TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,041
Kama huyo jamaa yake ni maarufu sana mshauri aanzishe chama chake cha siasa!CC ni kwa Mbowe na vibaraka wake
Serena ni kwa wenye chama halisi, UMMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huyo jamaa yake ni maarufu sana mshauri aanzishe chama chake cha siasa!CC ni kwa Mbowe na vibaraka wake
Serena ni kwa wenye chama halisi, UMMA
CC ni kwa Mbowe na vibaraka wake
Serena ni kwa wenye chama halisi, UMMA
Dr. Slaa mnafiki sana. Yeye ndio mchochezi wa vurugu zote hizi lakini leo anajifanya kamuachia Tundu Lissu ndio atoe taarifa kwa waandishi.
Dr. Slaa ni mwanasiasa mlaghai...
pole sana, subiri uone anapovuliwa uanachama na ubunge, nadhani hapo akili ndioitawakaa vems
Unatumia makalio kufikiri?
Mumvue Uanachama kwa tuhuma gani? hizi za mikakati ya kugombea uenyekiti?
Tundu Lissu anaiaibisha sana taaluma yake, sitaki kuamini eti waraka ule ni usaliti na uhaini
Ulaya wanasiasa wanalipa wataalamu kuwaandalia mikakati ya ushindi kama hiyo lakini CDM ni usaliti.........what a shame
Kwahiyo huu ndio ushahidi uliotumika kumvua nyadhifa zake aliousema mwanasheria mkuu wa CDM Lissu?CCM wanamtumia Zitto kama informer;
Subject: Fw: kazi nzuri
Date: Sunday, November 17, 2013
20:28
From: " Mwigulu Nchemba "
<shimbi85@gmail.com> >
To: " Emmanuel Nchimbi" <
nchimbie@yahoo.com >
On Sunday, November 17, 2013
6:15:44 PM, Mwigulu Nchemba
<shimbi85@gmail.com> wrote:
sawa boss,,jumatano saa moja
imekaa safi kabisa. tuchape kazi.
ntakupa update nikitoka kuonana na
zzk. mh. Lukuvi namtafuta punde
MN
2013/11/17 Emmanuel Nchimbi <
nchimbie@yahoo.com >
bila shaka vijana wamefanya kazi
nzuri sana. mapambano yanaendelea,
hakuna kulala, hapa sasa tume lote
livunjwe na huyo waryoba
apumzishwe. mtafute mh. Lukuvi ana
mazuri ya kuongea na wewe. kuna
mapya pale ufipa, nimeshaongea na
mh. zitto na amenipa brifieing ..
tukutane jumatano basi jioni ya saa1
pale pale cheer,, Emma
Sent from my ipad
On Sunday, November 17, 2013
5:55:02 PM, Mwigulu Nchemba
<shimbi85@gmail.com> wrote:
Naona vijana wametekeleza shuguli
vizuri, na cham imewakilishwa vizuri
sana. Msangi jembe, sasa tutaipata
katiba tunayoitaka hicho kikwazo
kikishaondolewa bila shuruti. Alafu
upande wa pili (cdm) inabidi
tuongeze dau ili shujaa zzk abakie
ndani, nasikia kuna mkakati wa
kumtoa kwenye kinyang'anyiro.
tujitahidi sana sana kumsaidia
kujenga mtandao wa ndani apate u
wenyekiti. taarifa zaidi za ndani
zinasema wkamba wanajaribu
kumfukuza kabla ya mwisho wa
mwaka, tuendeleze vita hilo lisitokee,
naona kundi ndani ya bavicha hasa
hiyo mitoto inafanya sana
mashambulizi lakini hawataweza.
inabidi wadhibitiwe. rockup wiki mbili
itawasambaratisha. Tuongeze kasi
kwa wajumbe wa kamati kuu. wengi
wao ni njaa sana nazani 5mil kila
moja inatosha kabisa.wananifata
sana kuomba hela ili wasaidie
nakutana na ZZK baadae plae pa siku
ile, unaweza kufika saa 1 jioni
MN
Ahahaha hili la sinema nalikubali. Lakini, mkuu wangu sinema siku zote hubakia sinema ya James Bond ambaye ni msanii tu ukianza kufikiria kwamba kuna James Bond wa ukweli badala ya riwaya ya kiini macho basi hutapata usingizi. Na ndicho kilichofanyika maana huu waraka umewanyima watu usingizi na sio chama wala wanachama.Isipokuwa sasa mnatulazimisha watu wote tulale na mashoka kwa WOGA.
