Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

AKAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
991
Reaction score
963
Habari ya majukumu wana JamiiForums,

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali.

Binafsi Nimesoma na kuelewa lengo, pia naunga mkono hoja za wataalamu wetu.

karibuni kwa nyongeza ya maoni mbalimbali.

NB: Makosa ya kiuandishi tuwasamehe.
 
Attachments

Habari ya majukumu wana Jamii forum..
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.., kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali.

NB: Makosa ya kiuandishi tuwasamehe
Vita ya maslahi
 
Waraka umeandikwa kihuni kiasi kile utadhani walioandika ni watu wa darasa la tatu?!, kwangu mimi binafsi naukataa maana una makosa ya kiuandishi yasiyofaa hata kuwasilishwa kwa umma kulingana na unyeti wake.
Aliyaendika huo waraka ni mhuni mmoja tu...
 
Mbaya zaidi hao jamaa wa Tamisemi pamoja na kujifanya ni wazee wa dili lakini bado pia ni washamba balaa, uvaaji wao na kadeti zilizopauka wanazonunua soko la mtumba sabasaba na skuna zilizoishilia pembeni
Kwa nchi yetu re-formation ya taasisi ni ngumu sanaa.
Kwahiyo tutaishi na wasengerema wetu milele
Maana viongizi wa juu wanabadilishwa ila roots wanabaki tu pale pale
 
Ndio nataka nijue namna gan naweza hamia huko
Ninaowafamu mimi mwanzoni unakuta mtu ameajiriwa na stashahada baadae akajiendeleza shahada ,muda kidogo akapata ufadhili akasoma shahada ya pili yaani masters kwa hiyo ukichukua ule uzoefu wa kazini jumlisha ile elimu yake ya kuungaunga uongezee na kujipendekeza kwa wakubwa kwa wanawake wanatoa hadi mbususu baaasi utasikia mtu kahamishiwa TAMISEMI
 
Mbaya zaidi hao jamaa wa Tamisemi pamoja na kujifanya ni wazee wa dili lakini bado pia ni washamba balaa, uvaaji wao na kadeti zilizopauka wanazonunua soko la mtumba sabasaba na skuna zilizoishilia pembeni
wasamehe
 
Waraka umeandikwa kihuni kiasi kile utadhani walioandika ni watu wa darasa la tatu?!, kwangu mimi binafsi naukataa maana una makosa ya kiuandishi yasiyofaa hata kuwasilishwa kwa umma kulingana na unyeti wake.
Aliyaendika huo waraka ni mhuni mmoja tu...
nilitoa angalizo kuwa tutizame ujumbe wao..
 
Back
Top Bottom