Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Huo utaratibu wameweka wenyewe wanadamu, sipo kubishana kwa 7bu ya dini. 😡😡😡Soma vizuri biblia
Ni siku upi ya ibada?
KWA nini watu wanaabudu jumapili na ijumaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo utaratibu wameweka wenyewe wanadamu, sipo kubishana kwa 7bu ya dini. 😡😡😡Soma vizuri biblia
Ni siku upi ya ibada?
KWA nini watu wanaabudu jumapili na ijumaa
Waabudu jumapili na jumamosi kwa kiasi fulani wapo ndani ya frequency moja. But waabudu jumapili na jumamosi na wale waabudu Ijumaa wapo frequency mbili tofauti. Kundi la Jumapili na Jumamosi wapo ktk imani moja ingawa katika namna tofauti ya kumtafuta muumba wao lakini wale wa Ijumaa Mungu wao ni tofauti na hayo makundi ya jumamosi na jumapili. Usije kuniuliza yupi yupo sahihi maana mimi sijui. Ila kila moja ana muabudu Mungu wak
Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye hoja
Huwezi ona msabato akimsema muislamu kuwa ati anafanya dhambi kuabudu siku ya ijumaa ila ni kawaida kumsikia akimuhesabia dhambi Mkatoliki kwa kuabudu jumapili badala ya jumamosi
Kwa msabato siku ya jumapili ambayo ndiyo aliyofufuka Bwana yetu Yesu Kristo ni Alama ya Mnyama!
Swali langu kwa Wasabato siku ya Ijumaa ni Alama ya nini hasa kimaandiko?
Kwanini kuabudu jumapili ndiyo dhambi lakini ijumaa sijawahi sikia au kusoma sehemu yeyote kuwa ni dhambi?
Why? Why?
Nasubiri elimu kutoka kwa ww
KUTOBADILIKA KWA SHERIA YA MUNGU.Huo utaratibu wameweka wenyewe wanadamu, sipo kubishana kwa 7bu ya dini. 😡😡😡
KUTOBADILIKA KWA SHERIA YA MUNGU.Wadau hamjamboni nyote?
Niende kwenye hoja
Huwezi ona msabato akimsema muislamu kuwa ati anafanya dhambi kuabudu siku ya ijumaa ila ni kawaida kumsikia akimuhesabia dhambi Mkatoliki kwa kuabudu jumapili badala ya jumamosi
Kwa msabato siku ya jumapili ambayo ndiyo aliyofufuka Bwana yetu Yesu Kristo ni Alama ya Mnyama!
Swali langu kwa Wasabato siku ya Ijumaa ni Alama ya nini hasa kimaandiko?
Kwanini kuabudu jumapili ndiyo dhambi lakini ijumaa sijawahi sikia au kusoma sehemu yeyote kuwa ni dhambi?
Why? Why?
Nasubiri elimu kutoka kwa wajuzi
HusipotosheAdui wa Wasabato ni kanisa katoliki wala siyo waislamu, huwezi kuwasikia hata siku moja wasabato wakiwaponda waislamu, wao na kanisa katoliki tu, usabato haukamiliki bila kanisa katoliki.
Haha haha HACHA uongoWasabato siyo Wakristo.
Jidandanye utaenda mbingu ya maboksiMungu hata hana habari na Sabato, Sijui Katoriki, ma Ulokole, Wala hana shida na kusali Jumapili ama Jumamosi...!
Hasumbuki na Ubatizo wa Maji mengi Wala Maji madogo...!
Yeye anaangalia Moyo wako....!
Full stop.
Umeandika ujinga gan?Listen:
1: Muslim is man made religion in any case no any evidence that it was an order from God
With Reference from
Qur'an 62;9
Sunan Ibn Majah 1082
Tafhim al-Qur'an. The Qur'an verse commentary for 62:9-10
Prove that The Friday whoship is from God and not Zurarah???
Prove kwama Mungu ndo aliagiza watu waabudu ijumaa nasio maneno ya Mohammad ambayo na yeye alipewa adithi tuUmeandika ujinga gan?
Sabato ni agizo la MunguHoja Mkuu wanaoabudu ijumaa badala ya jumamosi wanafanya dhambi au la? Agizo la kuabudu siku ya sabato ni la Mungu?
ALAMA YA MNYAMA.Sasa inakuaje Jumapili inakuwa alama ya Mnyama na siyo Ijumaa? Yaani anayesali Jumapili anakosea Kwa kutokusali jumamosi Sasa kwanini anayesali ijumaa badala ya jumamosi awe sahihi?
