao.

Sasa Wapalestina wanaandama tu na kulia lia kuomba jumuiya na mashirika ya kimataifa kuomba vita isitishwe huku wanaishi na tatizo.

Hamas wanajificha kwenye majengo kama hospital, vituo vya kulea watoto, shule, na karibia na ofisi za mashirika ya UN na NGO zingine , wanaoumia kinyume chake ni wengine!

Viongozi wengine wa Hamas wanakula upepo tu nje ya nchi halafu wanamgambo wanajificha kushield raia wasio na silaha!

Ushindi gani huo bibi unaosema Hamas wamepata au ndio kama ule ushindi mnaojitangazia CCM miaka na miaka kumbe mmeshapiga kura zingine kabla mnaongezea kwenye masanduku ya kura halafu baadae mnasema mmeshinda kwa kishindo.?
 
Hamas wamewaletea wapalestina wa Gaza maafa.

Ushindi gani huo ilihali mji wote umegeuzwa kifusi huku raia 12,000 wakiuliwa ?
 
Panya wa HAMAS wakijisalimisha kwa Askari wa Israel- Leo 22-11-2023
 

Attachments

  • SaveInsta.App - 3241772130307143607.mp4
    2.9 MB
Vita haijaisha, wameshinda mapigano ya Ghaza na wamewalazimisha wazayuni kusimamisha mapigano (ceasefire) kwa masharti yao.

Nani alikwambia vita imeisha?

Hivi hizo shule mlienda kusimea ujinga?
Kusimea ndio kitu gani?

Huko shule ulienda kusomea ujinga?
 
Sijui kwa nn msomi kama wewe "kuna wakati unaandika and I know ni msomi na mwelewa sana" Unaweza kukubali kujidanganya kwa kiwango hicho.
Hukubali kama mapigano yamesitishwa kwa kukubaluliwa masharti ya Hamas ambayo mazayuni kwanza walikuwa wanayakataa? Au kipi unachokiona wewe ni "kujidanganya"?

Narudia: Huu ni ushindi kwa Hamas, kwa kukubaliwa masharti yao ya kusimamisha mapigano, vita inaendelea.

Ushahidi mwingine huu hapa:

Your browser is not able to display this video.
 
..Hamas watakuwa wameshinda kama watakomboa ardhi yao na kusimika serikali ya taifa la Palestina.
Mbona yameshaanza kuongelewa hayo, waume zao israel sasa hivi wanaliongea hilo.
Kimbembe cha Wayemeni cha meli kimebadilisha kabisa lugha za wayahudi na wamerekani. Wanafahamu wakileta mdomo, uchumi wa USA unakufa.
 
Sasa ulifikiri mimi nakiongelea nini?

Naongelea huo ushindi wa kusitisha mapigano.
 
Ushindi gani unaongelea wewe bibi tarabushi FaizaFoxy wakati Gaza kaskazini inakaliwa na Israeli.Majengo yote ya serikali,makao makuu ya Hamas,mahospitali,shule ,misikiti yote ipo chini ya Israeli;Pande zote,ardhini,majini na angani!
Naongelea ushindi wa kusimamisha mapigano, misada ya mahitaji muhimu ya kibinaadam iingie, mateka waanze kuwachiwa, yote hayo ambayo wayahudi walikuwa wanasema hawataki mpaka wawamalize Hamas.

Hamas wapo na masharti yao ypote ndiyo yaliyokubaliwa, ndiyo ushindi wenyewe.
 
Very well presented
 
Mpaka mateka waachiwe
 
Agenda ya kuifuta HAMAS haijabadilika na mipango ya muda mrefu kuhusu Gaza ilishapangwa kinachoendelea ni UTEKELEZAJI tu
 
Kuwa
Umeua 1200 kauwa 13000 alafu Hamas kashinda. Akili nywele
Mkuu kwani kuuwa wengi ndo ushindi?

Ushindi ni kufikia malengo yao ambayo ni kuifuta Hamas pamoja na kuwaokoa mateka bila ya majadiliano.

Kuifuta Hamas bado maana mapigano yanaendelea na pia mateka bado hawajaokolewa ndiyo maana kulikuwepo na majadiliano ya kusimamisha vita kwa muda ili wawaachie baadhi ya mateka.
 
Shughuli ya KUBADILISHA mateka ikiisha zoezi la Kichapo linaendelea kama kawaida
Siyo zoezi la kichapo. Zoezi la mauwaji ya watoto na wanawake.

Kama waliamini wapiganaji/wanamgambo wa Hamas wapo chini ya hizo hospital na imegundulika siyo kweli, huoni kuwa ni genocidal campaign?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…