Pili swala la BUSARA nimekuwa nikisema sana hapa JF kuhusu Vijana na kipawa hiki ya kwamba hakiji kwa barehe bali kula chunvi na kuona mengi. Katika maisha kila mtu hupitia mitihani mingi na maamuzi yake hutokana na kujifunza pale waswahili wasemapo dunia itamfunza na ndipo Hekima na Busara hukupanuka. Katika hili ndio maana watu hushangaa mtu mzima anapo act kama mtoto mdogo kwa maana ya kwamba umri wake haukupanua kiwango cha busara zake!
Swala la Kitila nadhani unalikosea sana kwa sababu sina mahusiano na Kitila, isipokuwa ndiye alonipa darasa kuhus Chadema na kuvutiwa. Kuna wengi humu JF walijaribu kutushawishi lakini hawakuwa na mvuto ktk ushawishi wao. Pengine hata Mbowe au Zitto wangenambia nisingejiunga ila Kitila aliweza kupandikiza mbegu kichwani mwangu na kuniaminisha kwamba Chadema ndicho chama kinachosimamia sera na ilani nazopigia kelele siku zote. Na kama unakumbuka vizuri, mimi nilikuwa napiga vita vikali sana UFISADI na nikasema Tanzania pasipo kuondoa Ufisadi haita jalisha ni kiwango gani cha makuzi ya GDP, bado wananchi wataendelea kuwa maskini na kuna hatari ya kuunda madaraja (class) ya wananchi. Na kwa bahati tukamchagua Dr.Slaa ambaye kazi yake kubwa ilikuwa kupiga vita UFISADI na hakika Chadema ilipata mvuto mkubwa zaidi kutokana na hili pekee.
Zitto pamoja na mabovu yake tumemsema sana humu JF na sisi wengine tumejiunga CDM bila kujua kuna makundi maana huu waraka unaonyesha hawakuanza jana wala juzi isipokuwa kundi hili lilikuwepo toka mmwaka 1998 na historia inatuonyesha wazi kwamba muda wote wameshindwa kumweka mtu wao kiti kikubwa. Ina maana mbinu hizi hazina madhara kwa chama maana kama ingekuwa hivyo basi ingetokea ktk chaguzi zilizopita.
Nitaendelea kusema tu ya kwamba HEKIMA na BUSARA hutumika wakati nkama huu na hakika sidhani kaa viongozi wetu wametumia HEKIMA na BUSARA katika swala hili. Kama ingekuwa Zitto na Kitila wanataka kuunda chama kingine tokana na CDM na kuwavuta wanachama wa CDM ama kuwaondoa CDM hapo ndipo tungesema huu ni USALITI lakini mbinu zzote za kumuondoa kiongozi ama viongozi ambao wanakwaza ama kukawiza mafanikio ya chama, sidhani kama yanahitaji hukumu kama hii kwa sababu inaondoa kabisa Ushindani ndani ya chama. Nani sasa hivi atadiriki kufanya maandalizi ya kikampeni ili kuchukua uongozi uchaguzi ujao maana lazima mtu ajipange na watu wanaomkubali na maamuzi haya yamekuwa fundisho kwa wale wote wanaofikiria wanaweza kujiandaa kugombea vyeo Chadema.
Huyo Lowassa huko CCM mbona inajulikana vizuri tu kuwa anajipanga kwa ajili ya 2015 na amejaza wajumbe wanaomkubali ktk mabaraza yote muhimu ya chama kwa ajili ya 2015! Nina hakika Membe pia ajipanga, January na wengineo na wala haikuanza jana. Watu hujiandaa kwa miaka, na hakuna kosa kutokubaliana na uongozi uliopo. Kinachotakiwa ni Mbowe na Dr.Slaa kutuonyesha sisi wananchama kuwa wana uwezo mkubwa zaidi ya makundi haya na watapendekezwa kuendelea na madaraka.
