"Nikuhakikishie hakuna hata chembe ya ukweli kuhusu yote hayo na ndiyo maana huoni na hutaona hatua za kisheria zikichukuliwa dhidi yangu. Labda wanichukulie hatua zingine! Nimepata vitisho mbalimbali kutoka kwenye Chama changu, makundi mbalimbali ya wachawi na Serikali vya kunifukuza, kuniloga, kunitupa Gerezani kana kwamba mimi ni mhalifu. Baba Askofu, kwa kuwa moyo wangu ni safi, na kwa kuwa sijatenda kosa lolote, SITISHIKI , SITAKAA KIMYA na KAMWE SITAABUDU MTU WALA MIUNGU WENGINE."Fisadi membe mlipokua mnakula hadi kututapikia wananchi mliona sawa sisi tunamtaka magu aendelee kuwa nyoosha
"Nikuhakikishie hakuna hata chembe ya ukweli kuhusu yote hayo na ndiyo maana huoni na hutaona hatua za kisheria zikichukuliwa dhidi yangu. Labda wanichukulie hatua zingine! Nimepata vitisho mbalimbali kutoka kwenye Chama changu, makundi mbalimbali ya wachawi na Serikali vya kunifukuza, kuniloga, kunitupa Gerezani kana kwamba mimi ni mhalifu. Baba Askofu, kwa kuwa moyo wangu ni safi, na kwa kuwa sijatenda kosa lolote, SITISHIKI , SITAKAA KIMYA na KAMWE SITAABUDU MTU WALA MIUNGU WENGINE."Upuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
Na hapo Jk na Membe wataisaidia chadema kwenda ikulu asubuhi na mapema!Sasa Membe kashambulia kushoto, JK kapiga kulia na suala la kujimwambafai.
Hakika jumbe zote ukiziangalia anatandikwa bingwa wa "kujimwambafai" na mpaka kufikia July 2020 atakuwa kachakaa kama bondia mchovu aliyekutanishwa na Tyson
endelea kukaa ukijidanganya kuwa huyu aliyepo sasa hali hadi kutapika km waliopita,,hakuna fala saivi mangi,,hakuna anaetaka kutoka madarakani na kuishia kuishi kimaskini km nyerere wakati wenzake wa kabla yake wanaishi km wapo peponi na uzee wao,,hapa unafumbwa macho na kudanganyishwa kwa maneno matamu kuwa hawachukui kitu,subiri sasa wang'atuke ndo utajua walivyojilimbikizia mali na utajua pia uozo wao walipokua madarakani,saivi huwezi kujua kitu maana wanaogopwa km ukoma na hakuna mwenye uwezo wa kusema baya lao,,hivyo wanaonekana ni malaika na miungu watu ila subiri watoke madarakani ndo utatambua kuwa walikula vzr sana,,tena kula yao wanakula ktk miradi hii mikubwa mnayowapongeza km SGR,stieglers,air tz,nk,hawali mahali pengine,wanakula humo kwenye miradi ya mamilioni ya dola za kimarekani,,,,tuombe umri uwepo,na tuombe wakubali kutoka madarakani kwa wakati then utakuja kunambiaFisadi membe mlipokua mnakula hadi kututapikia wananchi mliona sawa sisi tunamtaka magu aendelee kuwa nyoosha
Anatisha, amekuwa chatu?Hapa namuona Membe kama mtu fulani ambaye anakaribia kupata uchizi.Kama huogopi mbona unalialia kupitia kwa Askofu ?
Mtu ambaye haogopi huwa hasemi mimi siogopi,matendo yake yanaongea.Wewe ni mwoga sana na ndiyo maana unaanza kutaja makosa yakoU liyoyafanya mwenyewe bila kuulizwa.
JAMANI MAGUFULI ANATISHA.
