Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

Waraka wa Baraza la Maaskofu (TEC) kuhusu uendeshaji Bandari utasomwa kila Jumapili kwa wiki 6, utasomwa pia kwenye vigango

Mwaka 2014 Tamko la Maaskofu Wakatoliki TEC,Tasisi ya Waadventist Wasabato na Baraza la Kikrito Tanzania lilisitisha Bunge la Katiba Mpya baada ya kuona CCM imepora mjadala na kutaka kufanya wanavyotaka wao huku wakipuuza maoni ya wananchi.
Rais Kikwete akatumia busara za Walaka ule akaachana na mchakato ule uliokuwa unaenda kinyume na Malengo.

"...... Sisi tunaona mchakato wa mabadiliko ya katiba unapokwa na wanaccm wenye wabunge wengi huku Spika akitumia nguvu na uhabe kupitisha maoni binafsi nje yanwaliyotoa wananchi,. Pia tunaona vijembe na matusi yakiendelea bungeni na serikali kufunga tovuti ya Kamati ya kukusanya maoni ni dalili mbaya kuwa serikali haina nia njema.....". Ilisema sehemu ya Walaka huo.

Rais Kikwete alitumia busara kuusitisha mchakato huo wa Katiba Mpya Mwaka 2014,tukumbuke nani alikuwa Mwenyekiti wa Bunge hilo la kutafuta Katiba Mpya,ni Rais wa Sasa,Mh Samia Suluhu Hassan.
Hata kabla ya hilo Bunge la Katiba kuanza vikao,sheikh Ilunga alikuwa kaisha weka wazi kuwa Katiba mpya haitapatikana kwa kuwa KANISA ndiyo litaupinga mchakato huo.
Video yake akiyasema hayo hipo YouTube hadi leo.
 
Tukumbuke pia Rais Mwinyi alipotaka kuingiza Tanzania kwenye Jumuiya ya kiislamu na kutumia Sharia,Japo Mwalimu Nyerere alikuwepo lakini mgogoro huo wa OIC mwaka 1994 ulikuwa mkubwa ukamfanya Rais Mwinyi aamue kuachana nao kwani ulikuwa unaenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sasa hili la DPW akiachana nalo yeye sio wa kwanza kikubwa maslahi ya Taifa kwanza,CHAWA@Kupe@CCM@FaizaFoxy@Pascal Mayala@Nyuki wa Mama@Waislamu wenye itikadi kali@Waliokula hela za Dp World@Waandishi wa habari@Wabunge waliopitisha huo mkataba wa Kuuza bandari.
 
Nawakumbusha kuuzwa kwa Loliondo mwaka 1992,mgogoro wake ulifika Duniani hata leo ukigoogle Loliondo Gate itakuja,waandishi wa habari walikufa RIP Stan Katabalo,RIP Jenerali Imran Kombe lakini zaidi ya yote mgogoro huo ulikuinua na kumpa umaarufu Hayati Augustine Lyatonga Mrema ambapo kila alipoitisha mkutano alisukumwa kwenye gari yake na mikutano yake ilivunja rekodi ya kujaza watu na kwa mara ya kwanza Ndugu Mrema aliujaza uwanja wa Jangwani peke bila nguvu ya CCM bila nguvu ya Serikali bila nguvu ya Mwalimu Nyerere ,watu walienda kusikiliza Kashfa ya Loliondo na Kashfa ya Mkonge iliyomhusu Chavda, nawakumbusha ndugu zangu hili la bandari nalo linakwenda kuvunja rekodi nyingine kabisa ambayo haijawahi kuvunjwa na mtu yeyote.
 
Kwenye hija za tamko la TEC, je.!!

1. Kwenye tamko hilo, umeona popote wakisema wanapinga mkataba huo kwa vile Samia ni muislamu??

2. Kwenye tamko hilo, umeona popotewakisema wanapinga mkataba huokwe vile Samia ni mwanamke??

3. Unaposema mambo ya dunia waachane nayo, na, ni kuchanganya siasa na dini, JE! WAKATI WA KUPIGA KURA, HUWA MNAWAAMBIA WANACHANGANYA DINI NA SIASA? AU KUPIGA KURA/UCHAGUZI SIYO JAMBO LA KISIASA.??

