Waraka wa Bernard Membe kwa Askofu Mwamakula: Sitishiki, sitakaa kimya na kamwe sitaabudu mtu wala miungu wengine

Hali yako kimaisha ikoje mkuu
Mimi niko safi sina makuu nafurahia magu anavyo wapima mikojo tu .mguu upande mguu sawa kegeza tako .kweli magu kiboko lazima tumpe miaka 25 y
Madarakani
 
Mpelekeni mahakamani basi, maneno meeengi bila viyendo. Mama kuku.
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
 
Kama siyo fisadi kwanini anamchukia magufuli siange shikamana naye Leo wauza ngada na mafisadi ndiyo wanamaumivu na magufuli
Mbona Jiwe anachukia wenzake,tuseme nae ni Fisadi ?
 
Menbe acha kuhadaa watanzania.
Wewe ni mwanasiasa uzao wa mtandao na ulipata madaraka kupitia mtandao,na wanamtandao ndio mloifilisi nchi hii.
Isingekuwa uanamtandao wewe hukuwa mwanasiasa,tena unyamaze usituvuruge tukaamua kukungukia.
Hufai hata kuwa kiongozi wa umma,wewe ndie uliongoza makundi ya utesi nchi hii.

Una kihoro cha kuukosa urais maana kwa mlivyokuwa mmejipanga na uncle wako hakika ni kwamba haki ilisawazisha bao dakika ya 90,na hivyo kujipatia ushindi kwa goli la ugenini (chato vs msata)

Nakushauri usizidi kuwaudhi wanyonge wa nchi hii.maana ndio wapiga kura wa tanzania.

Tunajua mnateseka na zile nyomi za watu mnazoziona huko ziarani na ni ujumbe tosha kwamba hamna lenu tena 2020.
Sasa mnataka kuchokonoa ili mtimgishwe na mpate huruma ya jamii.
Lakini it is too late,kila jiwe na zama zake.na jiwe hili ndio zama zake.

Najua kuna siku huwa unaota uko new york ukila mrija hotel ya 5* ,huku mabodigadi wakiwa nje,lakini ghagfla ukiamka unakuta uko bongo na nje kuna mlinzi wako wa security company,
Hapo ndio panakuwa mwanzo wa nyaraka kama hizi.

Wanaoteseka nchi hii sio wananchi bali wanaoteseka nchi hii ni walanchi.

Poleni sana[emoji1241]
 
Membe ni mtu wa kutapatapa tu. Hata facial appearance haioneshi kuwa ni mtu mwenye akili ya kutumainiwa. Alihangaika na Lowasa akasahau kuna wengine wanaomzidi. Amekosa ubunge, amekosa urais, leo anajidai ana super ideas.
True true membe mafisadi ndiyo wanao msifu
Kabla ya magu kuchukua nchi kila kitu kilikuwa kimealibiwa generator zinapiga kelele dar yote ,wanyama maporini walikuwa wamalizwe ila Kwa sasa wanyama wameongezeka Kwa Mara 2
 
Askofu anaabudu kondoo !

Si ni bora angeabudu kondoo asiyejikweza kuliko binadamu anayejiona mungu?

Lakini katafute tofauti ya kondoo na mwanakondoo kiimani ya kikisto ndio ujenge hoja
 
Fisadi membe mlipokua mnakula hadi kututapikia wananchi mliona sawa sisi tunamtaka magu aendelee kuwa nyoosha
Wewe kwa akili yako CCM wameanza kula enzi za Membe?[emoji1787]
 
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.

kuna uhusiano gani wa chama CCM na serikali?
 
HAPA ....pana ujumbe mzito sana kama hauna mihemko


"Lakini leo sisi tunaonekana ni maadui wa Serikali na hakuna jema lililofanywa na awamu zilizopita"

Pamoja na makosa yote yaliyofanywa na Awamu zilizopita, Serikali na Viongozi hao walijitahidi kuheshimu Katiba, Uhuru, Sheria na Haki za binadamu. Huo ndiyo msingi wa Uongozi Bora duniani "
 

Zaburi 35
1 Ee Bwana, utete nao wanaoteta nami, Upigane nao wanaopigana nami.

