Waraka wa kwanza wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote......

hivi huyo majinuni anapata faida gani sasa?? jamani eee acheni kabisaaaaaa haya mambo ya kupeana ban. mbona we used ku-enjoy sana huku?? gfsonwin nimekumiss, isijekuwa ni wewe au Madame B maana nyie ndiye viherehere wa cc!!

Majinuni ndio nani mama?
Gfsonwin mwache bado ana majonzi .....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Evelyn Salt huyu jamaa namchukia na kumdharau sana, halafu jinsi anavyojitahidi kuandika hizi pumba zake anataka aaminike. Hakuna siku nimemdharau kama siku aliposema CC ni kijiwe cha majobless. Siwezi muacha hivi hivi huyu jamaa.

Sijataka niaminike neno langu kama injili ukitaka lichukue, hutaki liache...,
 
Last edited by a moderator:
Shule bwana.....
Nimeipenda attitude yako... halafu mkikosa kazi mnasema mmerogwa...
Mtabaki ma joble.... mpaka viatu viote sugu

Ikijitokeza siku tumekutana, unaweza ukaomba ardhi ipasuke uingie kwa aibu utakayopata. Anyway, tubaki tu kuzinguana nyuma ya keyboard kwingineko tuachie realitu ituamulie.
By the way, siwezi kuwa jobless maisha yangu yote. Kazi kwako unashinda humu ndani kuchonganisha watu na maID kumikumi.
 
Please msimsumbue mama yangu wala msimuhusishe humu, kama mnataka Ban za jion msumbueni my mama gfsonwin I love u mama!

Mkuu na ndio maana najaribu kumuweka out kwenye hili....
 
Last edited by a moderator:

Siku ikitokea tunahitaji kuongea ma wananchi... nitakualika ... may tunaanza
 

Ila kweli wewe una double personality ndio maana hujielewi.
 
Siku ikitokea tunahitaji kuongea ma wananchi... nitakualika ... may tunaanza

Ha ha ha ha ha ha ha! Kweli hii dunia ina watu wenye akili za ajabu. Basi bana mimi nilidhani naongea na mtu mwenye akili timamu.
 
Ha ha ha ha ha ha ha! Kweli hii dunia ina watu wenye akili za ajabu. Basi bana mimi nilidhani naongea na mtu mwenye akili timamu.

Sawa nashukuru kwa matusi.... naenda kumjoin noahism kunywa supu unataka kuja...
Njoo USHUGHULIKIWE..maswala ya supu....
 
Umbea wako wako ni mwingi itanipotezea muda kuorodhesha!!!
Unaidiss CC lakini daily upo hapa UNATAKA NINI??????

Siku zote tatizo ni kupambana nalo sio kulikimbia....
 
Hapa ni maeneo ya fire, jamaa hua wana pweza na supu yake vya ukweli yani, me daily napita hapa kutumia izi mambo.. na juice ya miwa lita 1.5

Kaa tu karibu na waridi na wewe unukie!!!!!!!!
 
Hapa ni maeneo ya fire, jamaa hua wana pweza na supu yake vya ukweli yani, me daily napita hapa kutumia izi mambo.. na juice ya miwa lita 1.5

Ngoja nimcheck na chilli kama atakuja KUSHUGHULIKIWA .... supu na miwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…