Wacha umbea we Mwanamke, wakati hayo yanatokea Waislam mlikuwa wapi?Walioleta mifarakano ni hao watawala waliopanga mipango mibovu ya ugawanyaji wa madaraka. Kama wao walikuwa wanalifikiria hilo wangekuwa tayari kutafuta suluhu.
Wewe na hao watawala mpo chungu kimoja. Msipoyaona haya mtaiingiza nchi matatani.
Mmesoma wakati Tanzania bara yote mna Chuo kikuu kimoja tu, tena baada ya kupewa lile jengo la TANESCO na B.W MkapaSasa hivi Waislamu waliosoma ni wengi sana, hoja ya kutosoma ni propaganda tu, haina mashiko tena
Yaani unataka hata uzushi uonekane ni tatizo?Kalamu...
Ulichosema ni kweli kabisa.
Lakini teuzi lazima zichukuliwe kwa tahadhari hasa katika maeneo ya dini na kabila...
Wakati Nyerere anafanya hayo, ninyi mnaosema mlimweka Nyerere madarakani mlikuwa wapi???Nikwambie kitu kimoja ambacho unatakiwa kukifahamu - (Tena umegusa kwenye shina; Elimu) suala la kuiandaa jamii ya kesho ni ya serikali. Hii ikiwa pamoja na elimu ambayo ndio dira ya kupata ajira. Ni ujinga baada ya miaka 60 ya uhuru tukaendelea kulia na makosa aliyoyafanya mkoloni, huku ni kukosa akili. Sasa tulidai uhuru ili iweje? Au unafikiri ili tuendeleze utaratibu ule ule wa mkoloni, tukibadili rangi tu ya mtawala.
Tena umetaja Mmakabila kama wachaga - Huwezi amini kuwa mkoa wa Kilimanjaro unashule nyingi za sekondari kuliko Dar es salaam ambapo uwiano wa wakazi wa mikoa hiyo hata haikaribiani. Tena shule nyingi zaidi zimejengwa baada ya uhuru na mkoloni mweusi. Usishangae kwani hii ndio sera ya serikali ikiwalipa walimu na kuendesha shule hizo kwa kodi za wananchi wote.
Kifupi utaratibu wa maandalizi ya mwananchi yamefanywa kimakusudi kabisa huku wakijua kuwa wao watashikilia tu kuwa hawa hawana elimu.
Kwa ufahamu zaidi soma kitabu cha muandishi Sykes, ndio utaona mpango halisi. Ni lazima mwenendo huu ubadilike toka kwenye elimu, hakuna vipofu sasa hivi. Mambo yote yapo hadharani, humfichi mtu kitu.
J. K. Nyerere amewekwa kama candidate na kanisa katoliki ya kupewa U- Saint, si kwa bahati mbaya. Ni kwa vile katekeleza mpango mahsusi wa kuhakikisha kuwa kuna kikundi fulani kinapata upendeleo. Tunachosema ni kuwa yaliyopita ni ndwele tugange ya sas na yajayo.
Mkuu vipi kwani kuna teuzi zinazozingatia Ukabila na Udini?Teuzi na upandishwaji vyeo lazima vifanyike kwa kuangalia sifa na vigezo vya mtu husika.
Lazima viwe 'based on merits' siyo sifa ya udini au ukabila.
Kitali,Upuuuz mtupu. Kwahiyo mtu akiitwa John anakuwa Mkristo sio. Au muhamed anakuwa muislam.achanen na woga wa maisha nyie. Mnakera kweli aisee.
Wakwanza ni makamu mkuu wa chuo, pili walitolewa waislam 11 wakawekwa wakristo 11, humu watu wengi mnasema waislam hawajaenda shule lakini bado mnasema JK alipendelea waislam sasa hao waislam aliopendelea walikuwa hawana shule, mkitoka hapo mnasema waislam wanalalamika ila wakristo walivyokuwa wanamlalamikia Dau wa nssf mnadhani tumesahau?Nimelisoma vizuri sana, kuandikwa na kithibitisha ni vitu viwili tofauti, Mtu anaweza kuandika chochote
Hebu nitajie hao Wakristo waliohusika kuvunja msikiti.
Unajua kilichosababisha kutokea kwa huo mgogoro UDOM?Wakwanza ni makamu mkuu wa chuo, pili walitolewa waislam 11 wakawekwa wakristo 11, humu watu wengi mnasema waislam hawajaenda shule lakini bado mnasema JK alipendelea waislam sasa hao waislam aliopendelea walikuwa hawana shule, mkitoka hapo mnasema waislam wanalalamika ila wakristo walivyokuwa wanamlalamikia Dau wa nssf mnadhani tumesahau?
Ujinga unatakiwa uitwe ujinga ili mjinga asiurudie. Huwez kutambua dini ya mtu kwa kuangalia majina achen ujinga bana.Kitali,
Ukiwa unajadili jambo na mwenzio inataka uzingatie kuheshimiana.
Jiepushe na maneno kama "upuuzi."
Kwa mtu muungwana ushamtia hofu anaona mjadala umegeuka kuwa wa matusi na matusi hayajibiwi na mtu mstaarabu.
Atabakia kimya.
Hahahaa! Kumbe na nyie mnalalamika eeh? Eti wakristo wameachwa nssf, hivi UDSM hakuna kanisa?Unajua kilichosababisha kutokea kwa huo mgogoro UDOM?
Wewe umeona wapi kanisa linajengwa ndani ya chuo cha serikali?
Kuhusu NSSF Waislam walikuwa wanaingia na mikeka kuswalia maofisini kitu ambacho Mkristo hawezi kuleta msalaba na kutengeneza mimbari katika ofisi ya umma na kuabudia hapo, okay tuachane na hilo unajua kuwa Wakristo wote waliokuwa na sifa za kuajiriwa NSSF hawakuzingatiwa? Au unabwatuka tu?
Mnajichanganya wenyewe aisee mmeilalamimia nssf ambayo ilikuwa na wafanyakazi 69% wakristo na waliobaki ni dini nyingine, ok kumbe mnataka 80 to 20 percentUnajua kilichosababisha kutokea kwa huo mgogoro UDOM?
Wewe umeona wapi kanisa linajengwa ndani ya chuo cha serikali?
Kuhusu NSSF Waislam walikuwa wanaingia na mikeka kuswalia maofisini kitu ambacho Mkristo hawezi kuleta msalaba na kutengeneza mimbari katika ofisi ya umma na kuabudia hapo, okay tuachane na hilo unajua kuwa Wakristo wote waliokuwa na sifa za kuajiriwa NSSF hawakuzingatiwa? Au unabwatuka tu?
Wewe hujui hata unachokiandika, Mimi sijalalamika nimekuuliza maswali nikakupa facts.Mnajichanganya wenyewe aisee mmeilalamimia NSSF ambayo ilikuwa na wafanyakazi 69% wakristo na waliobaki ni dini nyingine, ok kumbe mnataka 80 to 20 percent
Kitali,Ujinga unatakiwa uitwe ujinga ili mjinga asiurudie. Huwez kutambua dini ya mtu kwa kuangalia majina achen ujinga bana.
Wewe hujui hata unachokiandika, Mimi sijalalamika nimekuuliza maswali nikakupa facts.
Hakuna Wakristo wenye muda wa kulialia au kuandamana, huwa wanaungana na kutafuta solution ya mambo yao kimantiki.
Hatutegemei kubebwa, sio kimadaraka au kielimu
That's it.
Tatizo lipo kwenye udini ambako wameshindwa kuficha maslahi yao...Imeandikwa kitaalam sana.