Warembo wangu, upo tayari kufunga ndoa bila sherehe?

Sherehe sio lazma
 
Tina ww ushamaliza hicho kipengele? Kama bado, je upo tayari kumshauri Baba Chanja mlimalize hili kimya kimya maana kwa sehemu kubwa influence ya mwanamke 'inaathiri' maamuzi ya wanaume wengi.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Bado natafuta wala sitahitaji sherehe nikimpata mwenzangu nitamjulisha sababu za kutotaka sherehe.
 
Bado natafuta wala sitahitaji sherehe nikimpata mwenzangu nitamjulisha sababu za kutotaka sherehe.
Ni mapema kuziweka hadharani kwa sasa eeh? One might get moved na mtazamo wako, hakuna mipaka ya vile vituvutiavyo kupelekea mwanzo wa mahusiano, fikra, maumbile, imani, wasifu n.k
 
Ni mapema kuziweka hadharani kwa sasa eeh? One might get moved na mtazamo wako, hakuna mipaka ya vile vituvutiavyo kupelekea mwanzo wa mahusiano, fikra, maumbile, imani, wasifu n.k
Eh ila kama atafosi basi..but sipendelei kusumbua watu michango yaan mbaka mtu anakonda kisa harusi
Upuuz tu
 
Nini sherehe, hivi hakuna uwezekano wowote hiyo ndoa tuifungie tu kabisa ndani, mfungisha ndoa akimaliza tumfungulie mlango atoke, halafu sisi tuanze zetu maisha mapya ya ndoa?? 😂
Hii nzuri baada ya hapo unaalika marafiki wachache mnafurahi zenu
 
Woyooooooooooooh
 
Binafsi sipendi sherehe ya aina yoyote ile, hata kuhudhuria tu ni ile tu kwakuwa ni mambo ya kijamii inabidi tu ujumuike na watu. Na nikihudhuria basi nakuheshimu sana, lasivyo ningekuwa sihudhurii kabisa.
Kumbe tupo wengi.
 
Hapana dearie,hakuna hyo,
Ujue nlivyosema vile I meant wanaopretend kutotaka sherehe ni kuhakikishia wanaume wanaomskia/kumsoma kua hana makuu ivii au hategemei mambo makubwa,(given most men hawana intrest na sherehe).
Nope nilikuelewa dear. Nimeshangaa tu hiyo conclusion yao kwamba mtu sipopenda sherehe basi automatically anakuwa wife material. Lulu hajafanya sherehe ila kafanya kufuru kwenye mavazi yake, so na yeye ni wife material kisa hakufanya sherehe? Kwa kweli kama mtu anapenda sherehe na uwezo anao, afanye tu sherehe kwa raha zake.
 
My next marriage sitaki sherehe kubwa aisee. It will be just lunch kwetu afu wandugu mtuache tupumzike tujamiiane jamani.

My first wedding was rather big and took several days since it was across 2 countries.

Nilichoka Sana my own stylist akaniambia it's taking a toll on my skin and my hair. Na kweli after the final occasion I shaved my head bald!
 
Wawapishe mkamilishe utakatifu wa muungano mpya [emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…