Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

Uko sahihi,mfano kwetu ni upareni ila babu alinunua ardhi Moshi town huko,kwa hiyo Mimi nipo Mara 2,moshi na upareni
Kuna Wapare wengi sana Moshi hasa maeneo ya mabogini hadi Kahe
 
Huwa wanaenda kutambika kwa Mungu wao yuko huko mlimani.

Pia wanaenda kuongezea uchawi, wapare wote 🤣 ni wachawi eti wawe kama Msuya japo zamani walitaka wawe kama mengi.

Mpare anayebisha aje na mbuzi nimpe ushahidi.
Kumbe Msuya ni majina ya kipare! Niliwahi kuwa na demu ana huo ubini kiukweli alikuwa na weusi flani mlaini mzuri sana. Hongereni wadada wa kipare binafsi mna nafasi special sana moyoni mwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…