Mkuu wangu, wakati mwingine tuikubali Demokrasia pamoja na madudu yake, ndivyo inavyochezwa na hatuwezi kuendelea na mfumo ule ule wa Kikomunisti ambao Upinzani ndani ya chama ni USALITI. Hapa ndicho kilichotumika japo huyo Mwiguru katumia neno - Akili ndogo kutawala akili kubwa. Ukweli ni kwamba akili za kijamaa kikomunist zimetumika badala ya kutambua kwamba huu ni wakati wa Demokrasia ambapo mwenye mvuto zadi ndiye huwa mshindi hakuna kulazimishana. Kundi hili lisingeweza kuwavutia wajumbe wote baada ya kuoneshwa waraka huu na nina hakika wangepigwa chini japo ilikuwa ni siri yao.
Maasalaam nilikuwepo.
Ni dhambi kutofautiana kimtizamo? Je hiyo ndio demokrasia?
CC ni kwa Mbowe na vibaraka wake
Serena ni kwa wenye chama halisi, UMMA
Jinsi upepo wa kisiasa unavyovuma, siku za Zitto kubaki CDM zinahesabika! Muda si mrefu atanyang'anywa kadi. Je, options zilizopo ni zipi?
1. Atahamia CCM (nyumbani), au,
2. Atahamia CHAUMA (Chama alichokianzisha yeye), au,
3. Atafungua shauri Mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama, au,
4. Atahamia Chama kingine kama NCCR (yupo pandikizi mwenzake Mbatia), TLP (nafikiri wataiva vzr na kada mwenzake wa CCM, Dr Lyatonga), au,
5. Ataachana na Siasa. Kumbukeni hili amewahi kulisema huko nyuma kuwa ataachana na siasa na kuendelea na Academics.
Vyovyote itakavyokuwa, Zitto ni mtu hatari sana: "Once a traitor, always a traitor!"
Amesambaza mbegu ya udini/ukanda na ukabila kwa kushirikiana na CCM, labda akiamini kuwa atakuwa nao all along, bila kujali madhara yake katika taifa letu. Watamtumia kama mpira wa kiume kisha haja ikishaisha atatupwa shimoni!
pole sana, subiri uone anapovuliwa uanachama na ubunge, nadhani hapo akili ndioitawakaa vems
Wanajamvi, makala hiyo hapo chini niliisema mwaks 2011, nikimuonya ndugu yangu na kijana mwenzangu Zitto Kabwe juu ya aina ya Siasa zake, nivema tuyarejee yale tuliyoyasema miaka miwili huko nyuma kuhusu siasa za Zitto na wengine,
Hii inatupa fursa ya tafakuri ya nera na machipuko mapya katika kuiendea Tanzania mpya na siasa safi,
Kazi ya kuihujumu Chadema aliyotumwa Zitto Kabwe inapokuwa nzito kwake.
27Sep 2011
Binafsi naitafakari kauli ya Zitto Zuberi Kabwe na ninafurahi kuona kuwa kile nilichoonya kuwa kijana mwenzangu anatumiwa vibaya na ccm sasa kimetimia.