4. Hakuna kosa walilofanya kuonyesha wana msimamo gani kwenye suala la bandari. Huoni kuwa ni unafiki mkubwa kujifanya unaunga mkono kwa nje kumbe moyoni unaumia.??

5. Kwani, waislamu au watu wa imani nyingine yoyote, nao wakitoa tamko kuwa wanauunga mkataba huo kama ulivyo, nao wanakuwa wana udini au hawana?? AU udini ni pale unapoupinga pekee??

Warumi 13:1-7

Neno: Bibilia Takatifu

Kutii Mamlaka​

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.
6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu
 
Hakuna sehemu wamesema samia muislam, akili visoda ndo wameamua kuweka hitimisho kwa namna hiyo, kwan samia ndo rais wa kwanza muislam Tanzania?
Res ipsa loquitur- ni kitu kinacho jieleza chenyewe kwamba Maaskofu wanapingana na biblia na sisi waumini tunashadadia kichwa kichwa soma warumi 13 1-7 wakisema moja kwa moja kuwa tunapinga kwasababu Samia ni muislamu si kuvunja sheria za nchi? Maaskofu na Mapadri wanachanganya dini na siasa serikali na mamlaka zote duniani zimewekwa na Mungu tuheshimu hilo kwanza
 
Warumi 13:1-7​

Neno: Bibilia Takatifu​

Kutii Mamlaka​

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu. 3 Kwa maana watawala hawatishi watu wanaotenda mema bali wale wanaotenda maovu. Kama hupendi kuishi kwa kumwogopa mwenye mamlaka, basi tenda mema naye atakusifu. 4 Maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa manufaa yako. Lakini kama ukitenda maovu, basi ogopa kwa maana hatembei na silaha bure. Yeye ni mtumishi wa Mungu anayetekeleza adhabu ya Mungu juu ya watenda maovu. 5 Kwa hiyo ni lazima kutii wenye mamlaka, si kwa sababu ya kuogopa adhabu tu bali pia kwa ajili ya dhamiri.
6 Kwa sababu hiyo hiyo mnalipa kodi, kwa maana watawala ni watumishi wa Mungu ambao hutumia muda wao wote kutawala. 7 Wal ipeni wote haki zao; mtu wakodi mlipe kodi; na mtoza ushuru mli pe ushuru; astahilie kunyenyekewa, mnyenyekee; astahiliye hesh ima, mheshimu
Hakuna anayeipinga serikali, kinaopingwa ni mkataba..!!
 
Hakuna anayeipinga serikali, kinaopingwa ni mkataba..!!
Serikali ndiyo imesaini huo mkataba na bunge limepitisha kati ya dini na serikali nani yupo juu? Alafu watu mnapoteza muda kutetea mali za mtu mweusi Wewe hujui mtu mweusi ni mtumwa? Usipoteze mda wako kwa mtu mweusi acha Mungu amsaidie sio wewe kupiga kelele mtu mweusi kazi yake ni kutawaliwa basi
 
Kwani nini unasema kati ya dini na serikali? Alipopinga Prof. Shivji, ilikuwa kati ya dini na serikali? ALipopinga Mwabukusi, ilikuwa kati ya dini na serikali? Hivi kwani TEC ni wa kwanza kuupinga mkataba huo?
WATU WANAPINGA BAADHI YA VIPENGELE VYA KWENYE MKATABA NA SI SERIKALI...!!
 
Serikali ndiyo imesaini huo mkataba na bunge limepitisha kati ya dini na serikali nani yupo juu? Alafu watu mnapoteza muda kutetea mali za mtu mweusi Wewe hujui mtu mweusi ni mtumwa? Usipoteze mda wako kwa mtu mweusi acha Mungu amsaidie sio wewe kupiga kelele mtu mweusi kazi yake ni kutawaliwa basi
Una tatizo kwenye imani yako na uelewa wako. Ndiyo nyinyi mlioifanya Africa mpaka leo 60 yrs baada ya uhuru ni ombaomba. Mentality waliyonao wanaotawala sasa. Akili ya mikopo na ombaomba.

