Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37,Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu Wakatoliki Tanzania,Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea,

Nimesoma waraka wa tamko la Maaskofu na nilifanikiwa kuwafuatilia toka awali nikagundua;

01.kazi ya kanisa kubwa duniani ni kulisumamia taifa

02.kazi ya kanisa ni kuleta mapinduzi ya Haki na amani kwa taifa,

03.kupinga ukiukwaji wa Utu

Kwakweli lile azimio la mkataba wa Bandari halina tija kwa nchi yetu
Ili kuleta ufanisi zaidi katika kusimamia rasilimali za nchi zetu tusiwape waeekezaji badala yake tutumie vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu shughuli zote na bunge liunde sheria mahsusi zitakazolazimisha uzalendo,

Niseme tu huwezi kuwa mtanzania (hasa mtanganyika) ukashabikia kuingizwa utumwani kupitia rasilimali zako halafu ukategemea watakuita majina sukari ama asali! Uta-derseve usaliti wa taifa na maneno yote yanayomfaa msaliti kumtambulishia kwa vizazi vyote vitakavyokuwa hai!
Katika sakata hili la bandari, wana CCM ambao washikilia imani ya Kikatoliki itawapasa ya Kaizari wampe Kaizari, na ya Mola wampe yeye.
 
The relentless pushback on the sweetheart contract awarded to DP World LTD is proving to be the most forceful opposition to the Tanzanian regime's policy propositions since the uproarious rejection of Socialist villagization plank that culminated in the assassination of a regional commissioner in 1971.
 
Usomwe popote, tunachotaka ni pesa za umma wanapewa kila mwezi zisitishwe haraka sana.

Ikiwa serikali imesitisha kuwapa ruzuku mashirika ya umma, na zinazokwenda taasisi za kanisa zisitishwe.
Kwa nini usimweleze Samia hapo atekeleze agizo lako mara moja; kwani shida hapa ni nini hasa!

Hivi unafikiri hao watu watafunga shughuli zao wanazofanya serikali ikifanya hivyo?

Tena inawezekana ndiyo ikawa kichocheo cha mafanikio yao zaidi kuliko walivyobweteka sasa kwa kujua kuna hiyo pesa inayotolewa serikalini.
 
citizens rejection to Socialist villagization plank that resulted in the assasination of a regional commissioner in 1971.
What the heck are you jabbering about?
You clearly seem to be hallucinating about something you totally know nothing about!
 
What the heck are you jabbering about?
You clearly seem to be hallucinating about something you totally know nothing about!
Charges of treason and misprison of treason punishable by death brought against anti-contract campaigners have done little to ratchet down the whirlwind of opposition to the Tanzania-Dubai port deal that many experts say is unconscionably lopsided in favor of Dubai Port World. The contract reeks of massive corruption involving president Samia Suluhu Hassan who personally signed the agreement, these observers have lamented.
 
Nauliza tu iwapo Waraka wa Kanisa Katoliki duniani kuhusiana na Bandari ni Wazi kwa Watu Wote au umewalenga Waumini wa Kanisa Moja Takatifu La Mitume na Wagalatia kwa Ujumla

Jana Jioni katika Vijiwe Vyote vya Kahawa nilivyovinjari Magomeni Mjadala ni Huo Waraka

Hata nilipokuwa Kariakoo kwa Wacheza Dhumna Mjadala ni Huo Huo

Ni kama Watu wa " Mataifa" ndio wanaujadili zaidi kwa kuupenda

Nawatakia Dominica njema 😀
 
Nimeshindwa ku pata point yako ni ipi?
 
Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37,Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu Wakatoliki Tanzania,Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea,

Nimesoma waraka wa tamko la Maaskofu na nilifanikiwa kuwafuatilia toka awali nikagundua;

01.kazi ya kanisa kubwa duniani ni kulisumamia taifa

02.kazi ya kanisa ni kuleta mapinduzi ya Haki na amani kwa taifa,

03.kupinga ukiukwaji wa Utu

Kwakweli lile azimio la mkataba wa Bandari halina tija kwa nchi yetu
Ili kuleta ufanisi zaidi katika kusimamia rasilimali za nchi zetu tusiwape waeekezaji badala yake tutumie vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu shughuli zote na bunge liunde sheria mahsusi zitakazolazimisha uzalendo,

Niseme tu huwezi kuwa mtanzania (hasa mtanganyika) ukashabikia kuingizwa utumwani kupitia rasilimali zako halafu ukategemea watakuita majina sukari ama asali! Uta-derseve usaliti wa taifa na maneno yote yanayomfaa msaliti kumtambulishia kwa vizazi vyote vitakavyokuwa hai!
Watu hawajadili ujumbe uliomo lakini wengi wana jadili kitendo cha kanisa kuanza kujiingiza kwenye siasa na kupro-max udini. Ni kitendo cha hatari sana hiyo vita hainaga mshindi
 
Mapadri Wakatoliki ndiyo walisaidia kutekeleza mauaji ya kimbari huko rwanda. Dharau mliyo ionyesha kwa serikali awamu ya sita ni kubwa sana kwanza nyie ni nani kwenye Nchi mpaka mchanganye dini na siasa?

