Wasabato mnadai wanaoabudu jumapili wamepotea, siku hiyo ni Alama ya Mnyama, Je wanaoabudu ijumaa badala ya jumamosi nao wamepotea?

Nyie si ndo wale mlienda Airport mnataka kupanda Ndege kwenda Mbinguni bila Ticket...!?
 
Haya mambo yanachanganya, ni kuachana nayo na kujikita kwenye imani yako ya jadi.
 
Mungu hata hana habari na Sabato, Sijui Katoriki, ma Ulokole, Wala hana shida na kusali Jumapili ama Jumamosi...!

Hasumbuki na Ubatizo wa Maji mengi Wala Maji madogo...!

Yeye anaangalia Moyo wako....!
Full stop.
Huo moyo wako anaungalia ukiwa ktk kusanyiko lipi
 
Yani kalenda aandike Gregory halafu siku ya saba aijuwe msabato andaeni kalenda yenu acheni kujizima data.

Waislamu wana kalenda yao hawatumii kalenda ya Gregory kwenye mambo wana miezi yao na mwaka wao.
Hiyo kalenda, iliondoa siku ya ibada????
 
Huo moyo wako anaungalia ukiwa ktk kusanyiko lipi
Popote utapokuepo, mradi uishi ukifata Amri 10 zile za Mungu....!
Huwezi kwenda Mbinguni kisa uliacha kula Jumamosi...!
 
Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe.
Tenda mema, usijidhuru, jilinde tafuta mali, usiumize wengine kihisia na kimwili.

Usiendekeze sana hizi dini, DR Mambo Jambo anakwambia "kuna mstari mwembamba sana kati ya dini na chuki".
Jf hii walioishika dini na hawana chuki na dini nyingine sidhani kama wanazidi hata 10.
 
Nakuuliza wewe Msabato, Mimi sio Msabato...!

Nakuuliza Wasabato wamegawanyika...!? Ama Wasabato ni Wamoja...!?
SDA " Seventh Day Adventist a.k.a Wasabato
1: Ni watu wanao mgonjea Yesu huku wakiitunza sabato
2: Ni watu wanao mwamini Yesu( mwokozi wa maisha yao) + Sabato
3: Ni watu wanao amini mafundisho yote ya biblia + sabato
Hili la kugawanyika silijui
 
SDA " Seventh Day Adventist a.k.a Wasabato
1: Ni watu wanao mgonjea Yesu huku wakiitunza sabato
2: Ni watu wanao mwamini Yesu( mwokozi wa maisha yao) + Sabato
3: Ni watu wanao amini mafundisho yote ya biblia + sabato
Hili la kugawanyika silijui
So wale waliokwenda Airport kusubiri Ndege ya kwenda Mbinguni bila Visa, kumbe ni wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…