Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

Kwani wewe huwezi kuchukua tahadhali mwenyewe mpaka ulazimishwe?
Anza Leo acha kusubili ya kuambiwa
Magufuli alishasema kuwa hii ni vita ya kiuchumi siyo ugonjwa, mdudu Covido anatumika kama bomu la maangamizi. Sasa wameliboresha na kuanzia afrika kusini lakini kwa afrika halina madhara tuendelee kuchukua tahadhari hii ni vita, tusijisahau kunawa kwa maji tiririka, kunywa maji moto na vyakula vya motomoto, kula matunda, tumia Nimricaf.Piga sala sana kumuomba mungu hizi ndiyo silaha muhimu, mengine porojo tu.
 
Akiwajibu negative ndio atazidi kuonekana kichaa mbele ya jamii iliyostaarabika.
 
Mkuu tuache siasa, watz hatujui tunataka nini.

Siku akitangaza lock down nakuhakikishia watapiga kelele mno ooh anataka kuua raia, ooh uchumi utakufa.

Likija swala la siasa huwa nakuwa kimya tu
Lockdown haitakiwi kinachotakiwa mamlaka kuweka wazi hili tatizo watu wafuate utaratibu wakujilinda.

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi siku hizi JF watu hawawezi kuchangia mada bila lugha za kashfa?!
 
Ningeona waraka unamaana kama ungesitisha Ibada za makanisa yote ya katoliki nchi nzima kwa muda wa mwaka mzima ( miezi 12) ili kuondoa mikusanyiko isiyokuwa ya lazima. Pia kanisa likataze waumini wao kutotoka nje kwa mwaka mzima wakae ndani tu
 
RC wana akili sana sometimes! Hakuna kiongozi mwingine atasimama azungumze na kutoa waraka kama ule, labda wa kumsifia aliyeenda kujificha
 
Ningeona waraka unamaana kama ungesitisha Ibada za makanisa yote ya katoliki nchi nzima kwa muda wa mwaka mzima ( miezi 12) ili kuondoa mikusanyiko isiyokuwa ya lazima. Pia kanisa likataze waumini wao kutotoka nje kwa mwaka mzima wakae ndani tu
Fara ww
 
Tahadhari inatolewa na Baraza au Wizara ya afya?
Huko ni kuingilia kazi ya wizara
 
Mkuu Quinine,

Umeleta mbio mbio huu waraka ukitarajia kilichoandikwa kitaiudhi serikali, pole sana...
Nani alikuambia waraka una madhara, akili ndogo, wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine you always have negative mind, am not TEC neither the government which is responsible.
 
Nadhani labda kwa kuwa takwimu za ukimwi au hayo maradhi mengine hazitengenezi hofu na taharuki ndio maana wanazitoa.
 
Unataka linganisha hii na malaria? unawaza kutumia nini?
Tofauti ipo kwenye jinsi tunavyo yachukulia hayo magonjwa,yani mfano mtu akiniambia ameshuhudia watu watano waliyokufa kwa corona toka huu mwezi uanze basi itanitia hofu jambo hilo kuliko akiniambia kuwa toka mwezi uanze kuna watu 30 wamekufa kwa malaria sitoshtushwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…