Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Siku nyingine kabla hujashare pic unatumia google picture search.Wasabato NJOONI upesi mtuambie hapa Ted wilson alikuwa anafanya Nini Kwa papa?
Maana mnatuhubiri yakuwa hatupaswi kumpigia mtu magoti yaani kumsujudia je rais wenu hapa anafanya Nini?
Kwanini mkiwa na mikutano papa mnamsimanga sana kumbe nanyi kisiri Siri mnaenda kwakwe kutibu madhambi yenu?
Tushike lipi?.ilikuwa agano la kale lakini agano jipya
Hawapendi kachumbari 🤣🤣🤣2. Wasabato hasa wanawake hawatoboi sikio, pua, mikufu, shanga za kiuno, au vikuku, Wala nywele zao hawaweki dawa Wala kusuka Rasta hii ilikuwa agano la kale lakini agano jipya ameruhusiwa mwanamke kujipamba hasa mbele ya mumewe.
Wakristo ambao Si wasabato wanaabudu Siku ya Saba ya juma, JUMAMOSI,Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye hoja
Huwezi ona msabato akimsema muislamu kuwa ati anafanya dhambi kuabudu siku ya ijumaa ila ni kawaida kumsikia akimuhesabia dhambi Mkatoliki kwa kuabudu jumapili badala ya jumamosi
Kwa msabato siku ya jumapili ambayo ndiyo aliyofufuka Bwana yetu Yesu Kristo ni Alama ya Mnyama!
Swali langu kwa Wasabato siku ya Ijumaa ni Alama ya nini hasa kimaandiko?
Kwanini kuabudu jumapili ndiyo dhambi lakini ijumaa sijawahi sikia au kusoma sehemu yeyote kuwa ni dhambi?
Why? Why?
Nasubiri elimu kutoka kwa wajuzi
Wasabato hawana sababu ya kukujibu maana Waislam hawadai kumwabudu Mungu yule anayeabudiwa na Wakatoliki na Wasabato.Wadau hamjamboni nyote?