zisingefanya kitu hii nchi ingekua ya wzungu tena saivi,walifanya kwa kiwango chao walichojaaliwa na Mungu na km ni kula walikula pia,na hata sasa watawala wanafanya kwa kiwango wanachojaaliwa na Mungu na kula pia wanakula vizuri tu,ila huwezi ckia mtu anasema kuwa wamekula hadi watakapotoka madarakani ndio utasikia madudu yao.km wewe ni mfanyabiashara mzuri utakua unaona jinsi biashara yako inavyokua mwaka hadi mwaka,na maendeleo uliokuwa nayo miaka mitano nyuma ni tofauti kbs na maendeleo ulonayo sasa,yawezekana miaka mitano nyuma ulikua na uwezo wa kununua bodaboda tu na huna zaidi ya hapo lkn sasa biashara imeenda poa na unaweza kununua TOYOTA VX-V8,ina maana biashara yako imekuwa kiasi cha kuweza kumiliki v8,na kwa upande wa serikali ndio hivyo hivyo,bajeti ya serikali kwa kikwete mwaka 2010 sio sawa na bajeti ya serikali ya kikwete huyo huyo kwa mwaka 2015,kwa nini?...ni kwa sababu mwaka 2005 mapato ya serikali yamekuwa makubwa zaidi kuliko mwaka 2000,huwezi kuelewa hili km huna upeo mpana wa kufikiri,vivyo hivyo kwa Magu////bajeti yake ya serikali ya mwaka 2016 kamwe haiwezi kuwa sawa na bajeti ya 2020...kwa nini??....ni sababu mapato ya serikali yameongezeka.ukiangalia bajeti ya 2019/2020 ni sh trilioni 33,usije kulazimisha ni kwa nini serikali ya kikwete ilikua na bajeti ya sh 20 trilioni kwa mwaka 2014/2015Awamu zote nne zilizopita hazijafanya chochote kabisa
Tumwombe mungu amshukuru Rais Magufuli kwa anayoyafanya
Kadri unavyomzingua paka ndivyo anavyozidi kunyanyua mkia huyu kiumbe anadhani kwa kuwatia hofu,kuwatesa,kuwaua, kuwabambia kesi, na kuminya kila aina ya uhuru watu ndio watanyamaza
Membe ni MsumbijiKwa mtindo wa utendaji wa utawala huu wa awamu ya tano, tusije shangaa "wakamzushia" huyo Askofu na Membe wake, kuwa wote siyo raia wa nchi hii!
Aliemajukwaani kumbuka kivuko kakipeleka jeshini kigamboni hamna msafi ndio mana membe anajiamini na anakuambia "Gusa unate,Chafua nikuchafue" pia alikuwa waziri wa mambo ya nje siri ya kivuko anaijua yoteUpuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.
Hapa ndio tunapojitoa akili bila kujua membe alikuwa waziri mambo ya nje kwahiyo siri ya kivuko anaijua yote ndio maana anakuambia "NIGUSE NINUKE:Je vp kuhusu nyumba za serikali na kivuko?
Huwa nafikiri hivyo hivyo. Ataishije? Watu wameuawa, wametekwa,wameteswa, wamevunjiwa nyumba,wamefukuzwa kazi, na maisha ya watu wengi tu yamevurugwa! Yaani hao walinzi atakuwa nao milele?Huyu jamaa pindi mda wake uishapo madarakani, sijui ataishije kitaani...
Nawaza tuu...
Hapa nadhani unamsema jiwe kwani ni kweli alikuwa madarakani kwa muda wa miaka zaidi ya ishirini ama ulikuwa hujui!Yeye mwenyewe alikuwa madrakani na hatukuona matokeo chanya ya nafasi yake.
wewe ulitaka akastaki uchawi kwa magufuli??....Nakusihi uishie hapo usije ukachanganyikiwa kwani mtu ambaye aliyekuwa waziri mkubwa kama wewe tena' Foreign' uliyetembea nchi mbalimbali kutuwakilisha halafu leo unashitakia uchawi kwa askofu,
Mungu pekee ndio hapingwi maana hafanyi makosa lkn wengine wotw wanatenda makosa hata huyo magufuli wakoMembe ni wa kupigwa vita mahali kokote anapopatikana kwa sababu ni dhahiri kwa matamshi yake ana nia ovu na serikali
usitulazimishe kumkubali mjinga mmoja,kweli uchaguzi ni utelezi sana kwa ubabe wake ila sio kwa haki.mamlaka yote anayo yy na anaamuru hadi mahakama na bunge,,unategemea nini kwa tume ya uchaguzi??....Hivi jamani hata kama hutaki ,kubali tu kwamba rais kwa sasa ni Magufuli.Na kwa mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya uchaguzi ujao ni utalezi tu kwake.Wapinzani wenyewe kwa sasa wamenyooka,hata mwendawazimu Lissu naye mdomo umekatika.Nape kidomodomo kapiga magoti,Kinana hajulikani yupo wapi,Makamba mzee kajifungia huko kwake na mwanawe aliyesifiwa kuwa ni mjanja wa kila kitu yupo hoi.Sasa wewe Membe unakimbilia kwa maaskofu hawawakusaidii kitu hao zaidi ya kukuombea tu.
Wee leta io clip unayosema membe anataka kupindua nchi na hayo mabilioni ya gaddafi leta ushahidi vivid kua membe kahusika mnakaririshwa lumumbaUpuuzi na uomgo , eti kampeni na ufisadi.
Hivi huyu siyo yule wa mabilion ya Gaddafi, siyo yule wa clip za kupindua serikali?
Shetani hana tone la aibu.