Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Yeye halazimiki kuwa na ushahidi. Uchunguzi wa polisi ndio ungethibitisha nani mkweli. Na kesi hii ni criminal na ilitakiwa ibebwe na Jamhuri. Na ingethibitishwa kuwa kasema uongo, panga lingemuangukia.Alikataa kwa kua hana ushahidi.
Mahakamani asingeweza kushinda kwa kua hana ushahidi wa kikicho tokea ndani. Ushahidi wote ni wa baada ya tukio ambao haujastify kua kweli tukio lilikuepo ukiachia mbali nani kafanya hili tukio.
Haya ndiyo mambo sasa....hatua kama hizi ni muhimu sana....hoteli ichunguzwe kwanini wanawaruhusu watumishi kuwa na mazoea ya hovyo na wageniTamko hayo unayosema wewe huna uhakika nayo Serikali imetoa tamko kaa kimya subiria uchunguzi usibaki unahisi hisi kitu wakati hakuna hata mmoja humu alikuwa kwenye tukio View attachment 2190669
Uache upumbafu wakati mwingine, nionyeshe nilipoandika "NADHANI" alafu aliyetoa tamko ni mimi au hotel, unakurupuka kutoka toilet unavamia andiko pasi kutulia.Tamko hayo unayosema wewe huna uhakika nayo Serikali imetoa tamko kaa kimya subiria uchunguzi usibaki unahisi hisi kitu wakati hakuna hata mmoja humu alikuwa kwenye tukio View attachment 2190669
No work ethics?
Mfanyakazi kufanya ngono na Mgeni?
Hii Hotel nayo wanapuyanga.
Ndio huyu!!??
Huyu dada shenzi kweli kwa hiyo akilala hafungi mlango wake!!!!Yes, hebu fuatilia footage zote yaani ni kwamba alijipanga each second past, angalia hii kitu hapa ...
View attachment 2190735
Hakuna hotel inayoajili mlinzi mkuu, asilimia kubwa walinzi wengi ni kutoka makampuni nabhata huyo mlinzi alisha_sign out.No work ethics?
Mfanyakazi kufanya ngono na Mgeni?
Hii Hotel nayo wanapuyanga.