Waliosaini ni madalali wa Dp world kwa makoti ya uwaziri. Kama nia ni njema aliitengaJe zanzibar ?!. Nyerere alituletea shida sana
 
Charges of treason and misprison of treason punishable by death brought against anti-contract campaigners have done little to ratchet down the whirlwind of opposition to the Tanzania-Dubai port deal that many experts say is unconscionably lopsided in favor of Dubai Port World. The contract reeks of massive corruption involving president Samia Suluhu Hassan who personally signed the agreement, these observers have lamented.
This is totally different from what was presented earlier.

Do you have an ectopic mind?

I must say, you have difficulty in expressing yourself in that language, is there another language you can use to present your ideas more clearly for easy understanding?
 
Na sisi tusio na dini tuende na nani? Sisi ni watanzania, nyie ni wakatoliki na waislamu. Sisi tuwe wapi.

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
Mbona jibu ni rahisi sana.

Simama na Tanzania popote pale ulipo.
Hakuna kilicho bora zaidi ya Tanzania.

Bado huelewi?
Kama huelewi, wewe utakuwa na maslahi mengine.
 
Una tatizo kwenye imani yako na uelewa wako. Ndiyo nyinyi mlioifanya Africa mpaka leo 60 yrs baada ya uhuru ni ombaomba. Mentality waliyonao wanaotawala sasa. Akili ya mikopo na ombaomba.

Waliosaini ni madalali wa Dp world kwa makoti ya uwaziri. Kama nia ni njema aliitengaJe zanzibar ?!. Nyerere alituletea shida sana
Huyo mtu kajitangaza, yeye siyo mtu mweusi;..., kwa hiyo anzia hapo kumfahamu ni mtu gani huyo.
 
Mpaka Kwenye Vigango Kwa Wiki 6 Yaani Mwezi Mmoja Na Wiki 2
Bila Shaka Waumini Watasomewa Wataelewa Mno Kuliko Gazeti
 
Waraka huo una vipengele vingi.

Nashauri baada ya hizo wiki sita, waanze kuwa wanasoma kipengele kimoja tu cha waraka kwa kila jumapili hadi itakapofika 2025
Wiki sita za kufanya kazi. Wiki ya saba mapumziko.
 
Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37, Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu Wakatoliki Tanzania, Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea,

Nimesoma waraka wa tamko la Maaskofu na nilifanikiwa kuwafuatilia toka awali nikagundua;

01. Kazi ya kanisa kubwa duniani ni kulisumamia taifa

02. Kazi ya kanisa ni kuleta mapinduzi ya Haki na amani kwa taifa,

03. Kupinga ukiukwaji wa Utu

Kwakweli lile azimio la mkataba wa Bandari halina tija kwa nchi yetu

Ili kuleta ufanisi zaidi katika kusimamia rasilimali za nchi zetu tusiwape waeekezaji badala yake tutumie vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu shughuli zote na bunge liunde sheria mahsusi zitakazolazimisha uzalendo,

Niseme tu huwezi kuwa mtanzania (hasa mtanganyika) ukashabikia kuingizwa utumwani kupitia rasilimali zako halafu ukategemea watakuita majina sukari ama asali! Uta-derseve usaliti wa taifa na maneno yote yanayomfaa msaliti kumtambulishia kwa vizazi vyote vitakavyokuwa hai!
huu waraka wangeuandika walutherani au watu wa dhehebu lingine ningesema wana maslahi. sasa hawa maaskofu wa katoliki watakuwa na maslahi gani ya kifedha, manake hawana mke, hawana familia, hawana nyumba, hawana shamba, hawana gari, hawana chochote, wenyewe wamewekewa kila kitu kipi kazi yao kusalisha tu hadi wanakufa wanatunzwa, hawahitaji kuhongwa rushwa ili wasomeshe watoto au wawawekee watoto. wameyaongea hayo kwa utu wao wanajali wananchi wa kawaida wasio na wa kuwasemea. na wamewapiga ccm ngumi ya pua kwelikweli.
 
