Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

Warusi waikimbia ngome nyingine kaskazini kwa Kherson, kama kawa Ukraine waendeleza kipigo

Hapo hatua ilipofika, hata kama Putin anadai mikoa 4 ni ardhi yake kwa mujibu wa "annexetion" ; ni ngumu kumesa. Atatema tu, Imekuwa ya moto mno, Ataachia hayo maeneo ambayo kimsingi (na ndo ukweli)ni ardhi ya Ukraine. Mrussi anatembeza Ubabe tu lakini ukweli anaujua tangu Feb.2014.

Mbona hamsemi Merikani kutema: Texas, jimbo la Calfornia, Lousiana,Hawaii, Diego Garcia,Guam na Pourto Rico!!!!
 
Rusia wanajua kabisa hawana uwezo wa kupigana na Marekani. Angalia kwa mfano silaha wanazompa Ukraine ni zile ambazo kwao

Sasa hivi na wao wameanza kushituka. Wameanza kukiri kuzidiwa na Ukraine. Juzi amenishekesha Waziri wa Ulinzi wa Rusia, anajitetea anasema Ukraine wamefanikiwa kukomboa Lyman kwasababu wametumia US weapons na Western intelligence. Mhaho wa kushindwa vita upo juu sana huko Rusia
Yeap hapo mpaka sasa naanza kuamini Urusi ilikuwa tu ni mkwara ama haikuwa na utaalamu na kutengeneza silaha za kisasa na ile mifumo waliotuaminisha ni hatari mpaka sasa naona ilikuwa ni biashara tu
 
Vita vya chini ni vigumu mno hata marekani mwenyewe huwa anapata shida Sana na huku Ndiko kwenye mziki mkubwa
Upo sawa sanaa yaan sanaaa. Ni kazi ngumu sana kwa makamanda kubadili yale matamko ya kisiasa kuwa uhalisia. Mageneral wenyewe wa us wanakwambia ile wamemaliza kazi ya angani kuingia ardhini walijikuta wamesahau objective zao kabisa, kuingia chakaa chakani.
 
images (1) (27).jpeg

Jamani eeeeh pro russia hivi kweli kweli unakubali kuwa na mtizamo sawa na huyu kijana. Au ndo ule msemo Saa mbovu sometime inasoma majira ya kweli.
 
Mkuu; Tunasema ya Ukraine vs Russia. Hayo ya Marekani tumekuachia wewe. Yale ya Israel, Palestina wanakuja wenzio kuyasemea n.k.

Mbona mlikaa kimya Taifa la Yugoslavia lilipo vamiwa na kuwa carpet bombed na Merikani na washirika wake, Rais kuondolewa madarakani unceromoniously,taifa kusambaratishwa vipande vipande kwa kuhibua vinchi nchi vidogo vidogo the so called idepedent nations - Urusi ikitaka kufuata mkondo mnaijia juu kumbatisha Putin majina ya kila sampuli kwamba ni binadamu muovu sana Duniani - hamsemi lolote kuhusu Bill Cliton na Madeline Albright kuhusu Yugoslavia.
 
Hii counter offensive ya Ukraine inabadilisha hali ya mambo, ila baada ya kuyamega yale maeneo huenda wakajaribu kuanzisha mazungumzo na Ukraine sidhani kama wanatamani kuendelea na Vita.
dudus
Kama ndivyo, then wa re- treat.
 
Wale wanajeshi wa Urusi walikuwa wanaambiwa ''nyie ni best of best, hamshindwi na lolote. Wakapanga mstari wa vifaru na magari kuelekea Kyiv. Kumbe wanajeshi wa Ukraine wanawalia timing tu. Kuna kitu kinaitwa ''ambush''. Wakawasubiri wakaingia kwenye mtaa mwembamba wenye nyumba pande zote. Mara bang! Wakapiga kifaru cha mbele na cha nyuma ya mstari. Halafu wakaangusha kipigo kwa msafara wote. Wakijaribu kurudi nyuma, n'chale, wakitaka kwenda mbele, n'chale.
Duh [emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mbona mlikaa kimya Taifa la Yugoslavia lilipo vamiwa na kuwa carpet bombed na Merikani na washirika wake, Rais kuondolewa madarakani unceromoniously,taifa kusambaratishwa vipande vipande kwa kuhibua vinchi nchi vidogo vidogo the so called idepedent nations - Urusi ikitaka kufuata mkondo mnaijia juu kumbatisha Putin majina ya kila sampuli kwamba ni binadamu muovu sana Duniani - hamsemi lolote kuhusu Bill Cliton na Madeline Albright kuhusu Yugoslavia.
Kwamba kosa la Clinton na Albright lihalalishe la Putin.
 
Mbona mlikaa kimya Taifa la Yugoslavia lilipo vamiwa na kuwa carpet bombed na Merikani na washirika wake, Rais kuondolewa madarakani unceromoniously,taifa kusambaratishwa vipande vipande kwa kuhibua vinchi nchi vidogo vidogo the so called idepedent nations - Urusi ikitaka kufuata mkondo mnaijia juu kumbatisha Putin majina ya kila sampuli kwamba ni binadamu muovu sana Duniani - hamsemi lolote kuhusu Bill Cliton na Madeline Albright kuhusu Yugoslavia.
Kuna wakati unakuwa illogical sana, kwa hiyo kama USA alifanya uhalifu wa namna hiyo kwa sasa ni zamu ya Mrusi naye kufanya ujinga vile? Urusi hana uhalali wa kukemea vitendo vya USA kwa kuzingatia anayoyafanya kwa jirani zake na aliyofanya Afghanistan na Syria.
 
Mbona mlikaa kimya Taifa la Yugoslavia lilipo vamiwa na kuwa carpet bombed na Merikani na washirika wake, Rais kuondolewa madarakani unceromoniously,taifa kusambaratishwa vipande vipande kwa kuhibua vinchi nchi vidogo vidogo the so called idepedent nations - Urusi ikitaka kufuata mkondo mnaijia juu kumbatisha Putin majina ya kila sampuli kwamba ni binadamu muovu sana Duniani - hamsemi lolote kuhusu Bill Cliton na Madeline Albright kuhusu Yugoslavia.
Lakini mkuu, si tumeshakujibu hapo juu? Hao uliowataja wooote na wale ambao hukuwataja wanaingia kwenye n.k. Taz.#47.
 
Hii ngoma itakuwa ngumu sana kwa Putin. Kuna wavamizi/colonist/wanyang'anyi na kuna watetezi wa nchi yao wazelendo/wanaonewa. Hata morali ziko tofauti. Russia ataharibu nchi ataua atafanya fujo zote ila mwisho wa siku lazima atatema mzigo. Wa moto mno! 😁😂🤣😅
 
Duh mbwembe zote za referendum kwisha [emoji16][emoji2][emoji12]

Ila Putin anazidi kujitia aibu Kwa hii Tabia ya mikwara yake..,ni Bora awe anakaa kimya,kutoa mikwara kunadhihirisha alivyo wa hovyo,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mimi nilipoona anazunguka mara Turkey, mara kwa waarabu Iran sojui nikajua huyu kaishiwa pumzi.Yeye Putin aliishiwa mbinu alipoanza vita mwenzie hakuwa hata na bunduki alikuwa anaomba msaada na kulia lia ndio wakati nilijua Putin siku tatu tu atachukua kila kitu sio vijimbo vyenye watu 1.2 ×4 haaaa
 
Back
Top Bottom