Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

Yesu aliuliwa mbinguni? Yaani unataka waishi kama wako mbinguni wakati wako duniani. Muhammad wakati anapigana vita vya jihad kuuteka Maka na alkaab palikuwa mbinguni pale?
Jibuni hoja za Hilo ji makubaliano libovu kuwahi kuwako .
 
Hatuwezi kuachana na mambo ya dunia wakati tunaishi humuhumu duniani gademitt
 
Nimehama kanisa ghafla kuanzia Leo nitasali kwa mwamposa japo michango Sasa!!
 
Hii ndio Injili aliyohubiri Yesu Kristo
 
Usomwe popote, tunachotaka ni pesa za umma wanapewa kila mwezi zisitishwe haraka sana.

Ikiwa serikali imesitisha kuwapa ruzuku mashirika ya umma, na zinazokwenda taasi za kanisa zisitishwe.
Serikali yenyewe haijiwezi bila msaada wa Kanisa haina Hospitali za maana kama za Kanisa,in short haina ujanja na Kanisa limeipiku na kuizidi akili ndio mana mnambwelambwela na kujitoa hawawezi kwa sababu wanawategemea.

#KATAA LIMKATABA FEKI LA BANDARI#
 
Tulisema ngoma bado mbichi, wengine wakabeza , sasa twende , si ajabu NEXT WEEK KKT IKAJA NA WARAKA WAO, kwa kweli kwa mara ya kwanza watz wanaenda mile 100 mbele, but Mungu wangu anasema lipo jambo kubwa linakuja na kila mtu atashanga, kama kama wataendelea kumbatia huu mkataba
 
Hata hizi akili fupi zinazowatupia lawama TEC badala ya waliofanya udalali wa raslimali za Taifa hawajui kuwa wamefanywa kuwa na akili fupi zisizofikiri vyema na ccm
Hata ukifuatilia maisha yao ni kudanga kila uchwao kutokana na kuwa na akili fupi
Baada ya wao kushindwa hoja walianza kudai eti Rais anapingwa sababu ya udini wake......heee!! Nikaona watu kweli ni mapopoma kama anavyosema Gentamycin
 
Kinachouma au ujue unafiki ngoja siku waalikwe viongozi wote wa dini zote nao utawaona mstari wa mbele kuudhuria
 
Hii nchi ni ya kikatoliki kabla haijakuwa ya kiislamu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Usomwe popote, tunachotaka ni pesa za umma wanapewa kila mwezi zisitishwe haraka sana.

Ikiwa serikali imesitisha kuwapa ruzuku mashirika ya umma, na zinazokwenda taasi za kanisa zisitishwe.
Na chuo chetu cha TANESCO mlichopewa bure na Benjamin Mkapa Mkatoliki mkirudishe,mumeshindwa kujenga vyenu mnaleta majungu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…