2 Uishike ngao na kigao, Usimame unisaidie.

3 Uutoe na mkuki uwapinge wanaonifuatia, Uiambie nafsi yangu, Mimi ni wokovu wako.

4 Waaibishwe, wafedheheshwe, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, wafadhaishwe, Wanaonizulia mabaya.

5 Wawe kama makapi mbele ya upepo, Malaika wa Bwana akiwaangusha chini.

6 Njia yao na iwe giza na utelezi, Malaika wa Bwana akiwafuatia.

7 Maana bila sababu wamenifichia wavu, Bila sababu wameichimbia shimo nafsi yangu.

8 Uharibifu na umpate kwa ghafula, Na wavu aliouficha umnase yeye mwenyewe; Kwa uharibifu aanguke ndani yake.

9 Na nafsi yangu itamfurahia Bwana, Na kuushangilia wokovu wake.

10 Mifupa yangu yote itasema, Bwana, ni nani aliye kama Wewe? Umponyaye maskini na mtu aliye hodari kumshinda yeye, Naam, maskini na mhitaji na mtu amtekaye.

11 Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua.

12 Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa.

13 Bali mimi, walipougua wao, Nguo yangu ilikuwa gunia. Nalijitesa nafsi yangu kwa kufunga; Maombi yangu yakarejea kifuani mwangu.

14 Nalijifanya kama kwamba ni rafiki au ndugu yangu, Naliinama nikilia kama aliyefiwa na mamaye.

15 Lakini nikijikwaa hufurahi na kukusanyana, Walinikusanyikia watu ovyo nisiowajua, Wananipapura wala hawakomi.

16 Kama wenye mzaha wakikufuru karamuni Wananisagia meno.

17 Bwana, hata lini utatazama? Uiokoe nafsi yangu na maharabu yao, Na mpenzi wangu na wana-simba.

18 Nitakushukuru katika kusanyiko kubwa; Nitakusifu kati ya watu wengi.

19 Walio adui zangu bure wasinisimange, Wanaonichukia bila sababu wasining'ong'e.

20 Maana hawasemi maneno ya amani, Na juu ya watulivu wa nchi huwaza hila.

21 Nao wananifumbulia vinywa vyao, Husema, Ewe! Ewe! Jicho letu limeona.

22 Wewe, Bwana, umeona, usinyamaze; Ee Bwana, usiwe mbali nami.

23 Uamke, uwe macho ili kunipatia hukumu Kwa ajili ya madai yangu, Mungu wangu na Bwana wangu.

24 Unihukumu kwa haki yako, Ee Bwana, Mungu wangu, Wala wasinisimangize.

25 Wasiseme moyoni, Haya! Ndivyo tutakavyo; Wasiseme, Tumemmeza.

26 Waaibishwe, wafedheheshwe pamoja, Wanaoifurahia hali yangu mbaya. Wavikwe aibu na fedheha, Wanaojikuza juu yangu.

27 Washangilie na kufurahi, Wapendezwao na haki yangu. Naam, waseme daima, Atukuzwe Bwana, Apendezwaye na amani ya mtumishi wake.

28 Na ulimi wangu utanena haki yako, Na sifa zako mchana kutwa.
 

Kwa hili sikubaliani na wewe. Utakuwa umesahau mapema sana ama enzi hizo akiwa waziri wa mambo nje hukuwa umesha pevuka.
 
Uku JK uku membe..kutamu uku kwetu
Na january nae jana kaleta story ya paka huwa hamueshimu mwenye nyumba kwa kuwa anauwezo wa kujitafutia chakula tofauti na mbwa always huwa anakua loyal kwa owner haha ha ha ha ha cheki kwenye page yake ya instagram
 
Kupindua serikali!!! Unajua unachokiongea?
Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
 
Membe ni mtu wa kutapatapa tu. Hata facial appearance haioneshi kuwa ni mtu mwenye akili ya kutumainiwa. Alihangaika na Lowasa akasahau kuna wengine wanaomzidi. Amekosa ubunge, amekosa urais, leo anajidai ana super ideas.
unamzidi nini membe wewe na familia yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…