Oscar M Lungu
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 477
- 741
Hili baraza la waaskofu lina mkosa mtu mmoja tu ; sheikh ponda .ingekua pesa inatumika kusajiri imank ya mtu bhasi Ponda ni mtu sahihi kabisa kuungana na hawa maaskofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesoma mpk mwisho?.Nini ni msimamo wa BAKWATA katka hili?
Je Askofu Pengo anaunga mkono tamko la maaskofu wenzake?
Yes mkuu.Hatimaye nimeliona jina la Baba Askof Pengo.Umesoma mpk mwisho?.
Umeona majina ya maaakofu waliojiorodhesha hapo mwisho?.
Ila kiukweli hata RC no zinasomeka sasa hivi,sadaka ziko hoi,vyuo vyao wanavyomiliki siku hizi inapita hata miezi 4 wahadhiri hawajalipwa hela zao ni Changamoto pia wanazipitia.
Exactly mkuuUchumi
Uchumi si ndo wameporomosha hawa majamaa?
Hata wao hawapo huru wakibaki mmoja mmoja, rejea hoja ya uraia wa niwemugiziMimi naamini ni taasisi za dini ndio pekee ambao wamebaki na nafasi ya kukosoa na kuielekeza serikali, wengine wote wamefungwa midomo ikiwamo Bunge.
Vv
Huyo askofu kuna wakati utagundua kuwa kumbe alikuwa anapita kwenye njia nyembamba na inayosonga sana ambayo waionayo ni wachache...and don't say i did not warn you!Wewe unaonekana ni askofu wa uswekeni kama gwajima.
Huyu muhubiri wangu hapa kama hafanyi makusudi kupotosha hayo mambo...basi kuna walakini mkubwa katika uelewa wake wa mambo.....

Imebidi nikakinunue kitabu kabla hakijaisha.
Aliyekuambia kuponya wagonjwa na kutoa pepo pepo ndio Injili ya kweli ni nani..??? Hiyo siyo Injili kama ulikuwa hujui.wanafuata mafundisho ya Yesu as they are, kama kuponya magonjwa, kutoa pepo, kuhubiri injili ya wokovu just like what Jesus and the disciples did
Vipo vingi tu kwenye meza za vitabu nje ya kanisa.
Raisi Magufuli naona huu ujumbe umemlenga yeye,bado kungali mapema,lakini anaweza akanyamaza bila kutoa tamko au akawapa za uso ili nchi ianguke ikiwa chini yake,au akaamua kuachana na itikadi kali,na hilo nafikiri analiweza.anaweza kuwaita wachochezi
Matthew 10:8 New International Version (NIV)Aliyekuambia kuponya wagonjwa na kutoa pepo pepo ndio Injili ya kweli ni nani..??? Hiyo siyo Injili kama ulikuwa hujui.
Injili ya kweli ni " kutibu na kuiamini Injili, Kuhubiri Upendo kwa kila kiumbe, kusaidia maskini, yatima, wajane, wagonjwa, wafungwa...nk.nk...'
Hiyo ndo injili ya kweli....hayo uliyoyataja ni usanii wa wa kina Kakobe, Mwingira wa wa kupiga pesa