Kinachoshangaza ni nyinyi kujipa mamlaka pekee ya kuita wenzenu wanaoenda tofauti na nyie wasaliti......huku mkijipa upofu kwa yale mabaya yafanywayo na mnawaopenda kuwa ni mazuri na ni haki wao kufanya hivyo......Hakuna mtu mbaya aliyeharibu upinzani kama Mbowe.....time will tell
Mwaka 2013 kuliibuka waraka wa Mabadiliko ndani ya Chadema uliopelekea Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na wenzake kufukuzwa Chadema.
Waraka huo ulikuwa na waasisi waliojulikana kwa vifupisho vya MM, MM1, MM2, MM3, MM4 na MM5.
Nakumbuka mlituambia mnawafahamu wote mkatutajia wahusika wote isipokuwa MM2, mkasema mkimtaja chama kitapasuka kwa vile alikuwa ni kiongozi mkubwa makao makuu.
Kuna tetesi zimeanza kusikika kuwa MM2 alikuwa ni Dr. Slaa.
Tunaomba sasa na nafikiri ni muda mwafaka kututajia MM2 ni nani kama bado yuko makao makuu ya chama au ameshatoka.
Natanguliza shukrani.
Cc. Makene.
Kama ni yeye basi watanzania bado tuna safari ndefu, kwa sababu tulimwamini kupita kiasi.Ni Dr. Slaa..... Msaliti wa karne kisa mbunye
Kwa hiyo unataka kutuambia MM2 ni Mbowe?Msaliti mkuu wa Upinzani ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni ambaye ni Mwenyekiti wa Taifa Chadema.
Mtakuja kukumbuka haya maneno
Mwaka 2013 kuliibuka waraka wa Mabadiliko ndani ya Chadema uliopelekea Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe na wenzake kufukuzwa Chadema.
Waraka huo ulikuwa na waasisi waliojulikana kwa vifupisho vya MM, MM1, MM2, MM3, MM4 na MM5.
Nakumbuka mlituambia mnawafahamu wote mkatutajia wahusika wote isipokuwa MM2, mkasema mkimtaja chama kitapasuka kwa vile alikuwa ni kiongozi mkubwa makao makuu.
Kuna tetesi zimeanza kusikika kuwa MM2 alikuwa ni Dr. Slaa.
Tunaomba sasa na nafikiri ni muda mwafaka kututajia MM2 ni nani kama bado yuko makao makuu ya chama au ameshatoka.
Natanguliza shukrani.
Cc. Makene.
Sijakuelewa Mbowe anaibomoaje Chadema mbona ni Slaa anayesema chagua CCM.Ngoja tuwasaidie kuchambua.Kazi ya MM, MM1, MM2, MM3, MM4 na MM5 ilikuwa moja tu kuibomoa CHADEMA kwa maslahi yao ya kifedha..Kumjua M2 ni nani angalia je amechangia kiasi gani kuibomoa CHADEMA kwa asilimia ngapi ndogo au kubwa?.
M2 ni MBOWE ambaye kaibomoa hoja ya CHADEMA ya kupambana na Ufiosadi kwa kumkaribisha Fisadi kuwa mgombea uraisi na kusababisha CHADEMA kuvunjika kipindi cha kuelekea uchaguzi .Huyo ndie M2 mwenyewe .Yuko tayari CHADEMA ife kwa kupokea rushwa.Slaa hakuwa tayari CHADEMA ife.Muuaji wa CHADEMA ni M2 ambaye ni Mbowe.
Ni Dr. Slaa..... Msaliti wa karne kisa mbunye