Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? 😂
Mdogo wangu naona hutaki shida kabisa. 😅
 
Mimi mnyaki ambaye sherehe ipo damuni nacomment wapi?[emoji6][emoji6][emoji6]
Kwenye msiba nalia nagalagala afu harusi ndiyo ningefanya kimya kama nimeiba mume au naolewa ndoa ya 3?

Afu shemeji hujaspecify, sherehe unazoongelea ni zile za kutrend au hata zile ambazo labda mnakuwa na sherehe simple tu na ndugu wa pande zote 2 na friends wachache?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwamba naeza nkalipa mahari kisha tukaanza maisha yetu straight away?
Ukishalipa mahari inafwata ndoa ya kanisani au msikitini kwa upande wa waislamu.
Ili Mungu abariki.

Ila Sasa wazazi huwa wanajisikia fahari sana kuona mwanae ameoa au ameolewa..hawawezi wakawaacha ipite bure yaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie natamani ndoa ya kimya kimya, kwa kifupi sipendi shughuli hata graduation zenyewe nakimbiaga [emoji3][emoji3]
Sasa suala la ndoa ukiwaambia ndoa itakua ya kimya kimya unaambiwa kwani umekua msiba huo
sijui kikombe hiki nitakiepuka vipi?
Hutaki kuringishia mashoga zako bibie ?
 
Ndugu katibu mkuu Mnyatiaji kwa kweli kazi unayoifanya ni hadhina kubwa sanaaa
Kama mwenyekiti nimekukabidhi Hundi ya shilling 300 utapata mia hamsini

Na hiyo nyingne tutamnunulia Dada Carleen soda utamwambia mangi ela nyingine tunaiskilizia
Muweka hazina The Icebreaker naomba ufanye kazi hiyo kama muweka hazina uliyechaguliwa

Wenu mtiifu mwenyekiti uwabata
Kaka madenge
Nikiwa kama muweka hazina,kutoa shilingi 300 ni nyingi sana,itabidi kwanza niongee na Mwenyekiti ili aitishe kikao cha dharula,haya ni matumizi mabaya ya fedha,Soda ni anasa,kwani maji ya 100 hayapatikani siku hizi?
 
Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? [emoji23]

Hii kitu naitaka sana na natamani sana kupata mwanamke ambaye anawaza kama wewe..! Kukweli mimi sipendi sherehe ila basi tu naona watu wanafanya sherehe kama Vibe ila mimi sinaga Vibe kabisa na masherehe.!
 
Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? [emoji23]

Yaaani kitendo cha mfungisha ndoa kumaliziikia tu mlangoni, munajikaribisha kwenye ulimwengu wa ndoa🤣🤣 yaani kutoka kuzini hadi tendo la ndoa 🤣🤣🤣 kamoko cha welcome to first year kwenye ndoa
 
Sherehe simple ndio ikoje? Ya kuweka walpaper la kijani lile na maua na viti plus majirani wachache na ndugu ama sherehe ya ma millioni ya kukomesha mashosti
Kasherehe kadogo tu , unaita ndugu, marafik na majiran kiasi tu mnapiga zenu ubwabwa mambo yameisha. Lkn ile kutoka kanisani turudi home moja kwa moja mwee hiyo hapana.
 
Back
Top Bottom