Na hiki ndo walichokifanya TEC kuhusu ubaya wa mkataba. Wameeleza ubaya wa baadhi ya vipengele. Hata akina Prof. Shivji, akina Dr.Slaa, akina Mwabukusi etc wote wamejikita kwenye vipengele vibovu na kuainisha madhara yake. Wao nao waeleze tamko lina shida gani. Isije ikawa mawazo ya mtu ambayo hayapo kwenye tamko ndo anayageuza yawe ya tamko. Na mbaya zaidi mawazo hayo yawe yanaanzishwa na tofauti ya imani za kidini
Kuna watu humu wanaropoka eti kwa vile rais ni muislam, mara ni mwanamke, etc ujinga mtupu. Hakuna mahala tamko limesema hivyo.
TATIZO KUNA WATU WANAYOYAWAZA NDO WANASEMA YAPO KWENYE TAMKO, KUMBE NI MAWAZO YAO TU..!!