kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 987
- 766
Alilipwa hicho kiasi alichotaka?Nadhani wamesema sio mfanyakazi wao. Na kwa maelezo yao walimshauri Zainab amfungulie mashtaka yeye, kampuni iliyomuajiri na ikibidi hata hoteli.
Zainab akakataa ( labda kwa kutambua kuwa itakuwa usumbufu hasa ukizingatia kuwa haishi Tanzania) akadai alipwe tu pesa.
Amandla...
Majambazi wa Naijeria haoNi rahisi tu....huyu Danga.
Ajali ilimtokea kazini.
They are taking advantage of Tanzanians who are inferior.
I guarantee you... if she was a Tanzanian complaining on any Kenyan or South African hotel. w
We wouldn't have all this drama.....
Fellow Tanzanians would be the once insulting and naming her....
Znz kuna wadada wa kizungu walimwagiwa tindikali kesi yao sijui ilifikia wapi,hao beach boyz hawana tofauti na wale wa coco beachKwa kutazama fursa ndio wenyewe, hata mtu yuko tayari kufanya kitu ridiculous..
Not a message to trust from a reputable hotel at all, you cant say it so simply that there was a sex agreement between the security personnel and Mis. Zainab, this is totally immoral from the image point of view and line of duties from the security person, the hotel on this ground has to bear all the blames, shame on these pusies of this hotel. they are now clearly naked Warere is equivalent to a slum located guest houses.Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha.
Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili kulimaliza.
But Warere Owner walipokataa kumpa kiasi hicho akaondoka kwa jazba na kuahidi ataichafua na kuiharibia hoteli kupitia mitandaoni na waniger wenzake.
Kama kinapanda soma hapo chini👇🏾;
View attachment 2190611
Wahuni Sana hawa jamaaWanaigeria siwaamini kabisa
Wajinga sana hao jamaa kwanza wan ruin reputation yao balaa kabisa mfano tu Green Card lottery ile tayari US ameshazuia hao jamaa wasiingie kwake, Kuna Stores kibao online hazitumi mizigo Nigeria kwa upuuzi wao tu wakutoaminikaBaada ya miaka mitano ijayo Niger wasipochukua hatua watakuwa raia wao wanapata tabu kuajiriwa nje ya nchi.
Unamuamini sana huyo 'character assassin' ?Kwani Mange anasemaje, mbona hajakinukisha?
Simuamini, ila namshangaaga how can a human being be soo heartless?Unamuamini sana huyo 'character assassin' ?
Hivi ukiandika kwa Kiswahili badala ya kutumia huu ugoko utapungukiwa na nini?Not a message to trust from a reputable hotel at all, you cant say it so simply that there was a sex agreement between the security personnel and Mis. Zainab, this is totally immoral from the image point of view and line of duties from the security person, the hotel on this ground has to bear all the blames, shame on these pusies of this hotel. they are now clearly naked Warere is equivalent to a slum located guest houses.
Ruin/ damage of the holiday to Mis. Zainab should be dealt with
Nimeona Google Warere ni pazuri