Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

Swali hilo ungemuuliza Magufuli, kwakuwa yeye alisema kabisa sibadili Katiba ng'o, maana kwenye ilani na kampeni yake hakuahidi Katiba popote. ni upuuzi kuuliza swali hili kwa Rais ambae amesema anataka kuandika Katiba mpya.
Tusubiri tuone !
 
wewe ni kilaza hata ulichoandika inawezekana sicho unacho waza
 
wewe ni kilaza hata ulichoandika inawezekana sicho unacho waza
Shida yetu kubwa ni exposures. Nchi hii imepitia vipindi vingi sana vya uongozi, kama kiongozi mfanya maamuzi kazaliwa, kukulia na kusomea kijinini na kuja mjini akiwa mkubwa, hata fikra, vitendo na maamuzi yake ni ya kijijini hivyohivyo, ya kimila, makakala yenye harufu ya ushamba ushamba na ulimbukeni hivi (analogue). Rais huyu tuliyenae ana exposure kubwa sana, akili yake sio ya ugali unaolaza bongo, anajua wapi taifa lilikosea tukabaki hapa tulipo. Tumpe nafasi kama afanye kazi yake. Marais wanawake duniani hawana mambo mengi ni uchumi TU.
 
HIvi akili ndogo hivi? Kulinganisha taasisi ya kanisa na huu wizi? Kwa hiyo bado unajenga hoja ya UDINI? Bandari yetu maskini!
Sio mahali Wala kifungu kwenye mkataba kinachoashiria kuwa Tanzania inaekekea kwenye korongo refu ambalo hatuwezi kutoka humo milele. Watu wanapinga kwa hisia bila kutoa au kuonyesha evidence. Wanapiga kelele hizo bila kusema nini kifanyike. Kuna maandazi mmoja anasema ni Bora tufanye wenyewe!!!! Unamtazama usoni kisha unatoa machozi ya huruma. Hajui asemalo kwa nchi ambayo hata madawati shuleni bado hayajaenea vyumbani ndio tutaweza kununua mitambo na ujuzi wa kuendesha bandari? Watashindwa TU maana katiba yetu hairuhusu Rais kushindwa jambo.
 
Wewe kunguni unaona nchi kuuzwa siyo hoja!!?? mavi ya bata wewe na wenzako!
Wewe jidanganye TU ukweli kwa mujibu wa Katiba na Ilani ya uchaguzi huu hapa. Subirini mkifika Ikulu.
 
yaani huna aibu kupost picha ya jambazi katika majibu kwangu? SHAMMMME
Wanatekeleza ilani ya chama chao, ubishi uko wapi? na wewe ukipewa ridhaa na wananchi tekeleza ilani yako ya serikali ya majimbo, kutegemea wazungu, kuutambua ushoga, nk hutaona upinzani mkali utakaokuzuia. Kama CCM wanafanya vibaya tuwasubiri kwenye kisanduku cha kura tuwaadhibu, laa sivyo tuwapeleke mahakamani na kuchuwana nao huko, atakaeshindwa akae kimyaa asubiri utekelezaji wa ilani. Unaposema Mkataba ni mbaya letu mkataba ambao ni mzuri ili tuilinganishe, unaposema nchi imeuzwa lete ushahidi wa risiti za malipo na nani kapokea hela hizo. Vinginevyo ni udaku, uchochezi na umbeya ambao adhabu yake kuu ni kupuuzwa na kusonga mbele.
 
Hivi akina nyerere wangeuza raslimali zote kipindi kile wananchi walikuwa bado wana uelewa wa chini wangeiba nin?
 
Wapinzani hawana hoja wala ujanja, mama anakaba mpaka "penati", iliyobaki ni hivihivi wacheze "faulo" tu.

Ukiona timu imenza "faulo" ujuwe imezidiwa.
 
wewe ni kilaza hata ulichoandika inawezekana sicho unacho waza
Kilaza!!! Tuisubiri mahakama yetu tukufu iseme nani ni kilaza na nani yuko bomba. Nyie ni watu tunawajua mnatafuta kichaka mjisaidie au mnaogoma kisiondolewe kichaka mlichokukua mnakitumia kujisaidia. Kichaka hiki kitafyekwa ili sote tutumie vyoo kujisaidia.
 
Ccm wataendelea kutawala aise

Kwa style hii

Ova
 
Ccm wataendelea kutawala aise

Kwa style hii

Ova
Huyu Mama Samia ndiye atakaetuvusha kutoka pale tulipokuwa tumekwamia. Ili ufanikiwe ambatana na wengi, mama ameamua kuambatana kwa vitendo na wengi (wakulima, wafugaji na wavuvi). Kwavyovyote vile wapinzani lazima waache ule utamaduni wa kudandia hoja, badala yake watafute hoja imara zitakazowatoa watanzania hapa walipo kiuchumi na kihuduma ili isiwe ileile ya katiba katiba katiba katiba, bandaribandaribandaribandari, mikutanomikutanomikutano, tumetumetumetumetume, vyote hivi havijibu maswali ya njaa, elimu, afya, pesa mfukono.
 
Tusubiri tuone !
Hukumu imetoka, sheria na demokrasia imezingatiwa kitakachofuata ni kuweka shingo yako mbali. Wapinzani leteni hoja nzito msitupotezee muda maana tumeshachelewa sana.
 
Wacha bandari iendeshwe na watu binafsi kama tulivyofanya kwa bia, sigara, Benki ya taifa ya biashara, Airtel, nk. Huwezi kutaka kitu Cha tofauti kwa kufanya vilevile na yaleyale. Wabishi walikuwepo hata wakati wa Nyerere, mwinyi, Mkapa, kikwete, na Magufuli
 
Wapinzani hawana hoja wala ujanja, mama anakaba mpaka "penati", iliyobaki ni hivihivi wacheze "faulo" tu.

Ukiona timu imenza "faulo" ujuwe imezidiwa.
ukicheza na nyani utavuna mabua. Hakuna mtanzania mwenye haja na bandari, watu wenye maslahi yao wanapiga kampeni kwa wananchi juu ya bandari kuuzwa. Yaani bunge na mahakama wote ni wapuuzi kuliko wao. Wanachokitafuta watakipata, mama ni mgumu kuchukia lakini siku akichukia utakiona:
 
Kweli waafrica ni jamii ya nyani na akili zetu zipo matakoni. Yaani mwafrika unasema tatizo la Africa lipo nje ya afrika. Hiki ni kiwango kikubwa sana cha umbumbumbu. Waafrica hatuna akili za kujitawala ndio maana kila kitu tunataka watusaidie watu weupe kufanya.
 
Umesahau na TANESCO tuwape watu binafsi maana serikalini imeshindwa kuleta mabadiliko ya kuondoa migao 🤣🤣🤣
 
Mnagawana faida kwa uwiano gani?
Kwenye madini mlikuwa mnagawana faida na wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…