Tumeisha amua kufa na hawa wadhalimu, hakuna kurudi nyuma kama wataweza kutuua wananchi wote sawa, then hapo wabaki waenyewe wakiendelea filaana majini yao kwa nafasi zao. Mapicha niliyotuma na mavideo na mengine nimewatumia wenyewe kabisaSasa mnaanza kutishana km hivi, tutakomboa taifa kweli?? 😹😹
Bila Salamu.,
Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha kufanya Kukamata Watu...
So why nimeandika Leo??
Jana nimeangalia caption ya mange kuhusu maiti za mwananyamala alisema kua- "Alie tuma video kaniambia alikua na SIMU mbili Moja maaskari walichukua katika kukagua simu za watu,alio wapa haikua na kitu" Swali,Mange security measure gani anachukua kulinda whistle blowers??ana washauri wa masuala ya intelligence kwenye eneo la tehama..??
TECHNOLOGY ILIVYO:
Ukipiga picha au kurekodi video na simu yako Kuna kitu kinaitwa
META DATA (EXIF DATA) picha au video inabeba taarifa zinazoitwa META DATA, taarifa hizo zinabeba,
*Aina ya simu unayotumia
*Muda ambao picha imepigwa
*GPS location
*software iliyo edit picha
*Camera na serial number..
*Map directions
Kupitia taarifa hizi Wana usalama wanaweza kujua ni Nani alipiga picha hii(sio kushare) simu yake,alipo na picha ngapi ameshare...
Ili uwe salama Kabla hujatuma picha hizo au videos kwanza Remove EXIF DATA kwenye picha au video,HOW??apps zipo free Tena offline,mtandao wa telegram wenyewe una remove automatic..
Njia rahisi ambayo mimi Huwa nafanya,ukishapiga picha..kabla ya kuituma kwanza screenshot,then crop(meta data zinaondoka) then share it unakua safe...
Unafikiri(nafikiri) Polepole alikamatwa vipi??walijuaje location yake??alichomwa na walinzi wake??No aliponzwa na video background kupitia michezo hii ya Meta Data,Watu wakajua alipo(theory)
STAY SAFE..
Igweeeeeeeee 🫡Hesabu siku...ule mwisho uliosemwa na Wazee na manabii sasa umekaribia...Abdul tukimtia mikononi nimewaambia wahuni waniachie Mimi,taarifa za ushoga zimenisisimua...
Mimi nashauri watu wasiogope watume tu kwa wingi ili hao wajinga serikali washindwe wamkamate nani. Watu wakituma kwa wingi hao wauwaji watashindwa ku fuwatilia maana wataona kuwa kutisha watu hakufanyi kazi tena. Mkiogopa kutuma ndio mnawapa nguvu za kuendelea kuwauweni na kuwangandamiza.. hivi kwa mauwaji waliyo yafanya mtu unapataje tena hofu ya kufa?Bila Salamu.,
Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha kufanya Kukamata Watu...
So why nimeandika Leo??
Jana nimeangalia caption ya mange kuhusu maiti za mwananyamala alisema kua- "Alie tuma video kaniambia alikua na SIMU mbili Moja maaskari walichukua katika kukagua simu za watu,alio wapa haikua na kitu" Swali,Mange security measure gani anachukua kulinda whistle blowers??ana washauri wa masuala ya intelligence kwenye eneo la tehama..??
TECHNOLOGY ILIVYO:
Ukipiga picha au kurekodi video na simu yako Kuna kitu kinaitwa
META DATA (EXIF DATA) picha au video inabeba taarifa zinazoitwa META DATA, taarifa hizo zinabeba,
*Aina ya simu unayotumia
*Muda ambao picha imepigwa
*GPS location
*software iliyo edit picha
*Camera na serial number..
*Map directions
Kupitia taarifa hizi Wana usalama wanaweza kujua ni Nani alipiga picha hii(sio kushare) simu yake,alipo na picha ngapi ameshare...
Ili uwe salama Kabla hujatuma picha hizo au videos kwanza Remove EXIF DATA kwenye picha au video,HOW??apps zipo free Tena offline,mtandao wa telegram wenyewe una remove automatic..
Njia rahisi ambayo mimi Huwa nafanya,ukishapiga picha..kabla ya kuituma kwanza screenshot,then crop(meta data zinaondoka) then share it unakua safe...
Unafikiri(nafikiri) Polepole alikamatwa vipi??walijuaje location yake??alichomwa na walinzi wake??No aliponzwa na video background kupitia michezo hii ya Meta Data,Watu wakajua alipo(theory)
STAY SAFE..
Mkuu huyu jamaa km sijakosea nyuzi km mbili tatu nimemshuhudia aki support mauaji ya ya October 29... samahani kama nitakua nimemfananisha..Hizi picha na video zitatumika kwenye ushahidi. Ukisha-edit kwa namna yoyote haitakubalika. Sema hivi: Njia sahihi ni kutuma na kumwambia aweke original na ku-edite zile anazoweka kwenye social media. Au wewe umetumwa kuposha watu? Au ni mtu mwenye nia nzuri tu ya kuepusha wasamaria wema?
