Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Dr. Slaa mnafiki sana. Yeye ndio mchochezi wa vurugu zote hizi lakini leo anajifanya kamuachia Tundu Lissu ndio atoe taarifa kwa waandishi.

Dr. Slaa ni mwanasiasa mlaghai...

unafafana na comments zako; we sijui la kusema
 
pole sana, subiri uone anapovuliwa uanachama na ubunge, nadhani hapo akili ndioitawakaa vems

Mumvue Uanachama kwa tuhuma gani? hizi za mikakati ya kugombea uenyekiti?
Tundu Lissu anaiaibisha sana taaluma yake, sitaki kuamini eti waraka ule ni usaliti na uhaini
Ulaya wanasiasa wanalipa wataalamu kuwaandalia mikakati ya ushindi kama hiyo lakini CDM ni usaliti.........what a shame
 

CCM wanamtumia Zitto kama informer;


Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013
20:28
From: " Mwigulu Nchemba "
<shimbi85@gmail.com> >
To: “ Emmanuel Nchimbi” <
nchimbie@yahoo.com >
On Sunday, November 17, 2013
6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba
<shimbi85@gmail.com> wrote:
sawa boss,,jumatano saa moja
imekaa safi kabisa. tuchape kazi.
ntakupa update nikitoka kuonana na
zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde
MN
2013/11/17 Emmanuel Nchimbi <
nchimbie@yahoo.com >
bila shaka vijana wamefanya kazi
nzuri sana. mapambano yanaendelea,
hakuna kulala, hapa sasa tume lote
livunjwe na huyo waryoba
apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana
mazuri ya kuongea na wewe. kuna
mapya pale ufipa, nimeshaongea na
mh. zitto na amenipa brifieing ..
tukutane jumatano basi jioni ya saa1
pale pale cheer,, Emma
Sent from my ipad
On Sunday, November 17, 2013
5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba
<shimbi85@gmail.com> wrote:
Naona vijana wametekeleza shuguli
vizuri, na cham imewakilishwa vizuri
sana. Msangi jembe, sasa tutaipata
katiba tunayoitaka hicho kikwazo
kikishaondolewa bila shuruti. Alafu
upande wa pili (cdm) inabidi
tuongeze dau ili shujaa zzk abakie
ndani, nasikia kuna mkakati wa
kumtoa kwenye kinyang'anyiro.
tujitahidi sana sana kumsaidia
kujenga mtandao wa ndani apate u
wenyekiti. taarifa zaidi za ndani
zinasema wkamba wanajaribu
kumfukuza kabla ya mwisho wa
mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee,
naona kundi ndani ya bavicha hasa
hiyo mitoto inafanya sana
mashambulizi lakini hawataweza.
inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili
itawasambaratisha. Tuongeze kasi
kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi
wao ni njaa sana nazani 5mil kila
moja inatosha kabisa.wananifata
sana kuomba hela ili wasaidie
nakutana na ZZK baadae plae pa siku
ile, unaweza kufika saa 1 jioni
MN
 
Kwahiyo huu ndio ushahidi uliotumika kumvua nyadhifa zake aliousema mwanasheria mkuu wa CDM Lissu?
Mbona mnaweweseka sana mkuu? mlianza na uchunguzi wa siri mkaishia kukanana leo tena mnakuja na email za kutengeneza mkibanwa nazo mtaruka
Mlivyokuwa wa ajabu eti mkakati wa ushindi ndio mmepata sababu na kuuita usaliti na uhaini, Nimemdharau sana Lissu kukubali kutumika kwenye hili na kuidhalilisha taaluma yake
 

Unachoongea upo sahihi ila shida ni kwamba hawa watu wamekuwa too much! Ni zaidi ya miaka Zitto amekuwa Zitto na mbaya Zaidi ni kuwa Zitto anapenda Uenyekiti kuliko anavyoipenda Chadema jambo ambalo nalo ukilitafakari sana haliingii akilini maana issue km ni uenyekiti mbona kuna vyama vingi ambavyo anaweza kupata nafasi hiyo ? Hitimisho la maswali yote hayo ni kuwa Zitto ni MSALITI alikuwa Chadema kwa kazi maalum ya kuisambaratisha Chadema,Kitila Mkumbo ni msomi mjinga tu asiyejua hili wala lile anatumiwa bure na Zitto.
 
CC ni kwa Mbowe na vibaraka wake
Serena ni kwa wenye chama halisi, UMMA

wenye chama ndio waliokiasisi, na kukijenga au wenye ndoto za kuvuna...wapuuzi kabisa.Mmeshaanza pata njaa..si muiache CDM ife bila huo uwezo wenu mkubwa.
 