Wakati akihojiwa katika kipindi kiitwacho, Exclusive interview na Millard Ayo cha Clouds FM
Amesema hivi nanukuu Wazee wetu walitusaidia kutupatia maendeleo ya kisiasa, sasa ni jukumu letu kuleta maendeleo ya kiuchumi. Ila naomba nisisitize, jukumu hili haliwezi kutekelezwa na mtu yeyote aliyezaliwa kabla ya uhuru, na ninatangaza kuwa nitagombea urais mwaka 2015″
Naunga mkono kwamba vijana tujitokeze kuleta maendeleo kwa taifa letu, lakini napingana vikali kauli jukumu hili haliwezi kutekelezwa na mtu yeyote aliyezaliwa kabla ya uhuru
Kwanza mimi nasema amewatukana wazee wote Tanzania, huku ni kukosa busara heshima na hana sifa ya Uongozi kwani ni mbaguzi. Wapo Wazee waliozaliwa kabla ya uhuru na wanailetea Tanzania maendeleo na wapo wapuuzi waliozaliwa baada ya uhuru ni wapuuzi wa kutisha yeye akiwemo. Zitto hana busara kwa hili
Amejisemea bila kufikiri. Ana maanisha hata kama mtu ni msomi kama akina Dr Slaa, Dr Gharibu Bilali mtaalamu wa nyuklia na Prof Lipumba hawawezi kusaidia isipokuwa wale waliozaliwa baada ya uhuru? Huu ni uhuni wa kawaida wa Zitto ambaye hujitahidi kujionyesha kama thinker wakati siyo hasa ikizingatiwa hata akiwa shule alipita hivyo hivyo.
Nadhani kwa thinker mzuri hana haja ya kuwatenga watu kwa umri wao bali tabia zao hasa linapokuja suala zima la ujenzi wa taifa. Mbona tuna vijana waliozaliwa baada ya uhuru kama yeye mwenyewe Zitto na wengine lakini bado ni mafisadi???
Kitendo cha kutangaza nia ya kugombea urais 2015 sio kibaya kwakuwa ni haki yake kikatiba, lakini kutangaza nje ya ya utaratibu wa chama chake huu ni uhaini kwa chama. Zitto anajua anachokifanya, na anajua matokeo yake lakini ni jambo la kusikitisha kuwa hajui madhara yake kwake.
Katika tafakuri yangu kwa mapana ya nera, nikamkumbuka mwalimu wangu pale Moscow Urusi, Prof Radav Metbarg aliyenifundisha uhandis wa umeme, huyu alinidokeza aina ya binadamu, hakika ilikuwa muhimu sana ndio maana leo imenijia akilini nikalazimika kuzama kimangamuzi zaidi, nimefanya hivyo ili nimtambue huyu mtu aitwae Zitto Kabwe kiundani zaidi, Katika aina za binadamu Zitto ni wa aina ya Sanguine, hii ni kwamujibu wa tabia zake za kisiasa. Hakika naamini watu wa aina hii ni hatari hasa ukiwasogeza jirani na uongozi popote pale basi wanaouwezo na msukumo mkubwa wa kukupindua. Hiyo ni sehemu ya sifa ya watu wa aina hiyo na kwa ujumla ni waroho wa madaraka.
Lakini najiuliza kwani Magharibi mwa Tanzani ndiko aina hii ya watu inapatikana kweli au yeye ni chipuzi tu? Nikiangalia wenye tabia zake nawaona kama Kafulia, Mkosamali na Shibuda. Lakini sitaki kujikita katika dhana hiyo ya ukanda bali nasimamia kuwa hao ni chipuzi la aina hiyo ya tabia za binadamu ambao ni hatari hasa uwasogezapo katika vyeo vya juu basi huutaka ufalme hata kwa njia ya uasi tu. Muono wangu ni kuwa Zitto hautaki urais na anajua fika kuwa kwa mujibu wa katiba iliyopo yeye hastahili kugombea URAIS, ila kwa gharama kubwa amejichimbia msituni kukihujumu chama chake kilichomlea na kumfanya leo ajione fahali la masika.
Ninarudia tena Zitto hana nia ya urais, nasema hana hata chembe za kuutaka urais ila analengo moja tu nalo nikukivuruga Chama chake tu. Mwili wa Zitto upo Chadema ila moyo wake upo ccm palipo panono, kweli pesa mwanaharamu.
Lakini wadadisi wa siasa za Afrika tunapaswa kulaumiwa sana, tulipopokea mageuzi ya siasa za kidemokrasia na kuziacha siasa zetu za kiimla lakini tulishindwa kupokea hata miundo ya siasa hizo, mathalani vyama vya siasa vyenye ukwasi wa kidemokrasia huwa na utaratibu wa kutengeneza viongozi wa chama, kitaifa na viongozi wa kimataifa. Hili nadhani hata Hayati Mzee Nyerere alifanikiwa kuliasisi lakini baada ya kufariki mabaka demokrasia wamebaka na kubuni mifumo ya kuzalisha watawala sio kuzalisha viongozi tena.
