Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

Acheni kupeana taharuki kiasi hicho. Lipi jambo Geni hapo?

kama ilivyo kwa magonjwa mengine lazima uwe na unadhifu wa kujikinga mwenyewe muda wote.

Ukisubiri Rais akiri na kukuambia ujikinge utatangulia kwenye fliza Mzee.
 
Afadhali sasa sauti zinaanza kupazwa toka kila kona, tuache kuishi kwa kudanganyana kama watoto, kila mmoja popote alipo achukue tahadhari kwa kujilinda yeye na awapendao, Corona ipo na inaua.
Jifungie ndan mkuu wew na familia yako mfe na njaa🤣🤣
 
Wamevumilia ukatoliki mwisho wameona bora kama ni kuhama dini ahame.wamepasua mbarika.
Chifu umewaza mbali sana! Askofu Bagonza na Mwamakua walipigana vitu nyikanani wakatoliki wakiwa kimya wakilinda 'ukatoliki'. Hatimaye na wao maji ya shingo.
 
Sauti na zipazwe. Rais wetu mpendwa, rais wa wanyonge atakisikia tu kilio chetu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Kwel asikie kilio chetu atuweke LOCKDOWN .TUnaomba utuweke lockdown ili tuone unatujali
 
1. una kila dalili za nyie watumishi wa Bwana kumchokoza "Malaika" na "Jiwe" fulani hapa nchini. Atazila hata kuja kusali na kukusanya sadaka kwenye kile kikapu. Nyie endeleeni tu kumchokoza.

2. Ipo haja ya kuwa na "Editor" wa maandiko na matamko yenu ili kuwa jicho la pili la kuzuia makosa madogomadogo ya kisarufi.

3. Hongera kwa uthubutu bila kujali kuwa yule malaika ni kondoo wenu "mtiifu"
 
Swala siyo watu kupigwa lock down ni kusema kuna tatizo watu wachukuwe tahadhari kukaa kimya watu wakiendelea kufa kwa wingi siyo sawa. Kwani kuna ugumu gani kusema kuna corona wakati kila mtu anafahamu kuwa Corona ipo
Mpaka tuambiwe mkuu,ukiona hutonywi
We jiongeze tu wambie na wengine ukiona hawaelewi wapotezee tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Wao ni Idara ya afya? Wanasemaje pia kuhusu Malaria?

Acha kuendekeza ujinga dogo,wanasiasa hawajali watu kufa ndio maana hata kwenye uchaguzi juzi wamemwaga damu ili wabaki madarakani. Wenye kujali maisha wameona waongee, ww unaleta utoto hapa jukwaani.
 
Wamevumilia ukatoliki mwisho wameona bora kama ni kuhama dini ahame.wamepasua mbarika.
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Na kweli atahama na hatakusanya hata zile sadaka kwenye kikapu. Shauri yao.
 
We bhana acha habari zako! Mara ngapi kanisa limeshawahi kukana waraka wao?! Tuombe tu wasitikiswe lakini kwa serikali hii don't say "NEVER"! Au tuombe tu iwe wameshapata baraka za wenye mamlaka!
Hii kitu hadi bbc wameitangaza unadhani ni rahisi kwa namna hiyo? alafu hawa watu wanajua sana kula na kipofu. ila ukiwazingua wanakuzingua mara mia.
 
Mkuu tuache siasa, watz hatujui tunataka nini.

Siku akitangaza lock down nakuhakikishia watapiga kelele mno ooh anataka kuua raia, ooh uchumi utakufa.

Likija swala la siasa huwa nakuwa kimya tu
Tena na siku akiamka vibaya akashauriwa hivyo
Anaweza kupiga.....utaona watu wakatavyolia

Kikubwa hapa ni kujiongeza,akili za kuambiwa changanya na zako ......
Watu waepuke misongamano watulie tatizo
Ukienda sehemu za starehe sjui matamasha kna lundo la watu hawana habari

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kwel asikie kilio chetu atuweke LOCKDOWN .TUnaomba utuweke lockdown ili tuone unatujali

Pana watu wanapotosha kuwa kukubaliana na corona ina maana kuwe na lockdown. Hawa ni wa kupuuzwa na halipo jema wanalotutakia hao zaidi ya kutupalilia vifo vya ghafla tu.

Waachiwe wataalamu wa afya watuvushe. Hao watatushauri kitalaam na tutavuka salama.

Tatizo liko wapi?
 
Swala siyo watu kupigwa lock down ni kusema kuna tatizo watu wachukuwe tahadhari kukaa kimya watu wakiendelea kufa kwa wingi siyo sawa. Kwani kuna ugumu gani kusema kuna corona wakati kila mtu anafahamu kuwa Corona ipo
Kama corona ipo kwanini watu wao kama wao wasichkue tahadhari

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom