Tangu wahaidiwe kujengewa misikiti akiri zimewatoka wavaa kobazi
 
Kuna msikiti nilipita nasikia Sheikh anasema kama kweli wana nia njema kwanini hawakuuleta huo Waraka na huku msikitini?!

I was like Nigga?!!!
😂😂😂 Walaka wa tec misikiti hii mijitu hopeless sana
 
Lowasa alisema kipaumbele chake cha kwanza ni ELIMU, cha pilli ELIMU na cha tatu ELIMU. Hakupata kura.....
 
Huyu shekhe akili kisoda atakuwa kadanganywa kuwa TEC wanapinga mkataba wa Samia na DPW kwa kuwa rais Samia ni muislam.
Anasahau kuwa hao hao TEC walimpinga sana mkatoliki mwenzao Magufuli kwa waraka kadhaa
Walimpinga kwenye suala lipi?hebu nikumbushe
 
Upande wangu naona sawa tu, wacha hii ngoma iende kwa namna wanavyotaka wao, hawa CCM sio wa kuwachekea, hii karata yao ya udini ni ya kijinga ambayo wamekuwa wakiitumia kama last resort, pale ambapo silaha zao nyingine zote za propaganda kama ile pendwa ya tusichanganye dini na siasa, zinapogoma kufanya kazi.

Sasa mimi nachotaka wacha hao mashekhe waende huko misikitini wakasome waraka watakaopenda wao, tena wautengeneze ule mzuri kabisa wa kumpamba Samia, halafu mwisho wa siku ndio wataona kama TEC na wengine wanaopinga ule mkataba wa hovyo wa bandari watarudi nyuma, hao ni wajinga tu, wasimsumbue yeyote anayejielewa.
 
Acha kuja kuwananga ndugu zako huku, regardless they are right or wrong,

Ama ndio inavyokufundisha dini??

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Analects: Way and its powers
 
Na Maaskofu wa makanisa mengine wamechafukwa na nini?
Mbona huwataji!
 
Yaani wamelalama utadhani wametajwa kwenye tamko..!!
Ukiona mtu anaacha kuujadili mkataba wa DWP anaingia kujadili tamko la TEC ujuwe tamko limemshika pabaya na hajielewi..!!
Kuwalenga watu kwa sababu ya dini au imani zao ni ukiukaji wa haki za binadamu.

"Kwa pamoja, tuwaheshimu wahanga wa vurugu kwa kujitahidi kujenga ulimwengu unaojumuisha zaidi, wenye heshima, na amani, ambapo utofauti unasherehekewa," alisema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres katika Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Ukatili kwa Msingi wa Dini au Imani.
 
Acha kuja kuwananga ndugu zako huku, regardless they are right or wrong,

Ama ndio inavyokufundisha dini??

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hio dini gani inayokufundisha kutowakosoa watu eti kwasababu ni ndugu zako mnasali nao pamoja hata kama watakosea usiwaambie
Dini gani hio au na wewe ni sheikh ubwabwa ???
Acheni kuchukulia kila kitu rahisi rahisi maisha sio ubwabwa tu mkimaliza mnatawanyika basi kukaa mnatetea mijizi kwasababu eti ni waislam wenzenu
Nyie ndio mnafanya waislam waonekane watu wasiofikiri watu wanaoendeshwa na mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…