Asikubali kusoma, atasumbuka tena akitaka kwenda kwenye majukumu ya uhandisi.Lakini soma tu hio postgraduate mambo yakuendee ukikaza fuvu/kukaidi maboss utapata shida sana
Kubali tu usome yaishe mkuu
Changamoto sana, pressure za maisha kama mtu ana B.Eng Civil hakosi mahala kama anasubira. Nakumbuka nilipomaliza chuo wiki ya kwanza nilikuwa navi stress nikataka hadi niwe mwalimu na nilienda hadi fanya interview na B.Eng flani.. ila nilipo rudi gheto nikawazaaa.. nikafunga mkandaa ndio ikawa mwanzo wa hostory mpya. Vijana wengi wanatoka chuo na image flani zikipishana kidogo tu wanajikuta wanafanya chochote hasa ukiangalia wengi background zetu kipesa sio nzuriKila la kheri Mkuu, Halmashauri nyingi hazina Wahandisi hasa baada ya wengi kuhamia Tarura na Ruwasa baada ya Kuanzishwa kwake hizo taasisi, kwahiyo recategolization ingefanyika nyie wote mngehamia Idara za Ujenzi za Halmashauri iwapo mna Bachelor degree za Civil Engineering
Mie siendi ualimu hata iwejee, yaan 4,yrs afu nikashike chaki, sasa si ningesoma ualimu tyuuh. AaaaaahChangamoto sana, pressure za maisha kama mtu ana B.Eng Civil hakosi mahala kama anasubira. Nakumbuka nilipomaliza chuo wiki ya kwanza nilikuwa navi stress nikataka hadi niwe mwalimu na nilienda hadi fanya interview na B.Eng flani.. ila nilipo rudi gheto nikawazaaa.. nikafunga mkandaa ndio ikawa mwanzo wa hostory mpya. Vijana wengi wanatoka chuo na image flani zikipishana kidogo tu wanajikuta wanafanya chochote hasa ukiangalia wengi background zetu kipesa sio nzuri
Kuna stress sana hasa sie wanaume ambao tulikuwa tunasomea vijiji ( ukoo mzima unakutegemea ). Unaona mwisho wa siku bora ufanye kazi yoyote usaidie home na wewe ujikwamue.. ila kama maisha safi una relax tuMie siendi ualimu hata iwejee, yaan 4,yrs afu nikashike chaki, sasa si ningesoma ualimu tyuuh. Aaaaaah
Kwanini asifanye re-categorization awe Mhandisi kamili. Anapenda kufundisha tu.Mkuu asante Kwa ushauri wako
Embu fikiria baadhi ya watu wameajiriwa na Diploma za Engineering lakini analipwa mshara wa TGTS C3,
Ana deni la bodi ya mikopo Kwa maana wakati anaajiriwa alikua final year ya Bachelor Degree in Engineering
Amejaribu kupeleka cheti cha Bachelor Degree in Engineering, Maafisa utumishi wanasema system haikubali hadi apeleke cheti cha ualimu Kwa maana bachelor degree in education (yaani akasome tena 3 years Kwa gharama zake)[emoji24]
ana familia, amepanga nje Kwa mshahara wa around 400K
Mkuu acha tu,
By the way mie ualimu sio fani yangu kabisaa, duuh mbna hataree hii lolKuna stress sana hasa sie wanaume ambao tulikuwa tunasomea vijiji ( ukoo mzima unakutegemea ). Unaona mwisho wa siku bora ufanye kazi yoyote usaidie home na wewe ujikwamue.. ila kama maisha safi una relax tu
Hata walio walimu wengi sio kitu wakipendacho ila hali za maisha wakaona wakimbilie huko.. hata ukandarasi pia wapo walio komaa nao kwa kuhisi kupata kazi haraka ila sio karama yao.. basi hapa bongo nyosooBy the way mie ualimu sio fani yangu kabisaa, duuh mbna hataree hii lol
Unaweza kupitia Ualimu then ukishaajiriwa ukaomba ufanyiwe recategolization ukarudi kwenye Uhandisi wako.Mbna mnatutishaaa, tulikimbia ualimu, then turudi huko tena kwa mlango wa nyumaa, aaaaaaah
Kwanini asifanye re-categorization awe Mhandisi kamili. Anapenda kufundisha tu.
Ulichosema ni sahihi, wengi tukiwa Chuo tunakuwa na perception kubwa za mafanikio hasa tukiwa tunadanganyika na Neno Engineer.Changamoto sana, pressure za maisha kama mtu ana B.Eng Civil hakosi mahala kama anasubira. Nakumbuka nilipomaliza chuo wiki ya kwanza nilikuwa navi stress nikataka hadi niwe mwalimu na nilienda hadi fanya interview na B.Eng flani.. ila nilipo rudi gheto nikawazaaa.. nikafunga mkandaa ndio ikawa mwanzo wa hostory mpya. Vijana wengi wanatoka chuo na image flani zikipishana kidogo tu wanajikuta wanafanya chochote hasa ukiangalia wengi background zetu kipesa sio nzuri
Kwa mwezi kama laki nne , dah! Changamoto sana. Tunasafari ndefu kuwa sela nzuri ya ajiraUlichosema ni sahihi, wengi tukiwa Chuo tunakuwa na perception kubwa za mafanikio hasa tukiwa tunadanganyika na Neno Engineer.
Ukija kitaa ndiyo unakutana na uhalisia wake. Mimi kuna mahali nilipata tempo kwa Wahindi, washenzi wale wakawa wananilipa laki 1 kwa wiki wakati huo nasimamia Ujenzi wa Magati Bandarini.
Onga vizuri na Afisa Utumishi. Honga hiyo ndio Tanzania.Iyo re-categorization anakufanyia nani?
Jamani hawa DHRO hawafanyi chochote wanasubiri tamko kutoka Tamisemi,
Ingekuwa rahisi ivo sizani kama kuna mtu angebaki hata kwenda kufanya interview utumishi hawataki na hawapitishi barua yako,
Binafsi nimejaribu sna kuhama Idara, kuomba transfer au re- categorization, bila mafanikio,
Kuna jamaa mmoja alifanikiwa wa Shule moja nae Baba Ake ni mtu mkubwa Tamisemi,
Mkuu kama unajua jinsi ya kunipa connection ya kuchomoka naomba sna.
Kwanini uli opt post graduate ya education badala ya ile ya law school Mkuu?.sasa mwamba shida ipo wapi, finya postgraduate hata open universty then peleka vyeti ili uthibitishwe , mimi nilisoma law nikapiga postgraduate in education nachapa kipindi hapo shule, nikiendelea na michongo mingine , tatizo la ajira ni kubwa nchi hii shikilia hapo kwanza badae utajiongeza
Ulichosema ni sahihi, wengi tukiwa Chuo tunakuwa na perception kubwa za mafanikio hasa tukiwa tunadanganyika na Neno Engineer.
Ukija kitaa ndiyo unakutana na uhalisia wake. Mimi kuna mahali nilipata tempo kwa Wahindi, washenzi wale wakawa wananilipa laki 1 kwa wiki wakati huo nasimamia Ujenzi wa Magati Bandarini.