Hii kalenda tunayotumia iliandikwa na nani?ALAMA YA MNYAMA.
Soma Ufunuo 12:12, 17 na Ufunuo 13:7. Je, maandiko haya yanafichuaje ghadhabu ya Shetani? Kwa nini ibilisi amekasirishwa sana na watu wa Mungu wa wakati wa mwisho?
Ufunuo 12 inaeleza kwa muhtasari pambano la ulimwengu mzima kati ya Kristo na Shetani katika vizazi vyote. Linafikia upeo kwa shambulio la mwisho la Shetani kwa watu wa Mungu, Ufunuo 13 inajulisha juu ya washirika wawili wa joka, mnyama kutoka baharini na mnyama kutoka nchi kavu. Mamlaka hizo mbili zinaungana naye katika kupigana na watu wa Mungu.
Soma ufunuo 13:4, 8, 12, 15 na Ufunuo 14:7, 9-11. (Angalia pia Ufu. 15:4, Ufu. 16:2, Ufu. 19:20, Ufu. 20:4, Ufu. 22:9.) Ni mada gani kuu inayopatikana katika vifungu hivi vyote?
Zingatia tofauti. Ama watu wanamwabudu Muumba au wanaabudu kitu kingine. Muumba anastahili kuabudiwa (Ufu.5:9) Pambano kati ya Kristo na Shetani lilianzia mbinguni juu ya ibada "Nitapaa kupita vimo vya mawingu, nitafanana na Yeye Aliye Juu" (Isa. 14:14). Shetani alitaka ibada ambayo ni ya Muumba pekee, Kulingana na Ufunuo 13, anafaulu kupitia utendaji wa mnyama wa nchi kavu (Ufu. 13:4).
Ulinganisho na Danieli 7 unaonesha kwamba hayawani-mwitu (mnyama) wa nchi kavu ni sawa na ile pembe ndogo “Naye ataazimu kubadili majira na sheria” naye atatawala kwa “siku” za kiunabii 1,260, yaani, kwa miaka 1,260 (Dan. 7:25; linganisha. Ufu. 13:5; tazama Somo la 6). Sehemu pekee ya sheria ya Mungu ya Amri Kumi inayohusika na wakati ni amri ya nne. Kanisa hili limejaribu kubadilisha siku ya ibada kutoka Jumamosi, siku ya saba hadi
Jumapili, siku ya kwanza ya juma
Kwa mamlaka ya kidunia kuazimu kubadilisha siku ya ibada, Sabato ya siku ya saba, ambayo Mungu mwenyewe alitoa kama ishara ya mamlaka Yake (Kut. 31:13; Eze. 20:12, 20), ni jaribio la kutwaa kwa nguvu mamlaka ya Mungu katika ngazi ya msingi kabisa iwezekanayo. Juu ya jambo hili, basi, ndipo lilipo lengo la pambano la mwisho juu ya ibada ya kweli na ya uongo.
Kwa sababu hii, Ufunuo inawatambulisha watu walio waaminifu kwa Mungu kuwa ni wale “wazishikao amri za Mungu (Ufu. 12:17, Ufu. 14:12). Hii inajumuisha Sabato ya siku ya saba, siyo Jumapili. Wale wanaokataa mwito wa mwisho wa wale malaika watatu wa kumwabudu Mungu katika siku Yake takatifu (Isa. 58:13) na wanaoabudu mnyama katika sabato yake bandia, Jumapili watapokea chapa ya mnyama (angalia Somo la 11).
🙏🙏🙏🙏
Rekebisha Mkuu ni Katoliki siyo katorikiMungu hata hana habari na Sabato, Sijui Katoriki, ma Ulokole, Wala hana shida na kusali Jumapili ama Jumamosi...!
Hasumbuki na Ubatizo wa Maji mengi Wala Maji madogo...!
Yeye anaangalia Moyo wako....!
Full stop.
Kujua kuwa hii kalenda iliandikwa na fulani bin fulani haikusaidiiHii kalenda tunayotumia iliandikwa na nani?
Ni hivi Kumbe.Wasabato siyo Wakristo.
Yani kalenda aandike Gregory halafu siku ya saba aijuwe msabato andaeni kalenda yenu acheni kujizima data.Kujua kuwa hii kalenda iliandikwa na fulani bin fulani haikusaidii
ChaiWadau hamjamboni nyote?