Ninachoomba Mungu asijefundisha mwanangu...machapisho yake yatakuwa mfano mzuri wa kufundishia watoto shida namadhara ya watu walio too naive, walio na haraka ,wasio na bisara ,na selfish ..huku wakiwa na jeuri ya Uchawi wanavyoweza potosha jamii na kutokuwa responsible.
 
pole sana, subiri uone anapovuliwa uanachama na ubunge, nadhani hapo akili ndioitawakaa vems


Tena huku kwetu Kigoma tumemsanukia mapema sana tu!

Zitto hasara kwa chama chetu cha Demokrasia na Maendeleo.

Hata ukoo wao wote waihame CDM itabaki kuwa chama cha wanainchi wapenda AMANI.
 
Last edited by a moderator:

Zitto nimewahi sema mara nyingi hana adabu..,hana BUSARA, hana staha, hana upendo wa wengine wala uvumilivu kwa sifa yoyote wanayoweza pata wengine jukwaani au hata ktk Bunge.Zitto ana low self esteem..aliponunua magari yake ya kifahari cha kwanza ni kwenda mpa Mbowe ride ili ajipe ridhiko la roho kuwa sasa yupo matwi ya juu yake.Zitto amekimbizana na elimu ili aje shindana na Viongozi mahiri wa CDM...Wafuais wake walitoa matusi tuu.Ila ktk waraka km ulivyoandikwa Mhusika kwenda kwa masalia wote.Unasema kabisa tabia zake,madhaifu yake, upumbavu wake, kushindana kwake na uobgozi wa juu personally, na jazba etc..wameshindwa tuu kuandika HANA BUSARA KWA VILE ingetosha malizia vikao vyao.

Zitto ni very irresponsible kijana ktk zama hizi huku akiwa kapewa nafasi kubwa kuliko uchokoraa wake..Zitto ni chokoraa anayemix kutoka ktk uzururaji hadi ktk siasa za juu.Ndio maana anakosa heshima to the core..matusi aliyokuwa akipost kwa id mbalimbali na kutumia wapambe wake hayakuwa na huruma wala hofu ya Mungu kwa Dr.Slaa, Ndesamburo,Mbowe, na wengine...Huwa najiuliza ni kuwa na mzazi mmoja ambaye alikuwa akilalama na kumtukana babaye kwa issue z amatunzo na wivu wa mama au ni kuhudhuria mihadhara ya watu wanathubutu mtukana Yesu, mama yake na hata,viongozi wa Kikristu kwa kila matusi wawezayo na mizaha mingine.
 
kwanini CCM roho inawauma zzk kupokwa madaraka? Nitafurahi akijtoa kabisa chamani, hakupendezwa na ujio wa wabunge vijana bungeni, alitaka awe kijana peke yake bungeni..aende akaue panya huko kigoma!

Kwa vile imekuwa too soon ,too premature and damn costly.Nipo very sure CCM hawana exit plan dhidi ya hawa masalia na Zitto is too dangarous kwa ccm kwa sasa na baadae.
 
Sijaona Kosa la Zito kabwe katika huu waraka, Pia kikao kimefanya uamuzi wa pupa mno kumvua madaraka! Katika Taasisi kubwa kama hiyo ni lazima kukubali ushindani wa Ndani ukiwa na mikakati ya ushindi kwa kila kundi, Nimeusoma kwa makini sana huo walaka Sijagundua kosa la Zito.
Kwa upande wa pili Najua jamii itauamini walaka huo kama kweli Mkuu wa sasa Atagombea tena! Pia wanachama wengi watamuona ni Mroho wa Madaraka.
Ndio maana miaka yote huwa nasema sitakuwa mwanachama wa chama chochote abadani.
 
wenye chama ndio waliokiasisi, na kukijenga au wenye ndoto za kuvuna...wapuuzi kabisa.Mmeshaanza pata njaa..si muiache CDM ife bila huo uwezo wenu mkubwa.
Huwezi kubaka demokrasia kwa kigezo cha kuasisi mkuu, hata niki join CDM kesho na nikakidhi vigezo nagombea nafasi ninayokidhi vigezo
Ni upuuzi kwa mwana taaluma wa sheria kama Lissu kutumika kuaminisha umma eti mkakati ule ni uhaini na usaliti
CDM kama chama mbadala mnataka muachwe mlemaa na kubaka demokrasi mkichukua nchi mtatusumbua raia
Mnatumia kodi zetu kwa mamilioni so tuna haki ya kuhoji tunapoona hamtendi haki
 

Mkuu nimeusoma waraka huu zaidi ya mara tano sioni hicho walichomtia hatiani
Huu ni mkakati upo genuine kabisa, Lissu ameniangusha sana
Inawezekana kweli Zitto akawa ni muhaini wa chama lakini si kwa huu waraka
 
