Hadi Bibi yangu asietumia redio, TV Wala smartphone kule Mahutashimoni leo akiingia church tu atasomewa waraka na Msimamo wa Kanisakwahiyo ukisomwa ndoo inakuwaje
Believe me, walivyo maboya hawataenda.Kesho tufuatilie viongozi wa serikali ambao ni wakatoliki, je wataenda kanisani?
Nao watakuwa mazezetaHamuijua serikali,wale jamaa wakiamua kufanya usafi nchi nzima mtachati mkiwa uvunguni,muulize Mbowe walichomfanyia wafuasi wake waliomuhidi tupo nyuma yako.
Aibu mbaya nani aende ? Waumini wakugeukie ibadani ?Believe me, walivyo maboya hawataenda.
Na muumini ikisema No huzikwi na kanisa Hapo Sasa!!!🤣🤣🤣Hadi Bibi yangu asietumia redio, TV Wala smartphone kule Mahutashimoni leo akiingia church tu atasomewa waraka na Msimamo wa Kanisa
Na usichokijua Kanisa likisema NO na waumini wanatakiwa kusema NO Msimamo wa Kanisa ndio Msimamo wa waumini
Ova
Yeah Baba ukijifanya kisabengo unaenda kinyume na kanisa watakuzika Serekali na Manispaa zaoNa muumini ikisema No huzikwi na kanisa Hapo Sasa!!!🤣🤣🤣
Km milango haijafungwa leo sijui utatokea wapiTaasisi za dini zinatakiwa kushauri serikali ndani ya mifumo kama ilivyowekwa 1992. Ni rahisi sana kuumiza nchi changa kama yetu kupitia dini na hasa matamko kama haya ya KIJINGA. Bado tutaona kila dhehebu halafu na sisi Wachaga, masai, wa kizimkazi etc tutakuja na yetu. UPUUZI HUUUU.
Kanisa linaacha majukumu yake jamii inaanguka kimaadili inaongia kwenye malumbano. PURELY RUBBISH.
NAENDA KANISANI NGARENARO SASA WAKIANZA TU KUSOMA NATOKA NJE. HICHO SIO CHAKULA CHA ROHO.
Misa ya ngapi leo unaenda maana naona hata wasio wakristu leo wataingia church kwenda kusikiliza warakaMaagizo ya onya, kemea , karipia.
Walikataa kusikiliza maoni ya wananchi kwa kuziba masikio, ni wakati sasa wa kusia wasicho tarajia kusikia.
Iko hivyo Alafu wakitaka wanatafusili kwa makabila yoteHadi Bibi yangu asietumia redio, TV Wala smartphone kule Mahutashimoni leo akiingia church tu atasomewa waraka na Msimamo wa Kanisa
Na usichokijua Kanisa likisema NO na waumini wanatakiwa kusema NO Msimamo wa Kanisa ndio Msimamo wa waumini
Ova
Ww ndio mbumbu Askofu kwako akishasema basi ww huna cha kuhoji Wala kupinga unajua ukimpinga umepingana na Mungu sisi hatua Iman hiyo tuna hoji mpaka mwisho hatuungi mkono tu hapana sisi ni "Free minded " nyinyi ni "block minded " uwezo wenu wa kufikiria mmewaachia hao wachumia tumbo kofia ndefuMbumbumbu mwingine huyu
Wewe kiazi huna akili huna hoja huna cha kusema kaa kimya ficha upumbavu wakoWw ndio mbumbu Askofu kwako akishasema basi ww huna cha kuhoji Wala kupinga unajua ukimpinga umepingana na Mungu sisi hatua Iman hiyo tuna hoji mpaka mwisho hatuungi mkono tu hapana sisi ni "Free minded " nyinyi ni "block minded " uwezo wenu wa kufikiria mmewaachia hao wachumia tumbo kofia ndefu
Ww ndio ufiche upumbavu wako akili ndogo huwezi hata kufikiria nje ya boxWewe kiazi huna akili huna hoja huna cha kusema kaa kimya ficha upumbavu wako
Tunaomba Source ya hii taarifa kama huna utakuwa mmbeya tu kama akina mange na carrymastoryHATARI SANA.. 😁
Tanzania kuilipa AED 20M yaan TZShTrillion 12 Dipii Wedi Kama fidia ya hongo mbali mbali walizopewa viongozi kuandaa mazingira ya kupewa Tenda bila kufuata utaratibu
Msemaji makini anasema
1. Mkubwa kabisa kalamba zaidi ya 4,000,000AED
2. Waandishi wa Habari na station za TV wamepewa 2,000,000AED na kuwezesha safari zao
3. Wanene wa mjengoni 37 wamepewa zaidi ya 7,500,000 AED na vitu vya thamani ya 4,200,000AED
4. Wanasheria walio facilitates mkataba wamepewa 1,000,000AED
5. Washenga (watu kati) 5,600,000 kuna Dubei holdings and Agencies
Hii inalazimika waliokula Pesa hii kuirejesha au ama Dipi wed imekula kwao au Waliokula Hiyo hela walipe
.
.
Sasa Niendelee na ⚽
Rudisheni Pesa mlizokula
Chongolo Lutheranndugu zangu kesho kama chongolo na IGP wambura ni wakatoriki watasomewa waraka huo
Halafu huishii kusomewa tu unachambuliwa pia ili ueleweHuku kiongozi mtiifu wa serikali, huku muumini mwaminifu wa kanisa.
Jumapili unasomewa tamko kanisani na unalielewa vizuri, juma3 inabid ukemee wanaopinga mkataba ukiwa upande wa serikali. Kazi mnayo viongoz wa chama na serikali mnaowajibika kiroho kwa ma baba askofu
Kaa kwa kutulia wewe kiazi huna akili kichwa chako empty head sifuri 0/0Tunaomba Source ya hii taarifa kama huna utakuwa mmbeya tu kama akina mange na carrymastory
Wewe utajinunisha na domo litakuwa refu kama chuchunge.🤔kwahiyo ukisomwa ndoo inakuwaje