johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umeongea vizuri sana sidhani kama wenzako hapo nyikani watakuelewa!Hakuna serikali inachoweza fanya zaidi ya kutuhimiza kunawa, vaa barakoa, Epuka misongamano etc
Mambo mengine tu jiongezee.
Ngooshaa vp?Aibu ya nini?
Ngoja uangazweUmeongea vizuri sana sidhani kama wenzako hapo nyikani watakuelewa!
Unajuaa vikao vya maamuzi hayo. Unadhaani ni maaamuzi ya msela kama gwajiboi na mzee wa upako?Kanisa lisipokanusha hii habari ndani ya saa 72 basi nipigeni ban! Naamini watakanusha sio kwa sababu hawajaandika au hawaamini suala la uwepo wa corona bali watakanusha kwa sababu kutoa taarifa kama hii ni kuipigana vita vya kiuchumi dhidi ya taifa letu huku kanisa likiwa upande wa mabeberu.
Umemuelewa bwashee mrangi lakini?Ngoja uangazwe
Walio Lumumba wataishije? Ufipa wataigilizia mnapopitaUmemuelewa bwashee mrangi lakini?
Kwamba ikitangazwa lockdown hapo Ufipa mtaishije?!!!
Unajua ubishi mwingine ni janga kwa Taifa. Watu walionya na bado wanaonya: virus huwa wana mutate. Ukiamua kupuuza tu wanaweza kusababisha madhara makubwa.Hii second half ni HATARI, ni uchaguzi wa kuvaa barakoa au kuondoka.
Dude limetoka South linapandisha mdogo mdogo.
Linaning'niza hadi naogopa maana naona dalili za Melinda Gates kuwa nabii.
Fuata unachokijua na unachokiamini.Sijui nifuate ushauri wa askofu gwaji au kanisa Katoliki
Inabidi Mungu na wanadamu tuingilie kati kwa pamoja.Unajua ubishi mwingine ni janga kwa Taifa. Watu walionya na bado wanaonya: virus huwa wana mutate. Ukiamua kupaaza tu wanaweza kusababisha madhara makubwa.
Nimezikuta mtandaoni tu, nyingine hata majaribio sijui yalifanyikia wapi. Unaweza kujikuta unakunywa maji ya mtaroni yaliyowekewa pilipiliChonde chonde tusije geuzana miradi kwenye majanga..., (by the way sijasema kwamba wewe ni mmojawapo huenda wewe unasaidia jamii kwa kuwapatia lishe
Anapenda sana league.Kwani kuna mashindano?
Mambo mengine ni kumwachia Mungu tu. Hivi mnadhani USA wanakokufa watu 2000+ Hawana mbinu kama sisi?Afadhali sasa sauti zinaanza kupazwa toka kila kona, tuache kuishi kwa kudanganyana kama watoto, kila mmoja popote alipo achukue tahadhari kwa kujilinda yeye na awapendao, Corona ipo na inaua.