Weel labda nirekebishe kidogo..JAMES BOND SI MSANII ILA NI CHARACTER KTK MOVIE CODENAMED 007.hIZI MOVIES HUWA ZINAJENGA IMAGE FULANI KTK SPY MOVIES .Huwa zina jaribu push human,mind and science to the limit...wakati akina Zitto na wengine wakijaribu tengenza scenes zenye plots,naploys mbalimbali kwa viwango vile.Mengi yameonekana.Wameandika CV ya Zitto ,wameandika mapungufu, ujinga na makosa yake kwa usahihi kuliko uwezo wake.Wameandika km kuthibitisha yote ambayo Zitto alikuwa akihisiwa au kushutumiwa.

Tofauti na 007 ambaye kila sifa aliyepewa haikumtoka bahati mbaya.Na ilikusudiwa kwa watu wenye uwezo wa kuchambua na kuon amapungufu haraka sana.Na hiyo kila kilichondikwa kimekusudiwa.Kw ahawa jamaa walipeleka msg ambayo hata wenyewe hawakujua.Kwa vile walikuwa na akili ya bongo movies ktk 007 release.Wameishia andikwa ukweli mkubwa sana kwa Zitto,ukweli ambao amekuwa akiupinga sana.Busara,Jazba, chuki dhidi ya wengine, majivuno, dharau, na mipango miovu ktk timu...

Zitto haamini ktk movements za chama km watu walivyokuw aakimlalamikia,Zitto anajaribu tafuta urafiki kwa dola amabyo tumeona ikiwatia wenzie hatarini kwa maboomu, na kukataa kuwalinda..Anaonge akma hajui kuwa CDM wakingia wanaweza jenga majeshi upya.Sasa km hana ho upeo ni kiongozi..?

Hapa naona unauma sana kitu BUSARA as if kuna wengine wakubwa sio na busara, ila hapa busara inayosemwa kukosekana kwa Zitto ndio iliyoleta shida.Hao wengina hata km hawana busara ila bado hajafikia kikwazo cha kuwashinda so far....hadi sasa wamevuka ngazi aliyoshindwa Zitto.
Anayway ushawishi wa mtu kwa mwinginie unahcnagiwa na mengi sana..kuanzia mahusiano, kuaminian, au mwingine kuwa na kingine kinachoupa ubongo wake nafsi ya kutoa upendeleo.Ndio maana niliwahi ona jamaa kalaainika kwa binti mwenye kengeza kwa vile ubongo wake ulikuwa na shida kutambua kengeza na kurembua.Kuna mengi sana yanaweza kushawishi umkubali kitila ila si uwezo wake wa kusema.Kwa ujumla hana mvuto na hawezi ongea na watu wasio mjua, au watu wanaojibizana na akawa na ushwishi.Inawezekana kabisa kuwa umevutia na sifa nyingine zinazowaunganisha, zikijaziwa na idara ya proganda iliyo ya hovyo sana pale UDSM.
jaribu kutokuwa biased ktk mind yako ili uwezo wako wa kifikra ujijenge.halfu jaribu kuangalia vitu rationally

Well,wameshindwa ktk jaribio lao, je wangefanikiwa?inaondoa vipi makosa?Naona tayari mmeshaingia line kutaka asamehewe kabla hata ahajaomba msamaha.Nakumbuka ni hizi hisia tangu mwanzo mlikuwa mkimkingia kifua kiasic ha kumfanya asiwahi omba msamaha wanachama kwa mambo ambayo yalishaanza jitokeza.
Bahati mbaya sana hapa na hata kipindi cha nyuma BUSARA automatically ilikuwa ni shinikizo kwa Zitto ambaye alikuwa akitaka badili maisha ya kawaida, na mipangilio ya chama kuwa atakavyo.Haikuwa ni requrement kwa wengine ambao mambo mengi yaliyoshusu chama yalifanyika kwa busara, maisha binfasi ya Zitto yalihitaji busara ya Zitto.

By the way kwanini unadhani kuwa Zitto alihitaji kuwa treated tofauti na wale madiwani au akina Mtella Mwampamba?HAwa vijana mara moja walikuja na kualaumu sana kwamba kwanini Zitto anawatosa wakati ndiye alikuwa mfadhili mkuu?KWANINI UTAKE CDM WAWE NA DOUBLE STANDARD KTK HILI JUST BECAUSE WANATAFAUTA BUSARA YA TOFAUTI.kapewa nafasi ya kujitetea ktk kosa la stage ingine..kwa kueleza ni kwanini wasivuliwe uanachama.