Kesho tunasali Misa ya kwanza Kanisa la Roma kusikiliza waraka wa tamko la Maaskofu 37, Wakiwakilisha Mikoa 31 na Mikoa ya kikanisa yaani majimbo 6. Watanzania kesho watajaa makanisani kusikiliza waraka huo wa Maaaskofu baada ya vyombo vyote vya habari kukataa kurusha waraka huo wa Maaskofu Wakatoliki Tanzania, Jambo la ajabu media zote kubwa (Main streams) hazijaripoti habari hiyo. Sio ITV, ETV, Channel Ten, Clouds, WachafuTV etc. Wameipotezea,

Nimesoma waraka wa tamko la Maaskofu na nilifanikiwa kuwafuatilia toka awali nikagundua;

01. Kazi ya kanisa kubwa duniani ni kulisumamia taifa

02. Kazi ya kanisa ni kuleta mapinduzi ya Haki na amani kwa taifa,

03. Kupinga ukiukwaji wa Utu

Kwakweli lile azimio la mkataba wa Bandari halina tija kwa nchi yetu

Ili kuleta ufanisi zaidi katika kusimamia rasilimali za nchi zetu tusiwape waeekezaji badala yake tutumie vyombo vya ulinzi na usalama kuratibu shughuli zote na bunge liunde sheria mahsusi zitakazolazimisha uzalendo,

Niseme tu huwezi kuwa mtanzania (hasa mtanganyika) ukashabikia kuingizwa utumwani kupitia rasilimali zako halafu ukategemea watakuita majina sukari ama asali! Uta-derseve usaliti wa taifa na maneno yote yanayomfaa msaliti kumtambulishia kwa vizazi vyote vitakavyokuwa hai!
Haya ni matokeo ya wenye tamaa wachache kuuza rasilimali muhimu za Nchi kwa wageni.
 
Mama yetu anapenda kuitwa Mwarabu kuliko Mwafrika,ananikumbusha Waziri wa Sheria wa Kenya 1960 Charles Njonjo "mkikuyu" aliyeona aibu kuitwa Mwafrika,alijiona mzungu na kuomba kupewa eneo la kuishi pamoja na Wazungu,alikataa mwanamke wa kiafrika eti mchafu na kuamua kuoa Mwanamke wa kizungu,alikataa kusalimia Waafrika kwa mkono,Leo ni mwaka 2023 lakini Mama yetu anaturudisha mwaka 1960 wakati wa ukoloni kutawaliwa na Mwarabu na anaona fahari kuitwa Mwarabu.
 
This is totally different from what was presented earlier.

Do you have an ectopic mind?

I must say, you have difficulty in expressing yourself in that language, is there another language you can use to present your ideas more clearly for easy understanding?

President Samia Suluhu's decision to appear at a major Lutheran Church event tomorrow is yet another sign that the administration is feeling the pressure from Christian evangelicals who have vociferously denounced the Dubai-Tanzania port deal since its revelation. This Sunday morning a lengthy and blistering edict issued by Tanzania Episcopal Conference decrying the port deal was read in every Catholic church across the country, a first in the history of the state. The Catholics have vowed to re-read the statement in all of the churches for each of the next five Sundays.
 
Res ipsa loquitur- ni kitu kinacho jieleza chenyewe kwamba Maaskofu wanapingana na biblia na sisi waumini tunashadadia kichwa kichwa soma warumi 13 1-7 wakisema moja kwa moja kuwa tunapinga kwasababu Samia ni muislamu si kuvunja sheria za nchi? Maaskofu na Mapadri wanachanganya dini na siasa serikali na mamlaka zote duniani zimewekwa na Mungu tuheshimu hilo kwanza
Kama wazee wao wanavoamua kuchanganya siasa na dini, jk anaenda kufungua kanisa afu anaanza kuhubiri siasa, harafu hata hao watu wa dini washenzi tu, wanazinduaje makanisa kwa kuwatumia watu wa siasa, kwani hakuna wazee wa makanisa waliowahi kuyatumikia makanisa kwa uadilifu hadi wanaamua kuwatumia wana siasa?
 
Back
Top Bottom