Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

Uko very wise .. imagine hamko vizuri ndoa ina-wacost gharama kibao after marriage mnaanza kulipa madeni ... WTF [emoji29]
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ukweli ni kwamba kama uwezo upo Ndoa na Sherehe inapendeza sana maana ni tukio muhimu sana katika maisha ya mwanadamu lakini kama uwezo hauruhusu hamna haja ya sherehe, ndoa ni muhimu lakini sherehe siyo muhimu.
Well said
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kiukweli hapa nimetoka kapa ila imenibidi nicheke tu kama sehemu ya ratiba yangu humu jf[emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hivi Kuna mtu huwa anapenda kucheka Kama Mimi humu !?
 
Leo humu kila mwanamke hapendi sherehe. Tehe teh.
Ndio Mimi nashangaa Hapa [emoji16][emoji16] mpaka najiuliza Hawa Wanawake wa jf wanapatikana dunia ipi !? Yaani Kama hiki nachokisoma Hapa kwenye hii wall kina ukweli Basi naishukuru dunia kuona Kuna sehemu kubwa ya wanawake wameanza kubadilika.... [emoji16][emoji16][emoji16]

Ijapokuwa inaniwia vigumu kuweza kuamini maana watanzania now days huwa tunaishi Mara 2 Kuna Maisha special kwaajili ya dunia halisi na mengine special kwaajili ya dunia ya mitandaoni
 
Hao viumbe wanajijua wenyewe hawatabiriki hapa wanasema hawataki sherehe kubwa ila wakienda kwenye harusi ya rafiki yake na yeye atatamani yake iwe kubwa zaidi ya shoga yake
So complexity [emoji16]
 
Sisi akina mwajei ndala ndefu ambao kuku mtaani wanatuchukulia poa sherehe ni lazima na shela nizunguke nalo buza yote kila mtu ajue mwajuma kaolewa. Niolewe kimya kimya wataamini vipi nimeolewa? Sherehe ni lazima.
 
Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? 😂
HIYO ITAKUWA NI NDOA TAKATIFU HASA
Yaani safi sana upangwe tu utaratibu kama huu wahusika ni MUNGU wenu aliye mbinguni padri au sheikh mashahidi wawili na nyie wanandoa tosha kabisa, hata mkija kuzinguana kunakuwa hakuna maumivu
 
Hahha, kumbe unajua jibu eeeh?
Wengi hapa waongo waongo tuu yani ili waonekane ma-wife material.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…