Wapiganaji wa Houthi waenda Urusi kuisambaratisha Ukraine

Hao ni inzi tuu. Hata superdoom inawamaliza
 
Urusi hii inayopigiwa Chapuo hapa kwamba ni hatari na Nusu....!?
 
Una mawazo negative xnaa mkuu ..putin kufanya hivo kwanza anasidia kuzid kuwapa uzoefu hivo vikundi
Maana vinaingia ground
Hapo anafanya watu wa upande wake wawe na uwezo na uzoefu wa Vita vya kisasa
Ndio maana utaona nato wanalaani haya
 
Vichwa panzi hawaezi elewa ..
 
Inasikitisha mnoo.mkuu wanao wakifeli usije wapiga maana akili watakua wamefata zakwako
 
Una mawazo negative xnaa mkuu ..putin kufanya hivo kwanza anasidia kuzid kuwapa uzoefu hivo vikundi
Maana vinaingia ground
Hapo anafanya watu wa upande wake wawe na uwezo na uzoefu wa Vita vya kisasa
Ndio maana utaona nato wanalaani haya
Kwenye vita hakuna kutafuta uzoefu, Vita inahusisha kufa na kupona uwezi kuokoteza vikundi mtaani eti vikapigane vita wakati ata nidhamu Yao hufahamu.

Kuna muda Askari waliopo mstari wa mbele wa mapambano wanatamani mazungumzo ya Amani yafanyike ili waache kupigana.
Walio wahi kushiriki vita watanielewa maana Moral Ina kata na mnakutana na moto wa Adui wa maana.

Hii vita ni ya muda mrefu, Askari na makamanda wengi wamechoka na hakuna Dalili ya vita kwisha na usifikiri vizazi vya wazungu walio pigana vita ya kwanza na ya pili ya Dunia Wana uvumilivu kama Wazungu wa Sasa.

Hii vita haikupaswa kuwepo, Putin ameilazimisha na Wananchi wake wengi hawai ungi mkono.
Putin mwenyewe Wananchi wame mchoka kutokana na Siasa zake za ndani kua za kibabe dhidi ya wapinzani wake.
Rafiki zake Putin wa karibu ambao Wana tofautiana na mawazo yake anawapoteza.

Ukraine wakifanikiwa kuingiza vikosi vya askari wa miguu wa kutosha ndani ya Urusi basi Wanaweza kuchukua mpaka Moscow kwakua Askari wengi wa Urusi hawaitaki vita na wanaona Nchi Yao imeingia vitani bila sababu.

Askari wa U krein wakiingia wengi Urusi basi wataungwa mkono na Warusi na utakua mwisho wa Putin
 
Hamna mtu anayejua km Russia kaingiza jeshi lake kamili lile la kulinda nchi ama la. Hata NATO wenyewe wanahaha, hawajui km Urusi yupo full scale ama anapasha tu. Kuna sehemu nilisoma wanasema kuna karibia nusu ya jeshi la urusi wapo kwenye underground bases na mapangoni wanasoma mwenendo mzima wa vita. Na hao ndo wanaoogopwa zaidi na nchi za magharibi

Ndo maana hakuna ruhusa ya moja kwa moja kwa Ukraine kuishambulia Urusi na NATO bado wanasuasua kupeleka silaha maana wanahofia wasije haribu mambo na Russia akaamka toka usingizini

Ingekuwa kweli Urusi kachakazwa km mnavyojinadi hapa NATO wasingechelewa kuivamia kwa kigezo cha kuimarisha usalama.

Hii vita inapiganwa kimahesabu zaidi kuliko nguvu
 
Ndugu, wakati wa vita Askari hawa hifadhiwi kama mbegu za mahindi.

Pande hizi mbili wameshapigana kwa muda mrefu re placement zimeshafanyika nyingi hakuna jeshi ambalo Askari wake walio front line wamepungua alafu limeweka wengine wa mbegu ni lazima waliobaki waende mbele.

Ni swala la muda tu, Urusi itaingia katika makubaliano ya kusitisha vita kwa kulazimishwa na Hali Halisi.

Dalili zote zinaonyesha mambo hayako sawa kwa Putin na Ina sababishwa na uungwaji mkono mdogo na Wananchi wake ambao hawataki vita .
 
Wasarambatishe kipindupindu cholera na kwashiokor huko kwao Yemen kwanza, akili za mirungi mbaya sana
 
Ana nuclear bombs so hakuna kitu watamfanya. Hii vita haiwezi kuwa solved na majeshi maana itaishia kuwa nuclear holocaust. Ni mezani tu ndio suluhu
 
Ana nuclear bombs so hakuna kitu watamfanya. Hii vita haiwezi kuwa solved na majeshi maana itaishia kuwa nuclear holocaust. Ni mezani tu ndio suluhu
Amini usiamini lakini Urussi haitothubutu kutumia Nuclear bombs kwa sababu hata mahasimu wake wanazo hizo nukes. Anajua akijaribu tu matokeo yake itakuwa ni piga nikupiga , unamwaga ugali namwaga mboga. Ikitokea hivyo Putin atakaa au ataishi wapi? Dunia ipi?? Je; wanajeshi, raia na watu wengine huko Urussi mustakabali wa uhai wao utakuwaje? Nadhani Jamii ya Urussi watafanya maamuzi magumu kwamba ni Heri mtu mmoja (Putin na genge lake) afe kwa ajili ya wengi wasalimike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…