Wapare maumbo na sura wamejaaliwa ila tabia sasa, inafikirisha

Wapare ambao nimewahi kudeal nao sijawahi kuona wenye urembo wa kuwazidi makabila mengi ya Tanzania

Mabinti wao ni maanduje kwanza halafu pili ni malaya

Wanawake wengi Tanzania almost 90% wapo below 5fts
Wapare wafupi wapo, wakawaida wapo wengi na warefu wapo

Nipe mfano wa kabila linalowazidi wapare
 
Mkuu hebu, zunguka hata nusu ya bongo ndio uje useme hivyo, nine zunguka na hao wapare ni wa kulenga sana.

Mkuu wewe nitajie kabila moja tuu. Wewe si umezunguka. Nitajie moja ili hoja zetu ziwe relevant

Mimi nimetembea tembea Mzee.
Kwa hapa bongo Hakuna anayesogea kwa Wanawake wakipare.

Structure ya sura za Warwanda au waethiopia ndio Wapare wako hivyo.
 
kutumia lugha ya kiswahili si ushamba. usi force, ukiona hakipandi, tumia kiswahili.
 
Kila mtu akomae kivyake😁😁😁😁
 
Mpare kwa asili ni mtu mbinafsi.
Kuwa na mke mbahiri sio afya sana kwenye ndoa yenu. Kuna familia wanashindwa hata kula vizuri kwa ubahiri huo wa mwanamke au mwanaume. Sasa unajiuliza hela wanatafuta za nini? 😁
Kiufupi ni wachoyo🤣🤣

Cc ERoni
 
Kuna kamoja nimepoa nako.

Uzuri 7/10
Umbo 7/10
Ulefu 0/10
Uchoyo/Ubahiri 100%
Tabia 8/10
Mapenzi 5/10
Heshima 10/10


Ila hapo kwa ubahiri/Uchoyo wapare mmeniharibia sana Mchumba wangu, mbwa nyie
Ndugu yangu mimi naomba kama UBAHIRI wao ni wa kuchoma sindano mwambie aje amchukue huyu Dada yake hapa kwangu WAKACHOME TENA AZIDI HAPA ALIPO.Bila huyu mke wangu wa kipare HIZI ASSETS chache nisingemiliki.
BILA HUYU MPARE NISINGETOBOA
NB;OTHER FACTORS REMAIN COSTANT!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…