Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo


Mbona hamsemi Merikani kutema: Texas, jimbo la Calfornia, Lousiana,Hawaii, Diego Garcia,Guam na Pourto Rico!!!!
 
Yeap hapo mpaka sasa naanza kuamini Urusi ilikuwa tu ni mkwara ama haikuwa na utaalamu na kutengeneza silaha za kisasa na ile mifumo waliotuaminisha ni hatari mpaka sasa naona ilikuwa ni biashara tu
 
Vita vya chini ni vigumu mno hata marekani mwenyewe huwa anapata shida Sana na huku Ndiko kwenye mziki mkubwa
Upo sawa sanaa yaan sanaaa. Ni kazi ngumu sana kwa makamanda kubadili yale matamko ya kisiasa kuwa uhalisia. Mageneral wenyewe wa us wanakwambia ile wamemaliza kazi ya angani kuingia ardhini walijikuta wamesahau objective zao kabisa, kuingia chakaa chakani.
 
Mkuu; Tunasema ya Ukraine vs Russia. Hayo ya Marekani tumekuachia wewe. Yale ya Israel, Palestina wanakuja wenzio kuyasemea n.k.

Mbona mlikaa kimya Taifa la Yugoslavia lilipo vamiwa na kuwa carpet bombed na Merikani na washirika wake, Rais kuondolewa madarakani unceromoniously,taifa kusambaratishwa vipande vipande kwa kuhibua vinchi nchi vidogo vidogo the so called idepedent nations - Urusi ikitaka kufuata mkondo mnaijia juu kumbatisha Putin majina ya kila sampuli kwamba ni binadamu muovu sana Duniani - hamsemi lolote kuhusu Bill Cliton na Madeline Albright kuhusu Yugoslavia.
 
Hii counter offensive ya Ukraine inabadilisha hali ya mambo, ila baada ya kuyamega yale maeneo huenda wakajaribu kuanzisha mazungumzo na Ukraine sidhani kama wanatamani kuendelea na Vita.
dudus
Kama ndivyo, then wa re- treat.
 
Duh [emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwamba kosa la Clinton na Albright lihalalishe la Putin.
 
Kuna wakati unakuwa illogical sana, kwa hiyo kama USA alifanya uhalifu wa namna hiyo kwa sasa ni zamu ya Mrusi naye kufanya ujinga vile? Urusi hana uhalali wa kukemea vitendo vya USA kwa kuzingatia anayoyafanya kwa jirani zake na aliyofanya Afghanistan na Syria.
 
Lakini mkuu, si tumeshakujibu hapo juu? Hao uliowataja wooote na wale ambao hukuwataja wanaingia kwenye n.k. Taz.#47.
 
Hii ngoma itakuwa ngumu sana kwa Putin. Kuna wavamizi/colonist/wanyang'anyi na kuna watetezi wa nchi yao wazelendo/wanaonewa. Hata morali ziko tofauti. Russia ataharibu nchi ataua atafanya fujo zote ila mwisho wa siku lazima atatema mzigo. Wa moto mno! πŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…
 
Mimi nilipoona anazunguka mara Turkey, mara kwa waarabu Iran sojui nikajua huyu kaishiwa pumzi.Yeye Putin aliishiwa mbinu alipoanza vita mwenzie hakuwa hata na bunduki alikuwa anaomba msaada na kulia lia ndio wakati nilijua Putin siku tatu tu atachukua kila kitu sio vijimbo vyenye watu 1.2 Γ—4 haaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…