Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

kwaiyo huyu naniliyuu hajitambui? Avatar yako inaifurahishaga sanaaa

Huyo anayesrma sijitambui muulize yeye anayejitambua katendwa na wanaume wangapi... mpaka sasa hivi?
 
C.T.U ifanye nawe cc kua sehemu ya furaha kwako, omba moderator wa ufute huu uzi tusonge mbele bhanaaa
Huyo anayesrma sijitambui muulize yeye anayejitambua katendwa na wanaume wangapi... mpaka sasa hivi?
 
Last edited by a moderator:
Ndio mie kaka! Nilibadili jina.. atendacy si ilipotea, kwaiyo tukaandika majina upya
Jamani mdogo wangu noahism mi nilikuwa nakutafutaje?tatizo hilo jina mi linanichanganya hivi we ndo yuleyule mdogo wangu au?Nimekumisije?
 
Last edited by a moderator:
Ndio mie kaka! Nilibadili jina.. atendacy si ilipotea, kwaiyo tukaandika majina upya
Masikini mdogo wangu pole sana kwa yaliyokukuta ila nimefurahi kujua ndo wewe.Vp Suprise hajambo?
 
mh! Suprise mjanja mjanja sana nahisi yupo na papaaa mapesa. mie sina mapesa mingi mingi kama wewe kaka labda nikakope Bank kwa ajili ya mapenzi na Suprise
Khaaaa wewe nani tena huyo zaidi yako?Na kwani umemfanyaje Suprise au ukute ulikuwa humbembelezi vizuri.
 
Last edited by a moderator:

Mmmh..!! mshikaji style yakn ya kutoka mbona ngumu hivyo!? khaaa..!!!
 
Kila siku kuidis CC lakini kila siku lazima upitishe kengele zako huku.....
umetumwa? umeitwa? au unawashw*.....!!!!
we ni kirusi kama virusi wengine!!!!!!!!
 
Mungu epushia mbali wenye nia mbaya na wana CC washindwe kwa jina la Bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…