Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Listen my friend, tahadhari humchukulii mtu yyt hata kama unampenda sana unajichukulia binafsi kwa afya na uzima wako.Wao ni Idara ya afya? Wanasemaje pia kuhusu Malaria?
Kama unaona unayoambiwa siyo ya maana wafuate hao wanaokudanganywa wao wakiwa wamekimbilia kwao kwa hofu ya ambacho wanakuamisha wewe na jamii nyingine kuwa hakipo.
Last week tumezika mzee Gongo la Mboto, siku iliyofuata tumesafirisha mwingine kwenda Tarime kwa hicho kinaitwa nimonia.
Corona ipo na inaendelea kutesa na kuua ndugu na jamaa zetu, chukua kila aina ya tahadhari.