Mkuu haihusiani na ushindani ktk chama..hayo nimapinduzi kabisa..ni pamoja na kupinga core issues za chama km harakati zote kazipinga, kuwadhalilisha wengine waziwazi wakati wengine hawafanyi hivyo,kudiriki wanyima chama ushidni na kuwapa hali na mali NCCR mkoa mbao alipaswa onyesha kw avitendo kuwa yeye anakubalika kule.

MKUU HAKUHITAJI SANA BUSARA KUDEAL NA MBWA UMPENDAYE HALAFU AKAPATA KICHAA NA KUWA HATARI KWA MBWA WENGINE NA WATOTO NDNAI YA NYUMBA.kWANZA HAO JAMAA WAMEKUWA SANA FAIR.Km zitto hakuweza kuwa na ufahamu wa kujua kuwa kavumiliwa sana,kwa mamabo yake,bado akazidi kupush to the limit ni wazi kuwa Zito anashida.
umewek mambo mawili pamoja hapa,suala la Lowasa na shinikizo mnalotamani liwepo kwa akina mbowe ktk kuongoza kwa vile zitto hayyupo.

Kwanza tukubaliane CCM sio mfano mzuri ktk siasa za kisasa na hata za kizamani.Pili Lowasa hajawahi cheza nje ya culture ya CCM, na rules zao na siku zote uhai wa chama ni tegemeo lake.

Ktk CDM hakuna siasa za kumwekea mwingine sumu ktk pombe yake ili wew uuze, ila kuuza pombe nzuri ili mteja akionja ya mwingine aiache na kuja kwako bila yeye kuadhibiwa.Zitto na mbowe na slaa ,katuma matsi mengi sana ID zake ambazo pia zimetajwa kuwa nyingi sana.


Sioni sababu ya akina mbowe kuwa na Shinikizo la kiuongozi just kujikosha kwa Zitto,wao hawakuwa na ukosefu wa wa adabu,busara ,na mengine yanaweza wapelekea ktk kuwajibishwa.Sasa ya nini leo wapate shinikizo?



km umekubaliana na huo usemi wa mwigulupia ukubali kuwa msigwa aliposema hayo alimaanisha ktk Bunge na ktk nchi CCM kutawala watanzania.Na hilo nikweli sasa km unakuablina na mwigulu ambaye naye ni akili ndogo niwazi hakuna credibility kwani utakuwa ni uthibitisho wa akili ndogo kushawishi kubwa.

Democrasia haiondoi mhuni kuadhibiwa.Na Zitto asidhani wingi wa supporters hauondoi ukweli ,hata kwa kushinikiza.Anachojaribu kuchnganya Zitto ni mashinikizo ya kupata tamaa yake inayotaka na si Ukweli au haki ya mambo.Ni absurdity kabisa.

Zitto hakuwa na akili ya kutosha kujijua kuwa mara ngapi kapona na hakuwa sahihi,hakutaka hata wajibisha akili yake ajuae kwa kiasi gani kavumiliwa kuliko hata yeye angeweza samehe na kubumilia wengine.

Democrasia is mvuto tuu wa hisia dugu yangu,ni watu kujua haki zao, kujua nini wanataka, na kujua nani anaweza faniisha wakitakacho.Na huku wakijitahidi kuji control ili watake vitu vilivyo ktk haki, nao watende haki kuchagua mtu anayejali maslahi na wengine.

Bila hivyo hata wahuni na wachawi wanaweza kuwa wengi wakachagua mchawi,mhuni,mwizi mwenzao ili uovu uje kuw ajuu,hiyo si democrasia kwa vile hakuna kuwajibika kwa wapiga kura, na mpigiwa kura naye hawajibiki wala kutaka haki itendeke na kiicho bora hata kwake kutoka kwa mwingine kinastahili pewa kiapaumbele.
 
haha si lazima uone kuwa huu ni ushahidi kwani kwa akili yenu mlidhani kuwa mmepiga issue za 007 kwa kaili zenu hizo ambazo jamaa wanaziita zina njaa sana 5mil inatosha sana kuwaharibu sana kili.

Pia waraka uansema jinsi anavyoutamani uenyekiti na nchimbi anasemahapa, kuhusu uenyekiti na njaa zenu....Ushahidi kauchukue Lumumba ambao ndipo wanalia na kusaga meno waliokuwa wakichukua hela halafu projects zianbooma.Na maccm yaliyo ya ajabu si ajabu yalikuwa yanaDALALIA NA KUPIGA CHA JUU KTK HIZO RUSHWA AMBAZO WAKIPUNGUZA HATA SANA WANAKUTA TIMU NJAA YA ZITTO.
 

Utaonaje wakati nyie ndio mlikuwa braina behind..ukikubali si Zitto anakumaliza kw akuharibu investmente kubwa kihivyo.

Lini umeambia tatizo linatatuliw ana akili iliyolet ahilo tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…