Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Namibia kama Tanzania tu mgeni Hana shida , unajichanganya mimi nimepita humo mara kadhaa nikitafta spare na gari , hakuna usumbufu kivile
 
Btswana
Botswana Pana unoko unoko, usiende kama mhuni , fuata utaratibu , hawana shida Sana na rushwa kwao sio kivile , so huna haja ya kupinda pinda
 
Migration wa namibia kama bongo, kiufupi namibia ni Tanzania iliyochangamka, na Wana life style ya kizungu kidogo
Ok poa mkuu, maana kuna mdau humu niliwahi kumsikia akisema hizo nchi 2 huwezi kuingia kama huna details za unapofikia na pia kuna unoko wa kuwachomea wageni kwa migration officers ndo maana nikasema niwaulize wazoefu
 
27/10

Na mie nimechoka maisha ya Tanzani,
 
Ok poa mkuu, maana kuna mdau humu niliwahi kumsikia akisema hizo nchi 2 huwezi kuingia kama huna details za unapofikia na pia kuna unoko wa kuwachomea wageni kwa migration officers ndo maana nikasema niwaulize wazoefu
Usiende Kama wahuni wa Dar, tafta mwenyeji wapo watanzania kibao, nchi ambayo Haina kwa wage NI ni south tu huko ni wewe tu na ndio kufa south imekuwa kama maigizo
 
Malawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…