Vita ya maslahiHabari ya majukumu wana Jamii forum..
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.., kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali.
NB: Makosa ya kiuandishi tuwasamehe
Kwa nchi yetu re-formation ya taasisi ni ngumu sanaa.
Kwahiyo tutaishi na wasengerema wetu milele
Maana viongizi wa juu wanabadilishwa ila roots wanabaki tu pale pale
Ninawafahamu A to Z halafu asilimia 90 elimu zao ni za kuungaungaWe jamaa inaelekea umewafuatlia sanaa
Hivi mbinu gani nitumie ili nikafanye kaz TAMISEMI HQ?Ninawafahamu A to Z halafu asilimia 90 elimu zao ni za kuungaunga
Ninaowafahamu mimi walianzia kwenye taasisi nyingine kama za elimu ( waalimu) na baadae wakahamishiwa huko japo wengi wao ni vilazaHivi mbinu gani nitumie ili nikafanye kaz TAMISEMI HQ?
Ndio nataka nijue namna gan naweza hamia hukoNinaowafahamu mimi walianzia kwenye taasisi nyingine kama za elimu ( waalimu) na baadae wakahamishiwa huko japo wengi wao ni vilaza
Ninaowafamu mimi mwanzoni unakuta mtu ameajiriwa na stashahada baadae akajiendeleza shahada ,muda kidogo akapata ufadhili akasoma shahada ya pili yaani masters kwa hiyo ukichukua ule uzoefu wa kazini jumlisha ile elimu yake ya kuungaunga uongezee na kujipendekeza kwa wakubwa kwa wanawake wanatoa hadi mbususu baaasi utasikia mtu kahamishiwa TAMISEMINdio nataka nijue namna gan naweza hamia huko
nilitoa angalizo kuwa tutizame ujumbe wao..Waraka umeandikwa kihuni kiasi kile utadhani walioandika ni watu wa darasa la tatu?!, kwangu mimi binafsi naukataa maana una makosa ya kiuandishi yasiyofaa hata kuwasilishwa kwa umma kulingana na unyeti wake.
Aliyaendika huo waraka ni mhuni mmoja tu...