Hili lisiwe turufu kwa Zitto, naamini anatambua njia aipitayo na madhaifu ya muundo huu wa vyama vyetu vya siasa. Ningefurahi na ninaamini wadadisi wote wa siasa za Afrika wangefurahi pia kama Zitto angeanzisha harakati za kuboresha muundo wa vyama vyetu vya siasa hususani Chama chake cha Chadema kilichobeba tumaini kuu la wazalendo na wengi wa nchi hii. Je ccm ya leo bado inautaratibu wa kuandaa vijana kwaajili ya siasa za kesho? kwaajili ya urais? kwaajili ya wanadiplomasia wa kimataifa wakesho? Chadema je? UDP je? NCCR je?
Jambo la kumshukuru Mungu nikuwa Chadema wanajua kila anachokifikiria kufanya, anachokifanya, anakolalia, anakoamkia, anakokutania na wafadhiri wa uasi huu na kila kitu. Kwaujumla chama kinamjua utosi hadi unyayo.
Chadema wamekuwa wakipigana vita mbili kwa mda mrefu, vita hiyo ni ya nje (ccm) na ndani (Zitto, Shibuda na mamluki wengine) lakini mda wote chadema imeshinda na itashinda na itaendelea kushinda daima kwakuwa ni vita kati ya wema na ubaya kumbuka na elewa kuwa kwenye wema Mungu yupo.
Ninachoamini katika siasa duniani ni kuwa hakuna aliyejuu ya chama chake.
kwanini CCM roho inawauma zzk kupokwa madaraka? Nitafurahi akijtoa kabisa chamani, hakupendezwa na ujio wa wabunge vijana bungeni, alitaka awe kijana peke yake bungeni..aende akaue panya huko kigoma!
Huwezi kubaka demokrasia kwa kigezo cha kuasisi mkuu, hata niki join CDM kesho na nikakidhi vigezo nagombea nafasi ninayokidhi vigezowenye chama ndio waliokiasisi, na kukijenga au wenye ndoto za kuvuna...wapuuzi kabisa.Mmeshaanza pata njaa..si muiache CDM ife bila huo uwezo wenu mkubwa.
Sijaona Kosa la Zito kabwe katika huu waraka, Pia kikao kimefanya uamuzi wa pupa mno kumvua madaraka! Katika Taasisi kubwa kama hiyo ni lazima kukubali ushindani wa Ndani ukiwa na mikakati ya ushindi kwa kila kundi, Nimeusoma kwa makini sana huo walaka Sijagundua kosa la Zito.
Kwa upande wa pili Najua jamii itauamini walaka huo kama kweli Mkuu wa sasa Atagombea tena! Pia wanachama wengi watamuona ni Mroho wa Madaraka.
Ndio maana miaka yote huwa nasema sitakuwa mwanachama wa chama chochote abadani.
Weel labda nirekebishe kidogo..JAMES BOND SI MSANII ILA NI CHARACTER KTK MOVIE CODENAMED 007.hIZI MOVIES HUWA ZINAJENGA IMAGE FULANI KTK SPY MOVIES .Huwa zina jaribu push human,mind and science to the limit...wakati akina Zitto na wengine wakijaribu tengenza scenes zenye plots,naploys mbalimbali kwa viwango vile.Mengi yameonekana.Wameandika CV ya Zitto ,wameandika mapungufu, ujinga na makosa yake kwa usahihi kuliko uwezo wake.Wameandika km kuthibitisha yote ambayo Zitto alikuwa akihisiwa au kushutumiwa.Ahahaha hili la sinema nalikubali. Lakini, mkuu wangu sinema siku zote hubakia sinema ya James Bond ambaye ni msanii tu ukianza kufikiria kwamba kuna James Bond wa ukweli badala ya riwaya ya kiini macho basi hutapata usingizi. Na ndicho kilichofanyika maana huu waraka umewanyima watu usingizi na sio chama wala wanachama.Isipokuwa sasa mnatulazimisha watu wote tulale na mashoka kwa WOGA.
