Waraka kwa Rais Samia kuhusu vilio vyetu sisi Wahandisi tulioajiriwa kama Walimu

Mkuu point yako ya kwanza siwezi kuijibu Kwa sababu serikalini ndio iliyotuhitaji tufufue ufundi nchini

Point yako ya pili ndio kilio chetu, hizi shule zina malab technician na Ma technician ambao wamethibishwa na sio walimu
Kama nyie siyo walimu ilikuwaje mkaajiriwa

Pili kwaani mtumishi asiye mwalimu hathibitishwi mpaka akasome?
 
Hii thread imeshiba
 
Inabid atafutwe mbunge yoyote kama msukuma akaliulize hili swali bungeni nadhan majib yanaweza kupatikana
 
Kweli kabisa Mkuu,

Lakini uwezi amini hadi speaker analijua na alihaidi kulisemea lakini mpaka yeye kawa kimya
1) Busungwa pia alikua analijua, Silinde pia alihaidi atalifanyia kazi,

Hadi huyu wa sasa Deogratius Ndejemi Naibu pia analijua, hadi Ndalichako pia analifahamu, Nadhani Ila sina uhakika Angelah Kairuki analifahamu
Inabid atafutwe mbunge yoyote kama msukuma akaliulize hili swali bungeni nadhan majib yanaweza kupatikana
 
ENGINEER ,kuwa mwalimu ,inashangaza ,lakini kwa shule mlizo pelekwa naamini wameona mnafiti ,miaka hiyo around 2000's thlikuwa na mwalimu muajiriwa kabisa alikuwa na bachelor degree ya engineering na alikuwa anafundisha SoMo moja tu la agriculture engineering,O level hiyo.
 
Inashangaza, ndo maana wengine wanaona kama haiwezekani,

Lakini Tunamuomba Mama yetu atauangalie na aseme neno Tu na kwaimani mioyo yetu itapona
 
Duuh
 
Shukrani Mkuu
 
Umenena vyema
 
Hiyo sio ajira Bali ni umanamba
 
Shida yote hii ni kwa sababu ya maslahi tu hakuna kingine...

Mngekuwa mnalipwa 2M hata bila mikataba msingelalamika...
 
Pole Sana aiseh ulivyofika vyuoni ungebadil muundo wa ajira yako kuwa mhandisi na siyo mwalimu[emoji135]au ungeajiriwa Kama tutorial assistance ingekuwa yenyewe ila ualimu mweh ngumu kumeza
Kumbe sekondari kuna tutorial assistance[emoji23]
 
Hata mie naona kabisaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…