Wapi nikatafute maisha kati ya Botswana, Mauritius,Namibia au Sychelles?

Km hujawahi kufika utaona je hao wabongo.
Alafu wabongo wengi ukikutana nao wengi wamechoka na Kuna mmoja nilikutana nae nilijuta yule jamaa ni Teja na ameshajikatia maisha na wengi wabongo wanaingia kule hawana document yeyote na wengi wanatamani kurudi bongo wanashindwa atatokaje kule Kuna sehemu inaitwa kazungulu border hio Iko karibu na Zambia na nambia sasa Kuna hifazi ya wanyama na Kuna kama mto flani kwa hio wabongo wengi wamekwama hio sehemu wengi
 
Kanada imekuwa hovyo hakuna kazi immigrant wamekuwa wengi,Serikali imefika hatua ku deport immigrant especially Indian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…