Waraka wa TEC wajadiliwa TV IMAAN
Wanachambua kwa mihemko ya kidini wapuuzi hao. Hakuna hoja wanayoijadili zaidi ya kujaa jazba. Kama vipi na wao watoe tuone wapi kuna pumba na wapi kuna mchele safi. Bora hata ccm wangeuchambua wangeeleweka wanapangua hoja
 
Dp world

Ni uislam mtupu masheikh wasipofanya hivyo ujengaji wa misikiti utafubaa mana omani wamepata msaidizi
 
Naona hapa CCM na DPW wanatetewa Kwa nguvu zote bahati mbaya saaana hawataji Mapungufu yaliyomo kwenye mkataba ambayo yametajwa na Mahakama na Sekretarieti ya BUNGE pia, achana na individuals kama Professor Shivji.

Wanadai hizi ni propaganda! Duh
hawana akili hao, ni udini tu umewajaa vichwani mwao hata siasa hawazijui
 
Aor
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Air time ya Nguvu🙏🏾
 
Hawa jamaa wana tatizo kubwa sana, kama ni taharuki Ccm na serikali yake ndio wame leta taharuki. Ina fika mahali hadi wenye dhamana ya ulinzi na usalama wa raia wana diriki kusema watu wana takakumpindua rais?
Bado Rais yuko nao tuu kwenye ofisi zetu?
Mbona hiyo radio haiku sema polisi ina wabambikia watu kesi? Hebu kama hawana mada wakae kimya tukomboe nchi yetu.
 
Wanasema matamko yanatolewa yana maslahi Kwa TEC anatolea mfano LGBTQ Kuwa TEC hawakutoa tamko kwakua Wana maslahi kwao
LGBTQ walitaka kupora rasimali za watanzania kwa mkataba tata? Wapuuzi hao elimu ya kupangua hoja za maaskofu hawana
 
Hii vita ni rasmi ya kidini, Samia 2025 hawezi kuwa Rais

Wamemtega ametegeka , Wenye nchi hawawezi mruhusu kuendelea 2025

Byebye Samia
hii mitego ya kisiasa ni noma sana. Kumshauri asigombee waliona ni ngumu wacha ajiangushe mwenyewe wapate hoja kuwa hatoshi kuongoza nchi tena
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
BAKWATA ni tawi la CCM wala hawawezi kushindana na taasisi kubwa ulimwenguni kama RC
 
Binafsi napenda hii ngoma iendelee hivihivi...maana ni kitu ambacho kimekua kikitengenezwa kwa muda mrefu sana. Ngoja kipasuke tu.
tusubiri maulamaa/masheikh nao watoe waraka wao, bila shaka utakuwa wa kujibu hoja za maaskofu japo wao utakuwa umejaa mihemko ya kidini, ujinga mtupu. Halafu ccm wanachekelea upuuzi wao waliousababisha kwa kukosa akili
 
Naona hapa CCM na DPW wanatetewa Kwa nguvu zote bahati mbaya saaana hawataji Mapungufu yaliyomo kwenye mkataba ambayo yametajwa na Mahakama na Sekretarieti ya BUNGE pia, achana na individuals kama Professor Shivji.

Wanadai hizi ni propaganda! Duh
Kama ni propaganda basi waendelee nao.Kwa hiyo wanajadili propaganda?
 
tusubiri maulamaa/masheikh nao watoe waraka wao, bila shaka utakuwa wa kujibu hoja za maaskofu japo wao utakuwa umejaa mihemko ya kidini, ujinga mtupu. Halafu ccm wanachekelea upuuzi wao waliousababisha kwa kukosa akili
Kwa Weledi na unyenyekevu, Maaskofu wameelekeza hoja na ushauri wao kwa Serikali.
Tuwaone hao watakaojibu kwa niaba ya serikali.
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Huu waraka wa TEC ni "pandora"s box" ya mabadiliko makubwa yatakayokuja ya kiutawala ndani ya nchi yetu. Badala ya watu kujikita katika kujibu hoja, sasa zinatafutwa sababu dhaifu na za kihistoria na zenye sura ya kidini ili kukwepa hoja iliyopo mezani.

Ilianza na suala la Uzanzibar kutaka sababu za kuokoteza katika sakata hili la bandari ila zikabuma, ikaja sababu za uanamke wa mama Abdul nazo zikafeli, walitafutwa chawa wakashindwa kuzimisha hoja iliyotolewa, makada wakajipanga kuzunguka nchi nzima ili kutoa elimu ila watu wakapuuzia, zikaja kesi za mchongo za kubambikia watu uhaini ila imebuma, sasa dini inaanza kutumika kama silaha ya mwisho.

Sasa litafumuka jingine kuhusu ilipo ndege ya Rais na sababu za kuwepo kwa hapo ilipo. Kama nalo litathibitika kuwa linahusiana na sakata hili la DPW, basi tegemea na lingine pia litafuatia. TEC ni baraza ambalo kamwe huwa halikurupuki, ukiliona tamko mwenye busara na hekima huwa anlifanyia kazi, na wala siyo kulifanyia dhihaka.
 
Back
Top Bottom