Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Hapo hatua ilipofika, hata kama Putin anadai mikoa 4 ni ardhi yake kwa mujibu wa "annexetion" ; ni ngumu kumesa. Atatema tu, Imekuwa ya moto mno, Ataachia hayo maeneo ambayo kimsingi (na ndo ukweli)ni ardhi ya Ukraine. Mrussi anatembeza Ubabe tu lakini ukweli anaujua tangu Feb.2014.
Mbona hamsemi Merikani kutema: Texas, jimbo la Calfornia, Lousiana,Hawaii, Diego Garcia,Guam na Pourto Rico!!!!