Huyu shekhe akili kisoda atakuwa kadanganywa kuwa TEC wanapinga mkataba wa Samia na DPW kwa kuwa rais Samia ni muislam.
Anasahau kuwa hao hao TEC walimpinga sana mkatoliki mwenzao Magufuli kwa waraka kadhaa
 
Hawanaga brain hawa. Jazba na mikurupuko ndio character zao. Maaskofu wameainisha mapungufu ya mkataba. Wao wanajistukia kwamba wanaonwa ni foreigners!?
Yaani hata haihusiani. Sijui jazba ya nini? Hii jazba labda wangeipeleka kwa Allah kwa kuwaweka nchi moja na makafir pengine.

Anyway labda mimi ndio sielewi.
 
Itakuwa robot hiyo, kwani wamekatazwa kutoa waraka tena ikiwezekana waongeze na maandamano ya kupongeza.
 
Huyo Shekhe mbona hilo tamko ni kama kalitolea hotelini vile,..😉😉 na siyo kwa musikiti?
 
Bado huzijuwi jazba unazisikia tu.

Huyo siyo Muislam, anaigiza tu.
 
Mimi ni muislam Ila hawa jamaa wa bakwata Wazee wa Ubwabwa hua wanafanya vitu mpaka unajiuliza hawa watu wako sawa kweli wao maadamu uwahakikishie watapata ubwabwa
kwenye sherehe zao basi watakutetea hata kama utakua kwenye makosa hakikisha ubwabwa unapatikana na maji ya chupa basi hawana uwezo mkubwa wa kufukiri zaidi ya kufikiria ubwabwa tu
 
Dah,kwamba yamekuwa mashindano.
Kwakuwa kuna walaka wa TEC na wao watoe waraka,na sio kuhusu huo mkataba.
Takataka.
 
Yaani utadhani D P World ni sehemu ya Tanzania.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…