Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

Ninadhani lingekuwa ni jambo la maana kama ungemsaidia na kiasi kidogo cha pesa badala ya kumkejeli huyo ndugu hapo juu.
Ushauri mzuri sana huu mkuu kejeli hazimjengi mtu bali zinamuua kisaikolojia.
 
Ninadhani lingekuwa ni jambo la maana kama ungemsaidia na kiasi kidogo cha pesa badala ya kumkejeli huyo ndugu hapo juu.
Pesa zitatoka wapi usawa huu? Ngoja labda Rais mama Samia anaweza kulegeza kamba kidogo.
 
Acha ubishi
 
huyo dada/mama aliyewapeleka wanae kujifunza kichina ndo kagoma kutoa detail za hicho chuo pamoja na bei ya ada!!?? au ndo mpaka "koneksheni"
 
Uzi bomba Sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…