Pili swala la BUSARA nimekuwa nikisema sana hapa JF kuhusu Vijana na kipawa hiki ya kwamba hakiji kwa barehe bali kula chunvi na kuona mengi. Katika maisha kila mtu hupitia mitihani mingi na maamuzi yake hutokana na kujifunza pale waswahili wasemapo dunia itamfunza na ndipo Hekima na Busara hukupanuka. Katika hili ndio maana watu hushangaa mtu mzima anapo act kama mtoto mdogo kwa maana ya kwamba umri wake haukupanua kiwango cha busara zake!
Anayway ushawishi wa mtu kwa mwinginie unahcnagiwa na mengi sana..kuanzia mahusiano, kuaminian, au mwingine kuwa na kingine kinachoupa ubongo wake nafsi ya kutoa upendeleo.Ndio maana niliwahi ona jamaa kalaainika kwa binti mwenye kengeza kwa vile ubongo wake ulikuwa na shida kutambua kengeza na kurembua.Kuna mengi sana yanaweza kushawishi umkubali kitila ila si uwezo wake wa kusema.Kwa ujumla hana mvuto na hawezi ongea na watu wasio mjua, au watu wanaojibizana na akawa na ushwishi.Inawezekana kabisa kuwa umevutia na sifa nyingine zinazowaunganisha, zikijaziwa na idara ya proganda iliyo ya hovyo sana pale UDSM.Swala la Kitila nadhani unalikosea sana kwa sababu sina mahusiano na Kitila, isipokuwa ndiye alonipa darasa kuhus Chadema na kuvutiwa. Kuna wengi humu JF walijaribu kutushawishi lakini hawakuwa na mvuto ktk ushawishi wao. Pengine hata Mbowe au Zitto wangenambia nisingejiunga ila Kitila aliweza kupandikiza mbegu kichwani mwangu na kuniaminisha kwamba Chadema ndicho chama kinachosimamia sera na ilani nazopigia kelele siku zote. Na kama unakumbuka vizuri, mimi nilikuwa napiga vita vikali sana UFISADI na nikasema Tanzania pasipo kuondoa Ufisadi haita jalisha ni kiwango gani cha makuzi ya GDP, bado wananchi wataendelea kuwa maskini na kuna hatari ya kuunda madaraja (class) ya wananchi. Na kwa bahati tukamchagua Dr.Slaa ambaye kazi yake kubwa ilikuwa kupiga vita UFISADI na hakika Chadema ilipata mvuto mkubwa zaidi kutokana na hili pekee.
jaribu kutokuwa biased ktk mind yako ili uwezo wako wa kifikra ujijenge.halfu jaribu kuangalia vitu rationallyZitto pamoja na mabovu yake tumemsema sana humu JF na sisi wengine tumejiunga CDM bila kujua kuna makundi maana huu waraka unaonyesha hawakuanza jana wala juzi isipokuwa kundi hili lilikuwepo toka mmwaka 1998 na historia inatuonyesha wazi kwamba muda wote wameshindwa kumweka mtu wao kiti kikubwa. Ina maana mbinu hizi hazina madhara kwa chama maana kama ingekuwa hivyo basi ingetokea ktk chaguzi zilizopita.