Mkae mkijua mmekosea sana kuonyesha makucha yenu kisa Samia ni muislamu na ni mwanamke mnaona hawezi wala hafai ila huyu ndiye raisi wa wote na dini zote nyie viongozi wa dini ufalme wenu ni mbinguni Mambo ya kidunia achaneni nayo
Kwenye hija za tamko la TEC, je.!!

1. Kwenye tamko hilo, umeona popote wakisema wanapinga mkataba huo kwa vile Samia ni muislamu??

2. Kwenye tamko hilo, umeona popotewakisema wanapinga mkataba huokwe vile Samia ni mwanamke??

3. Unaposema mambo ya dunia waachane nayo, na, ni kuchanganya siasa na dini, JE! WAKATI WA KUPIGA KURA, HUWA MNAWAAMBIA WANACHANGANYA DINI NA SIASA? AU KUPIGA KURA/UCHAGUZI SIYO JAMBO LA KISIASA.??

4. Hakuna kosa walilofanya kuonyesha wana msimamo gani kwenye suala la bandari. Huoni kuwa ni unafiki mkubwa kujifanya unaunga mkono kwa nje kumbe moyoni unaumia.??

5. Kwani, waislamu au watu wa imani nyingine yoyote, nao wakitoa tamko kuwa wanauunga mkataba huo kama ulivyo, nao wanakuwa wana udini au hawana?? AU udini ni pale unapoupinga pekee??
 
Misa ya pili inaendelea na tayari nipo mbele kabisaaa
 
Usomwe popote, tunachotaka ni pesa za umma wanapewa kila mwezi zisitishwe haraka sana.

Ikiwa serikali imesitisha kuwapa ruzuku mashirika ya umma, na zinazokwenda taasisi za kanisa zisitishwe.
Sema lolote kwa majengo ya serikali, kutumiwa na waislamu kama chuo kikuu cha kiislamu
 
Nauliza tu iwapo Waraka wa Kanisa Katoliki duniani kuhusiana na Bandari ni Wazi kwa Watu Wote au umewalenga Waumini wa Kanisa Moja Takatifu La Mitume na Wagalatia kwa Ujumla

Jana Jioni katika Vijiwe Vyote vya Kahawa nilivyovinjari Magomeni Mjadala ni Huo Waraka

Hata nilipokuwa Kariakoo kwa Wacheza Dhumna Mjadala ni Huo Huo

Ni kama Watu wa " Mataifa" ndio wanaujadili zaidi kwa kuupenda

Nawatakia Dominica njema 😀

The Catholic Church is the Biggest Financial Power on Earth​

“The Catholic church is the biggest financial power, wealth accumulator and property owner in existence. She is a greater possessor of material riches than any other single institution, corporation, bank, giant trust, government or state of the whole globe.

“The Catholic church, once all her assets have been put together, is the most formidable stockbroker in the world.

Pope Francis
 
Mkataba unakurudishaje utumwani? Kwa nini huongelei mafanikio ya DP World Southampton Uingereza?
Hivi, vipengere vya mkataba wa DP World Southampton Uingereza, vipo sawa na vipengere vya kwenye mkataba wetu na hao DPW?
 
Mwaka 2014 Tamko la Maaskofu Wakatoliki TEC,Tasisi ya Waadventist Wasabato na Baraza la Kikrito Tanzania lilisitisha Bunge la Katiba Mpya baada ya kuona CCM imepora mjadala na kutaka kufanya wanavyotaka wao huku wakipuuza maoni ya wananchi.
Rais Kikwete akatumia busara za Walaka ule akaachana na mchakato ule uliokuwa unaenda kinyume na Malengo.

"...... Sisi tunaona mchakato wa mabadiliko ya katiba unapokwa na wanaccm wenye wabunge wengi huku Spika akitumia nguvu na uhabe kupitisha maoni binafsi nje yanwaliyotoa wananchi,. Pia tunaona vijembe na matusi yakiendelea bungeni na serikali kufunga tovuti ya Kamati ya kukusanya maoni ni dalili mbaya kuwa serikali haina nia njema.....". Ilisema sehemu ya Walaka huo.

Rais Kikwete alitumia busara kuusitisha mchakato huo wa Katiba Mpya Mwaka 2014,tukumbuke nani alikuwa Mwenyekiti wa Bunge hilo la kutafuta Katiba Mpya,ni Rais wa Sasa,Mh Samia Suluhu Hassan.
 
Back
Top Bottom