Tafadhali MzeeMkuu huyu jamaa km sijakosea nyuzi km mbili tatu nimemshuhudia aki support mauaji ya ya October 29... samahani kama nitakua nimemfananisha..
Vp kama muhusika akuwasha location?Bila Salamu.,
Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha kufanya Kukamata Watu...
So why nimeandika Leo??
Jana nimeangalia caption ya mange kuhusu maiti za mwananyamala alisema kua- "Alie tuma video kaniambia alikua na SIMU mbili Moja maaskari walichukua katika kukagua simu za watu,alio wapa haikua na kitu" Swali,Mange security measure gani anachukua kulinda whistle blowers??ana washauri wa masuala ya intelligence kwenye eneo la tehama..??
TECHNOLOGY ILIVYO:
Ukipiga picha au kurekodi video na simu yako Kuna kitu kinaitwa
META DATA (EXIF DATA) picha au video inabeba taarifa zinazoitwa META DATA, taarifa hizo zinabeba,
*Aina ya simu unayotumia
*Muda ambao picha imepigwa
*GPS location
*software iliyo edit picha
*Camera na serial number..
*Map directions
Kupitia taarifa hizi Wana usalama wanaweza kujua ni Nani alipiga picha hii(sio kushare) simu yake,alipo na picha ngapi ameshare...
Ili uwe salama Kabla hujatuma picha hizo au videos kwanza Remove EXIF DATA kwenye picha au video,HOW??apps zipo free Tena offline,mtandao wa telegram wenyewe una remove automatic..
Njia rahisi ambayo mimi Huwa nafanya,ukishapiga picha..kabla ya kuituma kwanza screenshot,then crop(meta data zinaondoka) then share it unakua safe...
Unafikiri(nafikiri) Polepole alikamatwa vipi??walijuaje location yake??alichomwa na walinzi wake??No aliponzwa na video background kupitia michezo hii ya Meta Data,Watu wakajua alipo(theory)
STAY SAFE..
Mkuu ile video si ipo humu na nyinginezo, zitumie kuextract hicho unachosema tuwekee hapa kama ushahidi wa kusuppport mafundisho yako tafadhali.Bila Salamu.,

Sasa mnaanza kutishana km hivi, tutakomboa taifa kweli?? 😹😹
Je kutumia app ya JF au browser kipi salama zaidiMkuu hatushindani, lengo letu sote humu tuwe salama na tuchukue taadhari katika hizi nyakati ambazo tunapambania taifa letu mkuu. Jf hiyo feature sasa hivi hizi system kila siku wana improve. Hofu yangu ilikuwa watu kutimia internet kipindi wamefungua alafu ikiwa mtu hata ku update system na app ikawa tatizo , nilikuwa na mashaka sana kipindi ambacho app za watu haziwi update wangeweza tumia wekaness ambazo zimekuwa onekana kipindi hicho kujaribu kufanya exploitation. Nilikuwa nahisi hivyo .. Taadhari muhimu hasa hiki kipindi watu wanawinda sana, wame hire hadi hacker kufanya huu udwanzi
Kiukweli unatishaga sanaKwenye ule uzi wa selfika, Kuna rafiki yangu huyu… tulichitchat usiku wa manane nadhani mlikuwa wana uzi mmelala. Alieleza kuwa security ya JF inaondoa Metadata automatically.
Binafsi sikuwa najua hayo aliyokuwa ananieleza.
Ngoja nifukunyue, nitaku tag mkuu nikijua ukweliTafadhali Mzee
Sijawai tumia app ya JF mkuu na kwangu browser huwa naona ipo salama (napotoka jf ina logout kila kitu na kufuta ) maana nchi hii tunawindana kama wanyama sasa hivi. Hawa askari uchwala ikatokea simu ikafika mikonini mwao na wakakuta una app ya jf, ni kipengele kengine hiyo ni kama wamekukuta na madawa ya kulevya..Je kutumia app ya JF au browser kipi salama zaidi
Mimi? Kivipi ndugu.Kiukweli unatishaga sana
Hali yangu si nzuri lately … I’m in Spain but S is silent 😅😅Nakusalimia toka "selfika Hadi kwa wallpaper ya simu yako"
U hali gani?
😅
💯Protection ya Data na privacy Jamiiforums wapo vizuri, mtu wa jf ukiona ameshikwa ujue kajiuza mwenywe huko PM kwa gear ya mapenzi au ahadi za kazi hadi mtu anajaa kwenye 18, ila nje ya hapo ni ngumu.
Kiukweli sijui..ila ni hivyo..i have that feelings..Mimi? Kivipi ndugu.