Bahati mbaya sana hapa na hata kipindi cha nyuma BUSARA automatically ilikuwa ni shinikizo kwa Zitto ambaye alikuwa akitaka badili maisha ya kawaida, na mipangilio ya chama kuwa atakavyo.Haikuwa ni requrement kwa wengine ambao mambo mengi yaliyoshusu chama yalifanyika kwa busara, maisha binfasi ya Zitto yalihitaji busara ya Zitto.Nitaendelea kusema tu ya kwamba HEKIMA na BUSARA hutumika wakati nkama huu na hakika sidhani kaa viongozi wetu wametumia HEKIMA na BUSARA katika swala hili. Kama ingekuwa Zitto na Kitila wanataka kuunda chama kingine tokana na CDM na kuwavuta wanachama wa CDM ama kuwaondoa CDM hapo ndipo tungesema huu ni USALITI lakini mbinu zzote za kumuondoa kiongozi ama viongozi ambao wanakwaza ama kukawiza mafanikio ya chama, sidhani kama yanahitaji hukumu kama hii kwa sababu inaondoa kabisa Ushindani ndani ya chama. Nani sasa hivi atadiriki kufanya maandalizi ya kikampeni ili kuchukua uongozi uchaguzi ujao maana lazima mtu ajipange na watu wanaomkubali na maamuzi haya yamekuwa fundisho kwa wale wote wanaofikiria wanaweza kujiandaa kugombea vyeo Chadema.
umewek mambo mawili pamoja hapa,suala la Lowasa na shinikizo mnalotamani liwepo kwa akina mbowe ktk kuongoza kwa vile zitto hayyupo.Huyo Lowassa huko CCM mbona inajulikana vizuri tu kuwa anajipanga kwa ajili ya 2015 na amejaza wajumbe wanaomkubali ktk mabaraza yote muhimu ya chama kwa ajili ya 2015! Nina hakika Membe pia ajipanga, January na wengineo na wala haikuanza jana. Watu hujiandaa kwa miaka, na hakuna kosa kutokubaliana na uongozi uliopo. Kinachotakiwa ni Mbowe na Dr.Slaa kutuonyesha sisi wananchama kuwa wana uwezo mkubwa zaidi ya makundi haya na watapendekezwa kuendelea na madaraka.
Mkuu wangu, wakati mwingine tuikubali Demokrasia pamoja na madudu yake, ndivyo inavyochezwa na hatuwezi kuendelea na mfumo ule ule wa Kikomunisti ambao Upinzani ndani ya chama ni USALITI. Hapa ndicho kilichotumika japo huyo Mwiguru katumia neno - Akili ndogo kutawala akili kubwa. Ukweli ni kwamba akili za kijamaa kikomunist zimetumika badala ya kutambua kwamba huu ni wakati wa Demokrasia ambapo mwenye mvuto zadi ndiye huwa mshindi hakuna kulazimishana. Kundi hili lisingeweza kuwavutia wajumbe wote baada ya kuoneshwa waraka huu na nina hakika wangepigwa chini japo ilikuwa ni siri yao.
Maasalaam nilikuwepo.
haha si lazima uone kuwa huu ni ushahidi kwani kwa akili yenu mlidhani kuwa mmepiga issue za 007 kwa kaili zenu hizo ambazo jamaa wanaziita zina njaa sana 5mil inatosha sana kuwaharibu sana kili.Kwahiyo huu ndio ushahidi uliotumika kumvua nyadhifa zake aliousema mwanasheria mkuu wa CDM Lissu?
Mbona mnaweweseka sana mkuu? mlianza na uchunguzi wa siri mkaishia kukanana leo tena mnakuja na email za kutengeneza mkibanwa nazo mtaruka
Mlivyokuwa wa ajabu eti mkakati wa ushindi ndio mmepata sababu na kuuita usaliti na uhaini, Nimemdharau sana Lissu kukubali kutumika kwenye hili na kuidhalilisha taaluma yake
Sijaona Kosa la Zito kabwe katika huu waraka, Pia kikao kimefanya uamuzi wa pupa mno kumvua madaraka! Katika Taasisi kubwa kama hiyo ni lazima kukubali ushindani wa Ndani ukiwa na mikakati ya ushindi kwa kila kundi, Nimeusoma kwa makini sana huo walaka Sijagundua kosa la Zito.
Kwa upande wa pili Najua jamii itauamini walaka huo kama kweli Mkuu wa sasa Atagombea tena! Pia wanachama wengi watamuona ni Mroho wa Madaraka.
Ndio maana miaka yote huwa nasema sitakuwa mwanachama wa chama chochote abadani.