Wapambe siku zijazo: Rais Samia ni jembe ameukataa mkataba wa bandari

Actually this is what would happen if we agree with that so called Treaty mara Agreement yaani hata haieleweki.🙄

Ukiitizama picha na kudadavua kwa Umakini, utaona imeweza kuhitimisha uliyoyanena.
 
Hahahaha, halafu bado wanaita wenzao nyumbu
 
Hapa duniani, hakuna Rais mbovu kama huyu wetu, kama nadanganya basi niondolewe JF
JF huondolewi hii ni awamu ya 6 upo huru usiogope hatuui watu wanaotoa maoni yao kama awamu iliyopita. Muhimu tambua mkataba utatekelezwa kama hutaki subiri 2030 umchaguwe rais msukuma aje kuuvunja siyo mbali sana.
 
Hii inanikumbusha kipindi kile Wabunge wa Upinzani walipokuwa wanashupalia elimu bila ada walivyokuwa wanatukanwa matusi kama yote na wale wa chama tawala mara paaap kutangazwa elimu bila ada wakaandaa maandamano kuunga mkono hoja.
 
Tindo,
Tuko mahali pazuri.

Wako wanaouliza tutakwenda hivi hadi lini?

Tatizo mkataba au Waarabu?

Vipi kuhusu ule mkataba wa Serikali na TEC/TCC?

Tunaweza kuujadili?
Umenichanganya kidogo Mohamed Said. Tuko pazuri kwenye nini?

Wanaouliza tutakwenda hivi hivi hadi lini kwenye jambo gani?

Tatizo ni mkataba sio waarabu.

Mkataba wa Serikali na TEC/TCC ni upi huo? Hata hivyo hao TEC/TCC nao ni wawekezaji toka nje? Nao kuna raslimali za umma wanataka kuwekeza?
 
Kuna tofauti ya kiongozi na mwanasiasa, kiongozi yupo kwaajili ya maslahi ya wananchi lakini mwanasiasa yupo kwaajili ya maslahi binafsi. Tanzania imejaa wanasiasa na ndio maana hata maslahi ya chama yanapewa kipaumbele kuliko maslahi ya nchi.
 
Kwakua umemtafsiria Sasa ,mpe na maoni
 
Tindo...
Tuko pazuri kuwa si siri tena.
Yalianza na Waarabu haikuwa DW.

Hapa ndipo pazuri penyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…