PostGE2025 WARNING:⚠️Namna Serikali inavyowakamata Wanaotuma picha Za Mauaji Mtandaoni: Na jinsi unaweza kujilinda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
mkuu ukitulia una kitu, tuliza kichwa uchimbe zaidi hii issue
 

Ya zamani sana hiyo
 
Mimi nashauri watu wasiogope watume tu kwa wingi ili hao wajinga serikali washindwe wamkamate nani. Watu wakituma kwa wingi hao wauwaji watashindwa ku fuwatilia maana wataona kuwa kutisha watu hakufanyi kazi tena. Mkiogopa kutuma ndio mnawapa nguvu za kuendelea kuwauweni na kuwangandamiza.. hivi kwa mauwaji waliyo yafanya mtu unapataje tena hofu ya kufa?
 
Mkuu huyu jamaa km sijakosea nyuzi km mbili tatu nimemshuhudia aki support mauaji ya ya October 29... samahani kama nitakua nimemfananisha..
 
Vp kama muhusika akuwasha location?
 
Mkuu ile video si ipo humu na nyinginezo, zitumie kuextract hicho unachosema tuwekee hapa kama ushahidi wa kusuppport mafundisho yako tafadhali.
 
Je kutumia app ya JF au browser kipi salama zaidi
 
How to remove EXIF data

  • KWENYE WINDOWS
  1. Right-click the image and select Properties
  2. then click the Details tab.
  3. Click Remove Properties and Personal Information

  • KWENYE SIMU
/ Nenda Gallery,
/ Chagua picha
/ Bonyeza SHARE
/ Utaona text button, ki button kinasema OPTION
/ Bonyeza OPTION
/ Zima option ya kutuma meta data - KAMA HAKIJAZIMWA BADO

Simu nyingine, kama yangu mimi, kipo lakini kimezimwa tayari by default. In that case usipawashe, paache off. Lakini ni vema ukawa na unapacheki pakoje kila ukitaka ku share.

Kuikomboa nchi yetu ni lazima. Tuitoe hii mizee mibinafsi, mikatili, isiyo na uzalendo na iliyofubaa akili. Unakuwaje Mkurugenzi wa Usalama halafu wewe ndo mwizi na muuaji namba moja kwenye nchi ?
 
Kwenye ule uzi wa selfika, Kuna rafiki yangu huyu… tulichitchat usiku wa manane nadhani mlikuwa wana uzi mmelala. Alieleza kuwa security ya JF inaondoa Metadata automatically.

Binafsi sikuwa najua hayo aliyokuwa ananieleza.
Kiukweli unatishaga sana
 
Je kutumia app ya JF au browser kipi salama zaidi
Sijawai tumia app ya JF mkuu na kwangu browser huwa naona ipo salama (napotoka jf ina logout kila kitu na kufuta ) maana nchi hii tunawindana kama wanyama sasa hivi. Hawa askari uchwala ikatokea simu ikafika mikonini mwao na wakakuta una app ya jf, ni kipengele kengine hiyo ni kama wamekukuta na madawa ya kulevya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…