Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

Pesa za viingilio zao hukulipa wewe unakuuma nini!? Unapangia matukiz watu??
Ukipeleka ushamba mbeya utabondwa kule hawakai mapunga shaur zenu
Una hasira sana ndugu.
Mimi nimemjibu aliyesema kwamba mbeya hawataki mambo ya kishoga.
Lakini cha ajabu wamelipia wakaenda.
Ilikuwa busara wao kugoma kabisa kwenda kwenye tamasha, wangeonekana watu wa maana zaidi.
 
Daaaaah Linex maye alikuja kigoma wahuni wakamkataa wakawa wanarusha mawe kwenye stage
 
Una hasira sana ndugu.
Mimi nimemjibu aliyesema kwamba mbeya hawataki mambo ya kishoga.
Lakini cha ajabu wamelipia wakaenda.
Ilikuwa busara wao kugoma kabisa kwenda kwenye tamasha, wangeonekana watu wa maana zaidi.
Bado ni watu wa maana, maana wamelipa kwenda kuchezea hela zao wenyewe
 
SI wenyewe wakipanda kwenye stage wanawaita mashabiki wahuniii.

Acha Whuni wawaoneshe uhuni sasa 😁
 
Ila show za wasafi festival msimu huu hazijakaa powa, show nzima watu wanatimua vumbi kama wako kwenye kigodoro mtaani🙄

Wasanii wafanye show waache kuwatesa mashabiki imagine mtu analipa kiingilio anaingia kwenye show anaambiwa mikono juu kushoto, kulia, vua shati zungusha, beba vumbi timua juu.

Wahuniiii, ruka ruka. Twende juuu ruka kama masai, yero masai yero 😂😂😂

It’s so sad 😭
 
Wewe ina maana humjui mke wa pdiddy wanae mtaka!!? 😂😂🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…